Bush Dokta
JF-Expert Member
- Apr 11, 2023
- 24,831
- 45,154
Walidhani kule kuna Majaji wa kupigia Simu?Yaani Bilioni 300 ambazo ni sawa na pesa ya kujenga km 250 za Lami tunaenda kuwalipa Matapeli wa Indiana Resources ambao Wanashulikiana na Mafisadi wa Serikalini.
Daa inauma Sana aisee
View: https://www.instagram.com/p/C3F3aRptQRN/?igsh=ZmFkMjNjZzNwamk2
Ni ngumu mzee.....watu watanunuaje Prado?Nadhani ni bora kushughulika na kiini cha hizi kesi kuliko matokeo ya hizi kesi .Mfano tushugjulike na watu wanaojicommit au kuingia mikataba isiyo na afya kwa Taifa .Ni ngumu sana kwa wakili anae lipwa milioni kwenda kushinda kesi ya billions .
Does this make you happy or what?Yaani Bilioni 300 ambazo ni sawa na pesa ya kujenga km 250 za Lami tunaenda kuwalipa Matapeli wa Indiana Resources ambao Wanashulikiana na Mafisadi wa Serikalini.
Daa inauma Sana aisee
View: https://www.instagram.com/p/C3F3aRptQRN/?igsh=ZmFkMjNjZzNwamk2
Sidhani kama kuna ukweli wowote...wakati akiwepo, nani alisumbua sumbua?japo ndiyo ukweli wenyewe.
Kilichofanyika ni kujificha kichwa mchangani kama Mbuni. Yaani ilikuwa ni issue ya muda tu.Sidhani kama kuna ukweli wowote...wakati akiwepo, nani alisumbua sumbua?
Alipoamua kununua ndege na kuziweka chini ya mamlaka isiyodaiwa, hakuna aliyeweza kufanya lolote, leo mnajifanya wanademokrasia, kila kitu kitachukuliwa
View attachment 2898029
Katiba sio suluhisho! Wewe unadhani katiba ni suluhisho unajidanganya! Wabongo sio wazalendo!Ndo maana tunahitaji Katiba mpyaa Majambazi yafufurushwe....
πππWalidhani kule kuna Majaji wa kupigia Simu?
Cc Rostam Aziz
Yaani Bilioni 300 ambazo ni sawa na pesa ya kujenga km 250 za Lami tunaenda kuwalipa Matapeli wa Indiana Resources ambao Wanashulikiana na Mafisadi wa Serikalini.
Daa inauma Sana aisee
View: https://www.instagram.com/p/C3F3aRptQRN/?igsh=ZmFkMjNjZzNwamk2
Ingekuwa ni kesi iliyofanyika kwenye mahakama za hapa kwetu, lazima serekali ingepanga ushindi.Kinachofurahisha wamepewa ndege pamaja na posho za serikali kwenda kushindwa kesi.
Nani alie saini huo mkataba mbovu?Pumbavu,Yule mtu wenu ndio katufikisha hapo kisa mihemko na sifa za kijinga
HahaaaMakonda apewe hiyo kesi aishughulikie. Hizo ndio kero za kweli,sio ile mitaji ya laki Tano anayotoa huko kwenye fiesta.
ππππTulikaa baa kuangalia matangazo ya moja kwa moja kutoka jumba kubwa tukinywa bia. Baa zilineemeka, TBC na vyombo vingine vilipata content, watazamaji. Hamna namna, tuunge mkono juhudi kwa kuchangishana tulipe.
Tunapigwa kila sehemuMajanga Juu ya majanga ππ
View: https://www.instagram.com/p/C3F4hesoLeK/?igsh=bmprOGt2NXAxM2h6