Wanasiasa kumi wenye akili nyingi kuwahi kutokea Tanzania

Akili ni akili tu! Ila uwezo wa kuzitumia mpaka kuwazidi wengine ndio maana zinaitwa nyingi kwa muktadha huo iangalie vizuri orodha.
Akili ya nyerere kisiasa ukiilinganisha na akili ya balali mwizi BOT ni kazi kizipima
Ila uchukua akili ya mwizi na mwizi ni rahsi kupima kwa kuangalia mbinu alizotumia kuiba,
Mtu kama makonda anakili gani mpaka aingie 10 bora, kama ni kufoj vyet kuna watu wana PHD forged
 
Kama kuna mtu anamharibia RAIS MAGUFULI ni Paul Makonda akili za vyeti feki moto anaouwasha utamuuguza mpaka kkwenye uchaguzi wa 2020 CCM NA MAGUFULI + MAKONDA +MOTO WA MIHEMKO= MAJIVU MATUPU.
 
Hao jamaa ni kwkw [emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]
 
Ondoa 6na7 weka Ana Mugwira, Mbatia ,Zitto, Pinda, Wasira,Warioba na D. Filikunjombe(RIP)
 
Hivi unawezaje kulinganisha wapuuzi na wenye hekima.ujinga unapotamalaki !!! Ni aibu tupu !
 
Huyo aliyepata ma fa fa fa fa faaaa.....au umetumia vigezo gan? Embu itazame hyo list vizur zn peruzi na kudadis elimu za waliowekwa hapo
Elimu ndio nn uongozi ni kipaji kama ilivyo kwa wasanii wa bongo Levya.
 
Akili za nn?
 
Ndio maana nikasema huu ni mtazamo wangu ambao unaweza ukawa tofauti na mawazo ya wengine
 
inawezekan il ingekuwa vyem uweke na mitihan migum iliyowashnda wa Tz wao wakaifanya
 
Genius anayeshindwa masomo sijawahi kumuona duniani

Huyo jamaa akili zake chenga hajui kuwa mnasiasa ni mgawanyo wa majukumu-kuna watu wapo field zingine ni vichwa hatari
Nimesema hivi; huu ni mtazamo wangu! Ndio maana nikatoa option kuwa sio unaweza ukaongezea kwenye orodha unaowaona wanafaa!
 
il m kwa psychology nliyosom iyo namb cta c ya kuchezesha kwenye kikos itachomesha timu
 
Daaah kwa hiyo orodha yako pole sana, kwani elimu yako ndio imekwambia hivo, binafsi kuna watu wenye mchango na akili nyingi zaidi ya hao wanasiasa wanaotafuta attention ya media.

Hiyo top ten yako kuna watu watatu tu atleast wana hekima, akili na maono yaliyo sahihi. Mind you namba 6 astahili hata kulinganishwa na mjumbe wa nyumba kumi, hana akili hata kidogo, mtu mwenye akili anajua kucontrol hasira.
 
Namba 6. Sifa nyingine ni kupiga makofi viongozi Na kubambikizia watu mashuhuli kesi
 
Mkuu usinidunishe na elimu yangu! Kwani naweza nikahitaji tuweke vyeti hapa mwisho wa siku usije ukanikimbia! Maana Mimi huwa sioni ugumu wowote wa kuweka vyeti hapa! Isitoshe hakuna uhusiano wa moja kwa moja kati ya elimu ya mtu na uwezo wa akili alionao upo?
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…