Mkuu siyo yeye peke yake,Dah, homeboy Bashungwa yupo kwenye very complicated situation. Kwasababu tuhuma nyingi ni kwa Polisi iliyochini yake sioni atapona vipi. Wakati mwingine bora kukaa mbali na siasa utafute ugali kwa njia za kawaida.
VERY TRUE ,...Lakini pia UHURU ilimpelekesha haswa kuja kushinda kesi alikuwa ameshachokaKesi ya Kenya ni tofauti kidogo, Kenya ilikuwa civilians against civilians ilikuwa rahisi kwa Uhuru kujitetea hakuhusika moja kwa moja lkn kwa Tanzania Rais ni ngumu kujitetea kwa vile mauaji yamefanywa na vyombo vya dola, serikali (polisi, TISS, etc) against civilians ambapo yeye ni commander in chief alikuwa na uwezo wa kuvizuia.
Wauaji ni Polisi, TISS na vikosi vilivyoingizwa kutoka Uganda na Zanzibar.Dah, homeboy Bashungwa yupo kwenye very complicated situation. Kwasababu tuhuma nyingi ni kwa Polisi iliyochini yake sioni atapona vipi. Wakati mwingine bora kukaa mbali na siasa utafute ugali kwa njia za kawaida.
Ni kikoba cha CCM.TISS siyo kikoba punguani wewe
Aliyekuwa Rais wa Ufilipino Duterte si alikamatwa nchini kwake au yeye ilikuaje unaweza kuongezea nyama kwenye hiliKwa ufupi wakikutwa na hatia siku akinyanyua mguu wake kwenda nje ya mipaka ya Tanzania atakamatwa. Pona pona yake ni kubakia nchini...
Hivyo basi ule u Vasco da Gama hautokuwepo tena kwake....
swali zuriVipi utaratibu wa kumfikisha mahakamani Samia, Wambura, na wengine wakingoma kuitikia wito wa Mahakama, Je mahakama ya ICC ina njia zipi na zipi za kuweza kuwafikisha?
Here comes in play newly ambasada mr nyalqndu. He will squash it easily by one callICC haiendi hivyo. Ndo maana nilimwandikia hapa Bashungwa, alipata yellow flags za kutosha akapuuza.
Nyaraka ina mambo mengi.
Uzuri, waliofungua kesi hii wanaonekana kujipanga vema sana, sio wa kuchukuliwa poa
Hakamatwi labda tuanzishe maandamano ya kwenda kumkamata sisi wenyewe ikuluKama akaamua kutotoka kabisa nchini kwa maisha yake yote inamaana hataweza kukamatwa kabisa?
Basi hii mahakama haina nguvuHakamatwi labda tuanzishe maandamano ya kwenda kumkamata sisi wenyewe ikulu
Aliyekuwa Rais wa Ufilipino Duterte si alikamatwa nchini kwake au yeye ilikuaje unaweza kuongezea nyama kwenye hili
Mimi nimemkumbuka homeboy maana damu nzito kuliko maji ...Mkuu siyo yeye peke yake,
Watu wanasahau mwenyeviti wa usalama wa mikoa..RC
Wanasahau hata DC,
Watu wanasahau RPC wa mikoa ambayo risasi zilitumika hasa...
Mashahidi karibia wote walihongwa, wengine walitishwa na waliokuwa na msimamo mkali zaidi waliuliwa. Ikumbukwe wakati mauaji yanatokea Ruto na Uhuru walikuwa mahasimu, ila wakati kesi inanguruma walishakuwa maswahiba- huyu rais na mwingine akamu.Swali: Kesi ya William Rutto na Uhuru Kenyatta iliishia wapi?
Kuna tofauti kubwa na kilicho tokea tanzania ...ingekuwa watu wa vyama vya siasa wameuana wao kwa wao siyo mbaya ...kenya kulitokea mauaji ya siasa za ukabila hapa tanzania samia ndiyo kaamrisha polisi na majeshi mbalimbali kuua raia wanao dai haki.Huyu mtu na watu wake wa karibu wanastahili kufikishwa ICC na wahukumiwe,
Swali: Kesi ya William Rutto na Uhuru Kenyatta iliishia wapi?
Kushindwa kusoma alama za nyakati. Unaingiaje kwenye mfumo ambao ni dhahiri umekataliwa na majority?Dah, homeboy Bashungwa yupo kwenye very complicated situation.
Kwasababu tuhuma nyingi ni kwa Polisi iliyochini yake sioni atapona vipi.
Wakati mwingine bora kukaa mbali na siasa utafute ugali kwa njia za kawaida.
Kuna kosa kidogo la kiuandishi itabidi ifanyike uhaririNovemba 13 ilifunguliwa kesi Mahakama ya Kimataifa ya Uhalifu (ICC) imepokelewa na mchakato unaendelea chini kwa chini.
Hivi karibuni itasikika sana. Swali langu ni - Je, nini itakuwa hatma ya kesi hii?
Media za Tanzania zitaripoti?
View attachment 3507016View attachment 3507017View attachment 3507018View attachment 3507019
Hata Mimi naona ni kama ya mchongo tu.Basi hii mahakama haina nguvu
Hakuwepo kabla ya October 29... Hii inaonyesha timu ya uratibu wa kutoa Elimu ya Maandamano wako very organized, strategic na wako seriousYule anaweza kuwa dogo lakini pia anaweza kuwa mtu mzima. Data alionazo si za GenZ.