Wanasiasa acheni kushawishi wasomi kwenda kulima. Ninyi na watoto wenu mbona munaingia kwenye siasa?

Patriot

JF-Expert Member
Joined
Feb 11, 2008
Posts
5,705
Reaction score
4,703
Hii ni nane-nane na kuna wanasiasa wengi wanazindua sherehe na taasisi za serikali zinajilazimisha kwamba wamefanya makubwa ktk kilimo. Huu ni unafiki kwa wanasiasa na taasisi za serikali.

Tunayoyaona ktk maonesho haya, kama kweli ndiyo mafanikio ya kilimo kila mwaka, basi kilimo cha nchi hii kingekuwa juu sana ukilinganisha na umaskini wa mkulima.

Kibaya zaidi kila kona tunawasikia wanasiasa wakiwachochea wasomi waingie kwenye kilimo. Hakuna anayewachochea wasomi waingie ktk siasa au biashara ili kuondoa wasiostahili. Majukwaa yamejaa udanganyifu wakati wao na familia zao hawataki hata kuajiliwa serikalini.

Wao ni siasa hadi vizazi na vizazi na biashara za kuiba pesa za serikali. Tusidanganyane Kilimo kiache kife na tutashika adabu.
 
Hawa unaowaona majukwaani ndo unadhani ni wansiasa? These are mediocre! Nionavyo, tuna kundi la wezi ambalo sasa linatuchochea kutafuta mali ili waziibe tena kwa nguvu na familia zao. Achana na hao.

Kadri nchi inavyoongeza wasomi, idadi ya wajinga inapungua. Itakuiwa vigumu kumpata mtu anayeshinda shamnbani ili kulisha wapangaji wa Ikulu.
 
Biashara ya kuambizana tukalime hatuitaki kabisaaa! Hawa watu wanadhani TZ bado tunadanganywa. Mimi sihitaji kusikia neno kulima. Ni ushenz wa aina fulani ktk nchi. Ni kweli! Wao wanaiba mali za serikali mimi nikalime! NOOOO! Ngoja wote tukose chakula tu. Nikilima ni kwa matuzi yangu.
 
Hii ni nane-nane na kuna wanasiasa wengi wanazindua sherehe na taasisi za serikali zinajilazimisha kwamba wamefanya makubwa ktk kilimo. Huu ni unafiki kwa wanasiasa na taasisi za serikali.

Tunayoyaona ktk maonesho haya, kama kweli ndiyo mafanikio ya kilimo kila mwaka, basi kilimo cha nchi hii kingekuwa juu sana ukilinganisha na umaskini wa mkulima.

Kibaya zaidi kila kona tunawasikia wanasiasa wakiwachochea wasomi waingie kwenye kilimo. Hakuna anayewachochea wasomi waingie ktk siasa au biashara ili kuondoa wasiostahili. Majukwaa yamejaa udanganyifu wakati wao na familia zao hawataki hata kuajiliwa serikalini.

Wao ni siasa hadi vizazi na vizazi na biashara za kuiba pesa za serikali. Tusidanganyane Kilimo kiache kife na tutashika adabu.
Nafikiri itakuwa vizuri kwenye katiba mpya kuwe na term limit kwenye hizi nafasi hasa ya Ubunge ... 15 years inatosha. Hii itazuia watu kufanya siasa kama career.
 
Back
Top Bottom