Wanasheria wa Serikali Wakwama Mahakama ya Kimataifa. Bilioni 300 Kuchotwa

japo ndiyo ukweli wenyewe.
Sidhani kama kuna ukweli wowote...wakati akiwepo, nani alisumbua sumbua?

Alipoamua kununua ndege na kuziweka chini ya mamlaka isiyodaiwa, hakuna aliyeweza kufanya lolote, leo mnajifanya wanademokrasia, kila kitu kitachukuliwa
20240130_215332.jpg
 
Mnachezewa ligi watu washapata line of weakness kwa uongozi uliopo wanafufua tu kesi... Magufuli asingekubali huo ujinga.
 
Yap ChukuwaChakoMapema KATIKA UBORA WAO!
HAKUNA KINGINE WAKIJUACHO ZAIDI YA KUPIGA HIZI DILI NA KUPATA MA 10% YAO!
 
Sidhani kama kuna ukweli wowote...wakati akiwepo, nani alisumbua sumbua?

Alipoamua kununua ndege na kuziweka chini ya mamlaka isiyodaiwa, hakuna aliyeweza kufanya lolote, leo mnajifanya wanademokrasia, kila kitu kitachukuliwa
View attachment 2898029
Kilichofanyika ni kujificha kichwa mchangani kama Mbuni. Yaani ilikuwa ni issue ya muda tu.
 
Tulikaa baa kuangalia matangazo ya moja kwa moja kutoka jumba kubwa tukinywa bia. Baa zilineemeka, TBC na vyombo vingine vilipata content, watazamaji. Hamna namna, tuunge mkono juhudi kwa kuchangishana tulipe.
 
😆😆😆😆
 
Back
Top Bottom