Huyu paka pori hana pa kuchomokea. Lazima akanyee debe ili liwe fundisho kwa wengine.Hii mbungi akiponyoka akatoe sadaka kwa mizimu ya mababu zao
Yule jamaa humu huwa anasema no Man will be burried uncircumscised sasa namuelewa😂😂Enforced Disappearances: A systematic pattern of abducting opposition figures and activists. The filing lists over 200 cases since 2019, including the abduction and murder of CHADEMA strategist Ally Kibao in September 2024
Duuh ila jamaa mnakuza maneno eti more than 20k??Walionga mashahidi yakaisha. Wao waliua less than 200. Hawa wameua 20,000. Je utaonga familia zote hizo.?
Hii ya vyombo dhidi ya civilians sioni namna ya kukwepa mkono wa dola ya CNNKesi ya Kenya ni tofauti kidogo, Kenya ilikuwa civilians against civilians ilikuwa rahisi kwa Uhuru kujitetea hakuhusika moja kwa moja lkn kwa Tanzania Rais ni ngumu kujitetea kwa vile mauaji yamefanywa na vyombo vya dola, serikali (polisi, TISS, etc) against civilians ambapo yeye ni commander in chief alikuwa na uwezo wa kuvizuia.
Ilileta heshima kubwa sana hadi leoHuyu mtu na watu wake wa karibu wanastahili kufikishwa ICC na wahukumiwe,
Swali: Kesi ya William Rutto na Uhuru Kenyatta iliishia wapi?
Hii ndio maana ya Elimu Elimu ElimuaNovemba 13 ilifunguliwa kesi Mahakama ya Kimataifa ya Uhalifu (ICC) imepokelewa na mchakato unaendelea chini kwa chini.
Hivi karibuni itasikika sana. Swali langu ni - Je, nini itakuwa hatma ya kesi hii?
Media za Tanzania zitaripoti?
=========
Legal Group Petitions ICC to Investigate Tanzanian President for Crimes Against Humanity Following Deadly 2025 Elections
MADRID/THE HAGUE – A coalition of international legal experts and human rights organizations has filed a formal petition with the International Criminal Court (ICC), accusing Tanzanian President Samia Suluhu Hassan and her top security officials of orchestrating crimes against humanity. The filing follows the disputed October 2025 general elections, which allegedly resulted in a violent crackdown, leaving hundreds, potentially thousands, of civilians dead.
The communication, submitted on November 13, 2025, under Article 15(2) of the Rome Statute, describes a "widespread and systematic attack" against the civilian population. The petitioners, including the Human Rights Section of the Madrid Bar Association and the World Jurist Association Human Rights Institute, are urging the ICC Prosecutor to open an immediate preliminary examination into the situation.
The Allegations: A State-Sanctioned Massacre
The 82-page legal filing paints a harrowing picture of the aftermath of the October 29, 2025, elections, in which President Hassan was declared the winner with a contested 97.66% of the vote.
According to the document, when protests erupted over alleged electoral fraud, the government responded with "shoot-to-kill" orders. The petition cites opposition sources estimating between 700 and 3,000 deaths nationwide, with security forces allegedly firing live ammunition into crowds of unarmed demonstrators in Dar es Salaam, Mwanza, and Arusha.
The document catalogs a litany of specific crimes, including:
Targeting the Most Vulnerable
- Mass Murder: Coordinated lethal operations by police and military forces against protesters.
- Enforced Disappearances: A systematic pattern of abducting opposition figures and activists. The filing lists over 200 cases since 2019, including the abduction and murder of CHADEMA strategist Ally Kibao in September 2024.
- Systematic Torture: The petition details the brutal torture of detainees in police custody. Notably, it highlights the cases of prominent Kenyan activist Boniface Mwangi and Ugandan journalist Agather Atuhaire, who were arrested, tortured, and sexually assaulted in May 2025 while attempting to observe a trial.
- Digital Warfare: The five-day nationwide internet shutdown during the election is characterized in the filing as a "crime against humanity" and an "inhumane act" designed to facilitate mass killings by preventing documentation and cutting off access to emergency services.
Beyond political suppression, the document accuses the Tanzanian government of persecution based on ethnicity and religion. It details the forced displacement of 80,000 to 150,000 indigenous Maasai people from the Ngorongoro and Loliondo regions to clear land for conservation and tourism, describing the actions as violent evictions involving the withdrawal of basic services.
Possibilities Moving Forward: What Happens Next?
The filing serves as a formal request for the ICC Prosecutor to intervene. Because Tanzania is a State Party to the Rome Statute, the ICC has jurisdiction over crimes committed on its territory.
The document outlines the legal path forward:
"The Rome Statute was created for precisely this situation—where a state commits mass atrocities against its own population and domestic institutions cannot or will not provide accountability," the petition concludes. "For Tanzania's victims, the ICC is the only hope."
- Preliminary Examination: The immediate goal of the petition is for the Office of the Prosecutor (OTP) to determine if there is a reasonable basis to proceed. The petitioners argue that Tanzania is "unwilling and unable" to investigate itself, citing the collapse of judicial independence and the promotion of alleged perpetrators.
- Formal Investigation: If the OTP validates the claims, they may request authorization from the Pre-Trial Chamber to launch a full investigation.
- Arrest Warrants: The ultimate aim of the petitioners is the issuance of arrest warrants for those deemed "most responsible." The filing explicitly names President Samia Suluhu Hassan as the primary target, citing her role as Commander-in-Chief. It also names the Director of Intelligence Services, the Police Commander, and the Minister of Information (responsible for the internet blackout).
The Tanzanian government has yet to issue a formal response to the ICC filing. However, previous statements from the administration have characterized the post-election protesters as "criminals" and denied reports of mass casualties.
View attachment 3507016View attachment 3507017View attachment 3507018View attachment 3507019
Atume Mafwele, Haji Omar Kheir, Makonder, nk wakafanye utekaji hukoWanasheria watinga ICC na kufungua kesi dhidi ya Rais Samia na wakuu wa Vyombo vya Usalama Tanzania
Unajipa moyo sana Mkuu. Hata kwetu itakua hivyo hivyo. Watakana ushahidi na ICC watakua na kazi kubwa sana kuthibitisha kwamba hizo videos na picha ni kweli zilichukuliwa Tz. Halafu pia kuthibitisha kwamba Samia aliamuru vyombo vya ulinzi viue raia siyo rahisi. Kumbuka walisha tengeneza picha ya kwamba wauaji hawakuwa Watanzania. Siyo wajinga kama unavyodhani.Mashahidi walianza kupotezwa kimya kimya , wengine walihofia maisha yao hivyo waligoma kwenda kutoa ushahidi.
Kesi ya Uhuru na Ruto haikuishia ila charges zilikua dropped kutokana na hali hizo mbili .
Pia uwepo wa teknolojia hafifu kwa zama hizo iliweza kuwanasua pia wao watu wengi hawakufa sababu mashambulizi yalikua kikabila zaidi /kikanda [Mount Kenya kwa wakikuyu, Kisumu kwa wajaluo , Rift Valley kwa kalenjins haya makabila matatu ndio yalipigana sana na wengi waliishia kukimbia makazi kuliko idadi ya vifo.
Hivyo hata vifo vilikua sio vingi maana ilikua ni ukikutwa ukanda wa kabila fulani kama mgeni unawindwa na kuuwawa hivyo idadi kubwa ilikua ni waliokimbia na kukosa makazi hivyo ilikua vita vya kikanda kutokana na block za vyama PNU & ODM na ndio maana uundwaji wa serikali ya mseto ulituliza zile ghasia .
Huyu ajuza muuaji hawezi kuchomoka sababu mauaji yamefanywa na vidampa wake wa policcm na mamluki kukota kwa Museveni hadi kwa watu waliokuwa majumbani wamepumzika tu na ushahidi wa video na picha uko wazi licha ya wao kuzima internet.
endelea kukaza fuvuUnajipa moyo sana Mkuu. Hata kwetu itakua hivyo hivyo. Watakana ushahidi na ICC watakua na kazi kubwa sana kuthibitisha kwamba hizo videos na picha ni kweli zilichukuliwa Tz. Halafu pia kuthibitisha kwamba Samia aliamuru vyombo vya ulinzi viue raia siyo rahisi. Kumbuka walisha tengeneza picha ya kwamba wauaji hawakuwa Watanzania. Siyo wajinga kama unavyodhani.
Novemba 13 ilifunguliwa kesi Mahakama ya Kimataifa ya Uhalifu (ICC) imepokelewa na mchakato unaendelea chini kwa chini.
Hivi karibuni itasikika sana. Swali langu ni - Je, nini itakuwa hatma ya kesi hii?
Media za Tanzania zitaripoti?
Nakusanua Mkuu. Usije sema hukujua. Kushinda kesi kunahitaji ushahidi wa pasi na shaka. Pia uonyeshe uhusiano. Ukishindwa kuonyesha uhusiano wa moja kwa moja kati ya ushahidi ulionao na mtuhumiwa unapoteza kesi.endelea kukaza fuvu
Huyu mama kumbe mhuni. Mbona amevaaa shanga mkononi?
Walikuwa wanavuta bangi kwanza na kula kuberiNazani waliokuwa wanapiga watu walikuwa wendawazimu mtu timamu huwezi kuua watu kwa mtindo ule katika zama hizi za teknolojia
Hata huyo Nchimbi hatumtaki Samia aking'atuka.Samia asiwe na hofu ajitayarishe kukabidhi mikoba ya urais kwa kaimu rais Emmanuel Nchimbi kwa kufuata hatua za kikatiba na kulihutubia bunge kuwa anakwenda Uholanzi na hafahamu mchakato utachukua muda gani huko Mahakama hivyo anakabidhi madaraka kwa Nchimbi kama Uhuru Kenyatta alivyofanya wazi
Kukaimu urais iliwahi kutokea, Samia anajitayarisha kwenda kujitetea akiongozana na Hamza Johari AG Mwanasheria Mkuu kumpambania kwa hoja dhidi ya Mwendesha Mashtaka Mkuu wa ICC ili wapone kama Uhuru Kenyatta alivyoweza kuchoropoka kutoka ICC
TOKA MAKTABA :
6 Oktoba 2014
RAIS UHURU KENYATTA - WAHESHIMIWA NACHUKUA HATUA HII YA KIHISTORIA, KUKAIMISHA MADARAKA YA URAIS KWA MH. RUTO ILI NIENDE ICC THE HAGUE UHOLANZI KUJITETEA
View: https://m.youtube.com/shorts/ITgd_NJ_ulYRais wa Kenya Uhuru Kenyatta ataelekea katika Mahakama ya Kimataifa ya Uhalifu huko Hague, Uholanzi kuheshimu wito kuhusu madai yake ya kuhusika katika kuandaa ghasia za baada ya uchaguzi wa 2007. Rais Kenyatta alitoa tangazo hilo katika kikao maalum cha pamoja katika Bunge la Kitaifa la Kenya na Seneti. Pia alimteua naibu wake William Ruto kukaimu kama Rais akiwa hayupo. Hii hapa ripoti ya Chris Ocamringa. Kwa habari zaidi tembelea
View: https://m.youtube.com/watch?v=D8Odn8ne-SQ
Novemba 13 ilifunguliwa kesi Mahakama ya Kimataifa ya Uhalifu (ICC) imepokelewa na mchakato unaendelea chini kwa chini.
Hivi karibuni itasikika sana. Swali langu ni - Je, nini itakuwa hatma ya kesi hii?
Media za Tanzania zitaripoti?
=========
Legal Group Petitions ICC to Investigate Tanzanian President for Crimes Against Humanity Following Deadly 2025 Elections
MADRID/THE HAGUE – A coalition of international legal experts and human rights organizations has filed a formal petition with the International Criminal Court (ICC), accusing Tanzanian President Samia Suluhu Hassan and her top security officials of orchestrating crimes against humanity. The filing follows the disputed October 2025 general elections, which allegedly resulted in a violent crackdown, leaving hundreds, potentially thousands, of civilians dead.
The communication, submitted on November 13, 2025, under Article 15(2) of the Rome Statute, describes a "widespread and systematic attack" against the civilian population. The petitioners, including the Human Rights Section of the Madrid Bar Association and the World Jurist Association Human Rights Institute, are urging the ICC Prosecutor to open an immediate preliminary examination into the situation.
The Allegations: A State-Sanctioned Massacre
The 82-page legal filing paints a harrowing picture of the aftermath of the October 29, 2025, elections, in which President Hassan was declared the winner with a contested 97.66% of the vote.
According to the document, when protests erupted over alleged electoral fraud, the government responded with "shoot-to-kill" orders. The petition cites opposition sources estimating between 700 and 3,000 deaths nationwide, with security forces allegedly firing live ammunition into crowds of unarmed demonstrators in Dar es Salaam, Mwanza, and Arusha.
The document catalogs a litany of specific crimes, including:
Targeting the Most Vulnerable
- Mass Murder: Coordinated lethal operations by police and military forces against protesters.
- Enforced Disappearances: A systematic pattern of abducting opposition figures and activists. The filing lists over 200 cases since 2019, including the abduction and murder of CHADEMA strategist Ally Kibao in September 2024.
- Systematic Torture: The petition details the brutal torture of detainees in police custody. Notably, it highlights the cases of prominent Kenyan activist Boniface Mwangi and Ugandan journalist Agather Atuhaire, who were arrested, tortured, and sexually assaulted in May 2025 while attempting to observe a trial.
- Digital Warfare: The five-day nationwide internet shutdown during the election is characterized in the filing as a "crime against humanity" and an "inhumane act" designed to facilitate mass killings by preventing documentation and cutting off access to emergency services.
Beyond political suppression, the document accuses the Tanzanian government of persecution based on ethnicity and religion. It details the forced displacement of 80,000 to 150,000 indigenous Maasai people from the Ngorongoro and Loliondo regions to clear land for conservation and tourism, describing the actions as violent evictions involving the withdrawal of basic services.
Possibilities Moving Forward: What Happens Next?
The filing serves as a formal request for the ICC Prosecutor to intervene. Because Tanzania is a State Party to the Rome Statute, the ICC has jurisdiction over crimes committed on its territory.
The document outlines the legal path forward:
"The Rome Statute was created for precisely this situation—where a state commits mass atrocities against its own population and domestic institutions cannot or will not provide accountability," the petition concludes. "For Tanzania's victims, the ICC is the only hope."
- Preliminary Examination: The immediate goal of the petition is for the Office of the Prosecutor (OTP) to determine if there is a reasonable basis to proceed. The petitioners argue that Tanzania is "unwilling and unable" to investigate itself, citing the collapse of judicial independence and the promotion of alleged perpetrators.
- Formal Investigation: If the OTP validates the claims, they may request authorization from the Pre-Trial Chamber to launch a full investigation.
- Arrest Warrants: The ultimate aim of the petitioners is the issuance of arrest warrants for those deemed "most responsible." The filing explicitly names President Samia Suluhu Hassan as the primary target, citing her role as Commander-in-Chief. It also names the Director of Intelligence Services, the Police Commander, and the Minister of Information (responsible for the internet blackout).
The Tanzanian government has yet to issue a formal response to the ICC filing. However, previous statements from the administration have characterized the post-election protesters as "criminals" and denied reports of mass casualties.
View attachment 3507016View attachment 3507017View attachment 3507018View attachment 3507019
Mkuu, Point wanayoisimamia Serikali kwasasa ni kusema kuwa waliouwa watu si Watanzania ni Wanajeshi kutoka nje na wameua mpaka polisi wetu.Novemba 13 ilifunguliwa kesi Mahakama ya Kimataifa ya Uhalifu (ICC) imepokelewa na mchakato unaendelea chini kwa chini.

Kipindi wanaua nani alikuwa na jukumu ka kulinda wananchi?Mkuu, Point wanayoisimamia Serikali kwasasa ni kusema kuwa waliouwa watu si Watanzania ni Wanajeshi kutoka nje na wameua mpaka polisi wetu.
Na hawatashindwa kuleta list ya Polisi waliouawa hata kwa kutengeneza na kuwapa namba
Hili mnalipinduaje?