Patriot
JF-Expert Member
- Feb 11, 2008
- 5,705
- 4,703
Hii ni nane-nane na kuna wanasiasa wengi wanazindua sherehe na taasisi za serikali zinajilazimisha kwamba wamefanya makubwa ktk kilimo. Huu ni unafiki kwa wanasiasa na taasisi za serikali.
Tunayoyaona ktk maonesho haya, kama kweli ndiyo mafanikio ya kilimo kila mwaka, basi kilimo cha nchi hii kingekuwa juu sana ukilinganisha na umaskini wa mkulima.
Kibaya zaidi kila kona tunawasikia wanasiasa wakiwachochea wasomi waingie kwenye kilimo. Hakuna anayewachochea wasomi waingie ktk siasa au biashara ili kuondoa wasiostahili. Majukwaa yamejaa udanganyifu wakati wao na familia zao hawataki hata kuajiliwa serikalini.
Wao ni siasa hadi vizazi na vizazi na biashara za kuiba pesa za serikali. Tusidanganyane Kilimo kiache kife na tutashika adabu.