PreGE2025 Wanasheria wa Kimataifa walaani kukamatwa na kushtakiwa kwa Tundu Lissu

Mijadala ya Uchaguzi Mkuu wa Tanzania 2025 (Kabla)
Mazombi!
Uhuru na Ruto ICJ iliwafanyaje baada ya vurugu za kisiasa na Munghiki 2007?

Mnakuwa wepesi wa kusahau mambo namna hii au ni makusudi yaliyojificha kwenye agenda fiche?
Acha kudanganya wenzio wachimbe mahandaki bila vita. Gadaffi mwisho wake ulikuwa je?

Hawa ndiyo wakuu wa mikoa wa Tanzania wanaendesha nchi kwa matamko.

Mngekuwa mnafuata katiba leo msinge hangaika.
 
You know what? Dini ya mama ni moja ya dini zenye kupenda vurugu, ukatili na kulipiza Visasi a.k.a. JIHAD.
Angalia nchi karibu zote duniani zenye misuko suko ya Kisiasa na Utawala usio bora ni za KIISLAMU. Tafakari!!
 
Wote hao ICJ , raia wenye malalamiko n.k ni wadau wa ICC The Hague, maofisa wa mahakama wanakusanya data kisha kuwakilisha huko ICC The Hague waranti ya INTERPOL inatolewa :

Mahakama ya Kimataifa ya Uhalifu (ICC) mjini The Hague ina washirika wa aina mbalimbali, wakiwemonchi wanachama, ambazo ni zile ambazo zimeidhinisha Mkataba wa Roma na ni sehemu ya Bunge la Nchi Wanachama. Pia inashirikiana na mashirika ya kimataifa kama Umoja wa Mataifa, na mashirika ya kiraia ambayo yanakuza haki duniani. Mahakama pia inafanya kazi kwa karibu na wataalamu wa sheria kama vile majaji, waendesha mashtaka na vyama vya wanasheria.
kwa akili zako icj na icc itahangaika na mtuhumiwa aliyofikishwa mahakamani? jamani hivi mpo serious kweli, hapa hapa duniani kuna wanasiasa wangapi wapo selo, kiza besigye anachapwa kila siku yeye na jela ,jela na yeye hadi anazeeka hiyo icj na icc wapo wapi? ukizingua utashughulikiwa na hakuna atakayekusaidia na watu wataendelea na shughuli zao kama kawaida
 
Acha kudanganya wenzio wachimbe mahandaki bila vita. Gadaffi mwisho wake ulikuwa je?

Hawa ndiyo wakuu wa mikoa wa Tanzania wanaendesha nchi kwa matamko.

Mngekuwa mnafuata katiba leo msinge hangaika.
Yamekuwa yangu hayo tena mkuu?
Au umekosea kunukuu ulikopakusudia?
 
kwa akili zako icj na icc itahangaika na mtuhumiwa aliyofikishwa mahakamani? jamani hivi mpo serious kweli, hapa hapa duniani kuna wanasiasa wangapi wapo selo, kiza besigye anachapwa kila siku yeye na jela ,jela na yeye hadi anazeeka hiyo icj na icc wapo wapi? ukizingua utashughulikiwa na hakuna atakayekusaidia na watu wataendelea na shughuli zao kama kawaida
Shenanigan waheed. Hivi Mwendazake yuko wapi leo? If not ICJ or ICC there's the HIGHEST JUDGE OF ALL JUDGES AND GOD OF ALL GODS. You've got it coming.....!!!
 
kila mtu atakufa na kifo siyo adhabu, ndio maana hata mitume wa mungu wote wamekufa, acheni ulafi wa madaraka
 
Wanaotaka kukinukisha si wameshajipanga kwa msaada wa mabeberu? Anyway ngoja nifanye arakati zakuhamia ubelgiji kwenye Amani na democracy ya kweli
 
Haya mambo bi mkubwa angewaita pande zote za siasa, majaji wastaafu na viongozi wa dini kama alivyoeleza jaji warioba wakaa na kuyazungumza, huko tunakoenda hali ikiwa hivi mambo yataharibika kabisa
Kinachoendelea ni kuwa there's an internal conflict within CCM and the Government itself. Huyu mama alitakiwa amalize Term yake hii 2025( 2 terms za mwendazake)2015~2025 ili agombee Rais mwingine awamu hii. Tatizo mama amekomaa, amenogewa na Madaraka, utamu wa Urahisi....Wanaume hawataki!! Wanachofanya ni kumharibia ndo sababu ya vutugu zote hixi kwa Wapinzani kli aonekana HAFAI HAFAI hata 4Rs zake xionekane ni porojo tuuuu!!!
 
kila mtu atakufa na kifo siyo adhabu, ndio maana hata mitume wa mungu wote wamekufa, acheni ulafi wa madaraka
Wee chawa mkubwa huna lolote. Hv CCM na CHADEMA nani mwenye ulafi au tamaa ya Madaraka??
 
Kinachoendelea ni kuwa there's an internal conflict within CCM and the Government itself. Huyu mama alitakiwa amalize Term yake hii 2025( 2 terms za mwendazake)2015~2025 ili agombee Rais mwingine awamu hii. Tatizo mama amekomaa, amenogewa na Madaraka, utamu wa Urahisi....Wanaume hawataki!! Wanachofanya ni kumharibia ndo sababu ya vutugu zote hixi kwa Wapinzani kli aonekana HAFAI HAFAI hata 4Rs zake xionekane ni porojo tuuuu!!!
sasa kitu gani hapa umeona kimemuharibia? hiI kelele ya NGO? serikali za mitaa wameshinda more than 90% hızı kelele za kawaida sana kwenye siasa hata ukienda marekanı au uingereza Leo utazikuta hakuna jipya
 
Utawala wa sheria unataka mtu akikamatwa apelekwe Mahakamani, sheria imefatwa. Kwa hiyo hawa wana sheria wa nadhani aliyekamatwa ni malaika huwa hatendi makosa ya jinai? Au mahakama ni za wengine tu, Lissu hazimuhusu
We Chawa waheed, hivi hapa Tanzania nani unaweza kumshawishi nani kuwa kuna Utawala wa Sheria?? Polisccm kukamata Raia wasio na hatia kuwavunja miguu na mikono, kuwaumiza na kuwaua kwako ndo utawala wa sheria???
 
sasa kitu gani hapa umeona kimemuharibia? hiI kelele ya NGO? serikali za mitaa wameshinda more than 90% hızı kelele za kawaida sana kwenye siasa hata ukienda marekanı au uingereza Leo utazikuta hakuna jipya
We ni chawa tu !! 90% za Wizi wa Kura ndo kushinda? Mbona hamtaki TUME HURU na REFORMS zingine za KIKATIBA ili kuweka mazingira sawa ya KURA kwa vyama vyote vya siasa?? Acheni kuwafanya Watz ni mazuzu! Pambaf zenyu.
 
Hakuna kitu hapo fake news nendeni shule mkajue kazi ya mahakama hiyo ,mnajitungia vitu halafu mnashangilia
Kamwulize William Ruto wa Kenya na wenzake kilicho watokea baada ya machafuko ktk Uchaguzi Mkuu 2007.
Hv nnani aliwapeleka The Hague??
 
kwa akili zako icj na icc itahangaika na mtuhumiwa aliyofikishwa mahakamani? jamani hivi mpo serious kweli, hapa hapa duniani kuna wanasiasa wangapi wapo selo, kiza besigye anachapwa kila siku yeye na jela ,jela na yeye hadi anazeeka hiyo icj na icc wapo wapi? ukizingua utashughulikiwa na hakuna atakayekusaidia na watu wataendelea na shughuli zao kama kawaida
Who can be tried in the Hague?

The International Criminal Court in The Hague prosecutes those accused of war crimes, crimes against humanity and genocide. In 1998, 60 countries signed the Rome Statute after it was opened for signature by the United Nations.

Soma hiyo re-afande la Policcm
 
Utawala wa sheria unataka mtu akikamatwa apelekwe Mahakamani, sheria imefatwa. Kwa hiyo hawa wana sheria wa nadhani aliyekamatwa ni malaika huwa hatendi makosa ya jinai? Au mahakama ni za wengine tu, Lissu hazimuhusu
Wanshindwa kumpeleka wataongea Sheria ipi au kifungu gani chakumshitakia, wanapiga hesabu hazikai
 
Who can be tried in the Hague?

The International Criminal Court in The Hague prosecutes those accused of war crimes, crimes against humanity and genocide. In 1998, 60 countries signed the Rome Statute after it was opened for signature by the United Nations.

Soma hiyo re-afande la Policcm
kwahiyo kwa akili yako Tanzania kuna war crimes? mtu kukamatwa kwa makosa ya jinai siku hizi tunaenda kushitaki icj?
kwa hili la sasa hakuna wa kuwasaidia nyie pambaneni mahakamani ikifika uchaguzi tunapiga kura biashara imeisha mtaamua kama tunazika au tunasafirisha ubelgiji
 
Back
Top Bottom