Wanasheria wa Serikali Wakwama Mahakama ya Kimataifa. Bilioni 300 Kuchotwa

Wanasheria wa Serikali Wakwama Mahakama ya Kimataifa. Bilioni 300 Kuchotwa

Kipindi hiki Cha kukaribia chaguzi kuu wajanja wanatafuta pesa za kampeni na kununua nafasi za ubunge! Eleweni Hilo kwani ukichungulia humo ndani kwa mawakili wa serikali unauona usanii wa haja wa kuwa double agent ili nao wapate chochote. Wana msemo wao kuwa serikali haijawahi kupata hasara Wala kufilisika! Acha nchi iliwe na wenye meno!
 
TOKA MAKTABA : 13 Nov 2023

KESI SERIKALI ILIVYOPINGA HUKUMU YA AWALI, NA IKIWA ITASHINDWA NINI KITAFUATA KWA MALI ZA TANZANIA IKIWA HAWATALIPA DENI KWA WAKATI

The Market Bull
Habari kamili, Ofisa Mkuu wa Kampuni ya Indiana Resources ana furaha kuwatangazia wenye hisa matarajio ya matokeo ya pingamizi waliloweka nchi ya Tanzania.

Jukumu la kulipa halikwepeki ikiwa jambo hili litakaziwa na hukumu ya rufaa, kwa kuwa Tanzania ni mwanachama wa taasisi hii yenye nchi zaidi ya 100 na maamuzi ya shauri hili yanaweza kukaziwa katika nchi yoyote mojawapo ya hizi 100, hivyo wenye hisa wasiwe na wasiwasi. Hukumu huambatana na uwezo wa kukamata Mali za sovereign state ya Tanzania ktk nchi yoyote iliyosaini ICSID na itakuwa mara ya kwanza Indiana Resources kuchukua hatua ya kukamata Mali za nchi huru ikiwa rufaa ya Tanzania itakataliwa.

Indiana Resources CEO Indiana Resources (ASX:IDA) Executive Chair Bronwyn Barnes discusses the ongoing dispute with Tanzania💲


View: https://m.youtube.com/watch?v=Pi7criT_QJ8
Source: The Market Bull

Indiana Resources (ASX:IDA) has revealed that the ICSID ad hoc Committee has reached a decision regarding the Stay of Enforcement of the Tanzanian Award, obliging the Tanzanian government to pay the rightful amount to the Claimants after a hearing in October.

History of the Dispute​

In July, Indiana initiated arbitration proceedings against Tanzania with the International Centre for Settlement of Investment Disputes (ICSID). Following the tribunal’s decision in favour of Indiana, the Tanzanian government is now required to compensate the involved Claimants with an amount exceeding $109.5 million USD, in addition to accrued interest and costs.

The group of Claimants consists of Ntaka Nickel Holdings Ltd, Nachingwea UK Ltd, and Nachingwea Nickel Ltd, where Indiana holds a 62.4% majority stake, putting the Company in line to receive significant financial compensation.

This legal dispute revolves around allegations that the Tanzanian government engaged in an unlawful expropriation of the Ntaka Hill Nickel Project on January 10, 2018, which constitutes a breach of the UK-Tanzania Bilateral Investment Treaty (BIT).

You can read more about the background and timeline of the dispute here.

The initial Award amounted to $76,706,461 USD in damages and additional losses, with an interest rate set at 2% above the USD Prime rate, and legal costs for the Claimants totaling $4,113,581.07 USD, resulting in a total of $113,603,591.83 USD as of August 17.

Following the Tanzanian Government’s appeal on the Award, the costs have risen to $117,180,000 USD, which Tanzania is required to pay to the Claimants within 45 days.

Findings of the ICSID ad hoc Committee​

The ICSID ad hoc Committee has issued a decision to extend the stay of enforcement of the Award provisionally, with specific conditions attached.

Within 45 days, Tanzania must furnish a written undertaking from authorised government officials committing to the following:

  1. Adherence to the annulment decision once delivered by the committee.
  2. Acknowledgment that the Award is final and binding, with compliance to the agreed terms, including the payment of the full amount plus interest to the Claimants within 45 days of the final decision on annulment.
  3. Assurance that the payment of the Award will not be subject to any enforcement proceedings in domestic
If Tanzania fails to provide the written undertaking as outlined above within 45 days, the stay on enforcement will be lifted

You can read more about the committees findings and annulment here.

Company Comments​

Bronwyn Barnes, the Executive Chairman of Indiana Resources, expressed the Company’s anticipation for Tanzania to either adhere to the conditions set by the ICSID ad hoc committee within the 45-day period or not.

“In either circumstance, the Claimants have comfort that ICSID is requiring Tanzania to comply with the Award through providing sufficient comfort through a legally binding commitment that if the Award is not annulled, the Claimants will promptly receive the full amount of the Award to which they are entitled,” she said.

“Indiana shareholders should take comfort in the disciplined legal process that is being followed by the ad hoc Committee, and that Tanzania is clearly engaging in this process to the best of their ability. Put simply, we consider this a victory.”

“Indiana, as the majority shareholder of the Claimants, is comfortable providing a guarantee that if enforcement commences and assets are seized to the value of the Award, and Tanzania’s request for annulment is granted, then the Claimants will return the funds corresponding to the annulled portion of the Award to Tanzania.”

“Indiana is also encouraged by Tanzania’s submission that it has assets both inside and outside Tanzania sufficient to satisfy the Award, and that Tanzania is ready, willing and able to honour the Award if it is not annulled, and that it has sufficient means to pay the amounts due to the Claimants under the Award. Indiana has led the ICSID proceedings on behalf of all of the Claimants’ shareholders and is comfortable to provide this guarantee.
Source : Indiana Resources Progress Toward Receiving Tanzanian Award
 
Kipindi hiki Cha kukaribia chaguzi kuu wajanja wanatafuta pesa za kampeni na kununua nafasi za ubunge! Eleweni Hilo kwani ukichungulia humo ndani kwa mawakili wa serikali unauona usanii wa haja wa kuwa double agent ili nao wapate chochote. Wana msemo wao kuwa serikali haijawahi kupata hasara Wala kufilisika! Acha nchi iliwe na wenye meno!
Ni usanii tupu
 
Mwashambwa anapita kulee anagugumia Kwa maumivu makali huku anawaza jinsi anavyohangaika kutafuta uteuzi Kwa kutunga sifa za uongo ambazo hazipo duniani mfano "makoñda bingwa wa siasa afrika mashariki na kati" halafu anashuhudia watu wa ccm wachache wakifumua mabilioni huku akiachwa na njaa zake moyoni anamengi ya kusema ila anakufa tai. Wapi mwashambwa wenzio wanazipiga huku habari za mwakaleli mwanafyale!
 
Mwashambwa anapita kulee anagugumia Kwa maumivu makali huku anawaza jinsi anavyohangaika kutafuta uteuzi Kwa kutunga sifa za uongo ambazo hazipo duniani mfano "makoñda bingwa wa siasa afrika mashariki na kati" halafu anashuhudia watu wa ccm wachache wakifumua mabilioni huku akiachwa na njaa zake moyoni anamengi ya kusema ila anakufa tai. Wapi mwashambwa wenzio wanazipiga huku habari za mwakaleli mwanafyale!
Magu ndio alituchoma hii kesi
 
Yaani Bilioni 300 ambazo ni sawa na pesa ya kujenga km 250 za Lami tunaenda kuwalipa Matapeli wa Indiana Resources ambao Wanashulikiana na Mafisadi wa Serikalini.

Daa inauma Sana aisee

View: https://www.instagram.com/p/C3F3aRptQRN/?igsh=ZmFkMjNjZzNwamk2

Ukifikiri vizuri wazungu watatumaliza, hii ni aina nyingine ya wazungu kutunyonya. Hizo kesi wanapelekewa wazungu wanacheza na technicalities tunapigwa. Ukombozi wa Afrika ni kusimama kwa miguu yetu na ikiwezekana kukata uhusiano na hao washenzi. Kesi ya nyani huwezi kumpelekea ngedere ukashinda. Hivyo vishoga vitatumaliza.
 
Ukifikiri vizuri wazungu watatumaliza, hii ni aina nyingine ya wazungu kutunyonya. Hizo kesi wanapelekewa wazungu wanacheza na technicalities tunapigwa. Ukombozi wa Afrika ni kusimama kwa miguu yetu na ikiwezekana kukata uhusiano na hao washenzi. Kesi ya nyani huwezi kumpelekea ngedere ukashinda. Hivyo vishoga vitatumaliza.

..Ndivyo mnavyojidanganya.

..Kwanza Ccm wamesaini mikataba mibovu.

..Pili Ccm wamevunja mikataba kibabe.

..Mchawi wetu ni Ccm sio wazungu.
 
Kilichofanyika ni kujificha kichwa mchangani kama Mbuni. Yaani ilikuwa ni issue ya muda tu.
Sio kweli!

Wasomi wa nchi hii ndio mambumbumbu mbugila mbugila. Inategemea usomi wake unampea ulaji kupitia wapi, ndiko atakapokuwa anaelewea

Yote aliyoyafanya Makonda na nguvu aliyokuwa nayo kipindi kile mpaka mkasema anatumwa na mwamba, SAA HII anatumwa na nani?
 
Back
Top Bottom