PreGE2025 Wanasheria wa Kimataifa walaani kukamatwa na kushtakiwa kwa Tundu Lissu

PreGE2025 Wanasheria wa Kimataifa walaani kukamatwa na kushtakiwa kwa Tundu Lissu

Mijadala ya Uchaguzi Mkuu wa Tanzania 2025 (Kabla)
Kamwulize William Ruto wa Kenya na wenzake kilicho watokea baada ya machafuko ktk Uchaguzi Mkuu 2007.
Hv nnani aliwapeleka The Hague??
nini kilichotokea embu tuambie maana ruto ni raisi wa kenya anakula nchi bado na uhuru pia anakula Maisha enhe tatizo nini
 
Who can be tried in the Hague?


The International Criminal Court in The Hague prosecutes those accused of war crimes, crimes against humanity and genocide. In 1998, 60 countries signed the Rome Statute after it was opened for signature by the United Nations.

Soma hiyo re-afande la Policcm
muulize kiza besigye hadi sasa anazeeka kila siku yupo jęła kama hao wazungu wamemsaidia kitu icj na icc hazi deal na trivial matters utakandwa tu huku watu wanaangalia
 
Aisee,
Aione ostadh ubwabwa Mzinge..
Hivi Mazinge kaishia darasa la ngapi? au yuko kama Dr Sule?
 
kwahiyo kwa akili yako Tanzania kuna war crimes? mtu kukamatwa kwa makosa ya jinai siku hizi tunaenda kushitaki icj?
kwa hili la sasa hakuna wa kuwasaidia nyie pambaneni mahakamani ikifika uchaguzi tunapiga kura biashara imeisha mtaamua kama tunazika au tunasafirisha ubelgiji
Si mpaka uchaguzi ufanyike? Utafanya uchaguzi na chama chako? Malimbukeni hayaishi Tanzania.

Jamani waondoe ni hawa vijana wanataka kupeleka siasa kwenye usanii. Asante
 
Si mpaka uchaguzi ufanyike? Utafanya uchaguzi na chama chako? Malimbukeni hayaishi Tanzania.

Jamani waondoe ni hawa vijana wanataka kupeleka siasa kwenye usanii. Asante
yani kwa akili zako tusifanye uchaguzi wa watanzania 65m kisa mbelgiji mmoja kasema labda siyo tanzania, hakuna wa kuzuia uchaguzi labda mungu tu kwa Kudra zake ,otherwise hawa chadema wanajidanganya kama kawaida yao, kama alishindwa lowassa hawa dagaa wataweza?
 
Kuna watu humu chini ya ID zao Kuna neno "JF-Expert Member" lakini mambo wanayoyazungumza na kuyatetea ni kama hili neno au hadhi hawakuistahili. Sifahamu kigezo kikubwa Cha mtu kupewa hadhi hiyo humu ila ninaimabi wengi hawana maarifa yoyote, ni either hawajui kuona angali wanamacho.

Speaking of 2015 back then, Nilikuwa kijana mdogo sana kutambua na kuona vitu Kwa mpangilio wenye mantiki, Nilikuwa miaka yangu yote nikiamini kuwa chama Cha kisiasa "Kaki na bluu" ni chama ovu na kisicho na tija Wala muelekeo wowote Bali hulenga vurugu na kurupushani mitaani, nilikua nikiona Fujo nyingi sana za bodaboda nyakati za uchaguzi zikizunguka na viongozi wa chama Cha Kaki, sikuwa na idea yoyote what they were doing. Nilizidi kuamini hivi kwani ndivyo pia walivyokuwa wakitajwa hadharani ili jamii iamini kuwa chama Kaki ni chama Cha vurugu na kuiharibu jamii.

Walau kidogo nimekua na kuwa kijana wa makamo, upeo nao umefunguka Kwa kiasi chake naona na level ya elimu kiasi inafanya nione mambo Kwa mtazamo tofauti (Logical). Hadi sasa Sina interest na chama chochote Cha kisiasa but there are leaders ambao nawa appreciate sana. They might not be 100% perfect but they know what they're doing. Siwezi waelezea sana wengi waliopita miaka mingi nyuma kwakuwa nimekuta historian zaidi ya kushuhudia mengi yao japo heahima yao nitabaki kuwapatia wakati wote Mfano, Mwl. Nyerere, Mkapa. But katika kizazi hiki Cha smartphone nimeona viongozi wengi wanaojitambua wenye utendaji mzuri Kwa taifa katika mambo mengi zaidi ukiachilia mapungufu ambayo hata Mimi nawewe tunayo.

Dr.JPM was the best, mtu mwenye uchungu na upotevu wa rasilimali za nchi, asiyependa wizi, mchapa kazi mwenye kuamini ukweli zaidi kuliko propaganda katika kuleta mafanikio, creative anayejua tufanyenini tuzibe wapi tujenge pale, that guy was more than just a president, Tanzania tulisahau kuombaomba, the infrastructures development was on its peak. That guy was more than enough to our country, alifanya niamini uongozi wa siasa sio pango la uongo na kujikusanyia pesa, he made me believe intelligence and brilliance can widely applied to the government systems as a turning point towards sectors advancement. Tuliona namna Gani maarifa na self awareness vinaweza kulikomboa taifa kama kiongizi ataamua kutumia ubora alionao kifikra kubadili misingi ya nchi na kupunguza kuongozwa na kuombaomba misaada kutoka nchi za magharibi.

Secondly, Mh. Lissu. This guy is the purest African DNA. Sijawahi kuvutiwa na chama Cha Kaki ila this time wamepata kiongizi wa maana sana, anajua kujieleza Kwa hoja zenye mashiko sana yeye pamoja na viongozi alioambatananao including Heche these guys are the best politiciay, sisemi wengine siwaelewi hapana, Huwa namurlewa sana mtu anayejenga hoja hasa zile zinazomfanya mpinzani aache hoja na ku deal na mtu personal, in short Sina uhakika kama anayoyazungumza mwenyekiti wa chama Cha Kaki na makamu wake is what they mean and what they will do after winning but these guys are very logical na wanaongea kile haswa ambacho watanzania tunataka kukiskia.

Turudi katika mada, Matamko yaliyowahi kutoka Kwa viongozi mbalimbali wa chama kijani ni mengi yasiyo na kificho lakini hayakuchukuliwa kama ni viashiria vya uharifu, iweje Leo mwenyekiti wa Kaki anahukumiwa Kwa sentensi Moja yenye matumaini makubwa ya ukombozi?


Kwa sisi tuliofanikiwa kusoma historia mbalimbali hasa za dunia Kwa ujumla kati ya sababu chache zilizopelekea utawala ama ukoloni kuanguka katika mataufa mbalimbali ni pamoja na "Rise of the Elites". Wimbi la watanzania wenye elimu ya walau Bachelor ni kubwa hii inaongeza idadi ya watu wenye elimu mitaani and most of them are jobless, sifa kubwa ya Hawa Elites ni kutafuta ukombozi wa kifikra na namna Bora ya kubadili mfumo wao wa maisha ambao Huwa unabadilishwa Kwa elimu zaidi kuliko nguvu That's why chama Cha Kaki kilishaligundua hili ndiomaana wakaanzisha kampeni za kuelimisha sera yao mpya katika kutafuta mabadiliko ya nchi kisheria na kisiasa.


I'm assuring you guys, Hadi sasa more than 85% ya vijana wanaiunga mkono sera mpya ya chama Cha Kaki, kwasababu inaonesha matumaini makubwa katika nyakati zijazo, vijana tunahitaji viongozi walio na weledi na uthubutu, vuta taswira binafsi nimewahi kuomba kazi sehemu fulani serikalini akachukulia kidato Cha nne failure Mimi Nilikuwa na Division one ya kidato Cha sita wakati huo, we unadhani kijana kama Mimi sitotamani kuona mabadiliko! Nchi inaajili failure na tulioonesha juhudi from the beginning tunatupwa? Chama Cha Kaki kimekuja na strategy nyingi ku feed elites kwani ndio nguzo kubwa ya maendeleo iliyoachwa na kutupwa mitaani yenye uwezo wa kuipeleka hii nchi kaanani.

Kama kijana, nawapa hongera sana Mh, mwenyekiti na makamu wake wa chama Cha Kaki, sitamani kuona migogoro ya vyama but those guys are the best they deserve a rooy in a government, tumechoka kusikia hundreds of billions zimepotea kimazingara mifukoni mwa watu pesa ambazo zingeweza kutumika kama ata njia ya ku boost vijana Kwa mikopo rafiki au maendeleo mengine ya nchi.

Tunastahili viongozi waadolifu na wafuatiliaji pia wenye critical thinking abilities sio kuishi Kwa kukariri na kudumisha Kila alichokifanya babu, dunia imekua mambo yanakwenda Kasi hizi sio zama za kumpa mwanamke kitenge kwenye uchaguzi jamii inahitaji zaidi ya vitenge na kanga.


#FREE_LISSU
#LET_FAIR_COMPETITION_HAPPEN
 
yani kwa akili zako tusifanye uchaguzi wa watanzania 65m kisa mbelgiji mmoja kasema labda siyo tanzania, hakuna wa kuzuia uchaguzi labda mungu tu kwa Kudra zake ,otherwise hawa chadema wanajidanganya kama kawaida yao, kama alishindwa lowassa hawa dagaa wataweza?
Kwani hayo mabadiliko yanayodaiwa ni manufaa ya chama cha kaki pekee? Eti mkuu?we hujachoka kuona kilasiku unawekewa mbunge darasa la saba akuwakilishe bungeni ilihali wanajua hana hoja yoyote shindani ya kuikosoa wa kuishauri serikali. Hivi mbunde darasa la saba atashauri nini serikali kwenye uboreshwaji wa elimu shule za sekondari? Atashauri nini kuhusu vyuo? Story za kuambuwa na taarifa za makaratasi atazopewa si sawa na angeona hayo Kwa kuyapitia. Leo kiongozi wa siasa anasapoti Kila jambo kwakuwa mengi hayafahamu ata akihoji atahoji Nini na wakimtajia maneno watatu ya kiingereza tayari ameshapotea hajuj hata watu wanazungumza Nini.


Sasa lengo la chama Cha Kaki ni kukupa wewe nguvu ili uamue sasa nani anastahili kupigania maslahi yako bungeni, ambaye hatakuwa bendera Kwa kuongea ujinga na mambo yasiyokuwa na tija. Inahitajika nguvu ya kikatiba na kisheria ili nchi ibaki kuwa ya watanzania sio shamba la ukoo ambalo familia fulani imejimilikisha walirithishana Kwa wale wawatakao na kuvuna Kwa awamu matunda wakijinasibu kuwa shamba hili ni letu sote ilihali hakuna chochote chenye mantiki.
 
LAKINI HAWAJALANI ILE KAULI ALIYOITOA AKITAMKA NENO UASI?
HAWA NAO NDO WALE WALE..INA MAANA WAKIWA VIONGOZI WA NCH ZAO WATARUHUSU UASI?

NB: mimi huwa siamini demokrasia isiyokuwa na viashiria vya maendeleo.
...nawe ukixoma neno "uasi", tafsiri yake unaiona ktk kadi yako ya chama - kwmb watakunyng'ny na hayo maraha yako unayoyapata kw kuwa na kadi yenye rangi ya kabichi, unayoyaita maendleo, utayakoxa! Wala hutaki kujua tafxiri yake kikatiba, kisheria wala maana yke ktk kamusi! Kw ufupi unaamini "udikteta" unaleta maendleo ambyo ww unayaona ktk kadi yako ya kijani ambayo akina TAL wanatishia kknyang'nya! Kwmb wakiwekwa ndni kabla uchunguzi haujakamlika, hawatainglia maendleo yako!! Na mbadala ni kuwatexa wananchi kinyume ch sheria - ili mupate raha unayoitafsiri kuwa maendleo ...nk!
Imefikia mnaimba "...wapinzani wakifa, tutawatupa mtoni, wawe chakula cha mamba ...nk". Kina Ali kibao alikua mpinzani, alitupwa wp! Ati nyie hamwezi kulia - hata kama yupo mTz mwenzako au mwandani wako ...la haulla!!
 
Utawala wa sheria unataka mtu akikamatwa apelekwe Mahakamani, sheria imefatwa. Kwa hiyo hawa wana sheria wa nadhani aliyekamatwa ni malaika huwa hatendi makosa ya jinai? Au mahakama ni za wengine tu, Lissu hazimuhusu
Kuna majizi ya kila aina hapo lumumba kila mwaka yanatajwa na CAG Huwa mnayapeleka mahakama gani?
 
Back
Top Bottom