Halafu mbaya zaidi mwezi ujao zinaanza kampeni vipi atahutubia wananchi kwa YouTube au atawakusanya tu na kuwatoa mhanga kwenye corona.?
UsimpangieTundu huwa ana hoja lakini wakati mwingine huwa mropokaji sana! Ajikite kwenye hoja za nini atawafanyia watanzania.
Rais alishasema hakuna Corona Tanzania.Mkuu wewe unauakika gani kama Corona imeisha Tanzania ..??
..hivi CCM mmewahi kuwaunga mkono wapinzani ktk jambo gani?
..mbona kila siku mnawachafua na kujaribu kuwaaminisha wananchi kwamba wapinzani ni watu wabaya?
Wewe Una mapenzi na CCMLeo Nilibahatika Kusikiliza Live interview ya Mheshimiwa Tundu Lissu na Televisheni moja nchini Kenya. Mtangazaji Aliegemea kwenye Hoja tatu kama zilivyo orodheshwa hapo chini.
1. Kupigwa Risasi kwa Tundu Lissu
2. Hali ya Covi-19 kwa Tanzania kwa sasa
3. Hali ya haki za Binadamu kwa Tanzania kwasasa
Binafsi Nitaegemea kwnye hoja ya Pili ambayo ni COVID-19.
Ikumbukwe kwamba Kenya ni Moja ya nchi mpinzani wetu mkubwa katika sector ya utalii na ndio maana mpaka leo kuna watu wanajua mlima kilimanjaro ambao ni moja ya kivutio kikubwa cha utalii duniani upo Kenya.
Suala la Tanzania kufungua mipaka na kukaribisha Watalii kipindi cha COVID-19 kimewaumiza sana majirani zetu, na wataalam wa masuala ya uchumi lazima watakwambia tumegain positively kiuchumu kwa move hii.
Niseme ukweli ni ujinga kuiponda serikali kwa hatua ilizochukua kuhusu COVID-19, Halafu unasema COVID-19 ipo sana Tanzania kwa takwimu zipi? Kilichopo ni watu kuchukua tahadhari na kuendelea na maisha.
Hivi hii COVID-19 ingekuwepo hapa Tanzania na maambukizo yawe ndio kama tunavyoelezwa Tanzania si kungekua na maiti huko Barabarani zimezagaa? Nani aliangalia fainali ya FA cup kati ya Simba na Namungo? mliona ule msongamano
Lets be careful guys, Ninajua wengi hawatapenda hii kwakua wana mahaba na upinzani lakini penye ukweli lazima usemwe.
Sijafurahia walivyofanya baada ya mahojiano kuweka TBT YA IDDI AMIN DADA AKIWAFOKEA MAWAZIRI WAKE.
Utawala usiozingatia mifumo na sheria za nchi ni wa kienyeji sana, hatuwezi kwenda huko, mitano inatosha.Mitano ya nduli makufuli inatosha, utawala wake wa mkono wa chuma sasa basi.
Kwa hiyo sisi Kama Kama corona free country tunafungulia mipaka kuruhusu wataliii watuletee micorona yao ili sisi tufe,Leo Nilibahatika Kusikiliza Live interview ya Mheshimiwa Tundu Lissu na Televisheni moja nchini Kenya. Mtangazaji Aliegemea kwenye Hoja tatu kama zilivyo orodheshwa hapo chini.
1. Kupigwa Risasi kwa Tundu Lissu
2. Hali ya Covi-19 kwa Tanzania kwa sasa
3. Hali ya haki za Binadamu kwa Tanzania kwasasa
Binafsi Nitaegemea kwnye hoja ya Pili ambayo ni COVID-19.
Ikumbukwe kwamba Kenya ni Moja ya nchi mpinzani wetu mkubwa katika sector ya utalii na ndio maana mpaka leo kuna watu wanajua mlima kilimanjaro ambao ni moja ya kivutio kikubwa cha utalii duniani upo Kenya.
Suala la Tanzania kufungua mipaka na kukaribisha Watalii kipindi cha COVID-19 kimewaumiza sana majirani zetu, na wataalam wa masuala ya uchumi lazima watakwambia tumegain positively kiuchumu kwa move hii.
Niseme ukweli ni ujinga kuiponda serikali kwa hatua ilizochukua kuhusu COVID-19, Halafu unasema COVID-19 ipo sana Tanzania kwa takwimu zipi? Kilichopo ni watu kuchukua tahadhari na kuendelea na maisha.
Hivi hii COVID-19 ingekuwepo hapa Tanzania na maambukizo yawe ndio kama tunavyoelezwa Tanzania si kungekua na maiti huko Barabarani zimezagaa? Nani aliangalia fainali ya FA cup kati ya Simba na Namungo? mliona ule msongamano
Lets be careful guys, Ninajua wengi hawatapenda hii kwakua wana mahaba na upinzani lakini penye ukweli lazima usemwe.
Sijafurahia walivyofanya baada ya mahojiano kuweka TBT YA IDDI AMIN DADA AKIWAFOKEA MAWAZIRI WAKE.
Wakenya walimtibu kwa miezi 4 pale Nairobi na walimchangia damu kwa sana tu,kwa hio anawaona ni ndg.
Yeye Lissu anachukua tahadhari?
Tension ya kidiplomasia imeletwa na kiongozi mwenye mitazamo ya kichifu.Hajajiandaa wala kuandaliwa kuwa mgombea Urais. Anaongea kiharakati mno kuliko jukumu analotakiwa ku face. Kwasasa nchi ipo kwenye diplomacy tension na Kenya sababu ya COVID19 na kila mmoja anataka nchi yake kunufaika.
Hapo alipaswa kujua aseme nini au ikibidi aseme hilo ni swala la ndani na tunaoshauri serikali kwa utaratibu tuliojiwekea na kuhusu hali ya sasa no comments sababu hakuna takwimu rasmi na pia wananchi wanaendelea na maisha bila hofu.
Anaposema watu wanakufa amesikia kwa nani? Huyu wasipomuweka chini wakamtoa hasira na uanaharakati tutashuhudia kampeni kituko safari hii.
Kwa hiyo sisi Kama Kama corona free country tunafungulia mipaka kuruhusu wataliii watuletee micorona yao ili sisi tufe,
busara iko wapi kuzuia muingiliano na nchi waatbirika au kushangilia mapato ya utalii yatakayokuja na .maambukizi
Zama za Nyerere Wazanzania ughaibuni walitembea kifua mbele wakijivunia nchi yao hadi raia wa nchi nyingine za Afrika zilizokuwa na matatizo wakawa wanajiita Watanzania au watoto wa Mwalimu. Sitashangaa kama Watanzania walioko ughaibuni wanaona aibu kujitambulisha na nchi yao badala yake wanajiita Wasomali maana hao ni majasiri kuliko Wabongo. WaTz hata akili za kutuwexesha kwenda ughaibuni kwa shughuli yoyote hatuna hata lughà za huko hatujui. Kenya ugonjwa wa Covid-19 unaenea kwa kasi sana na ili kutulinda sisi tusio na ugonjwa huo, walizuia ndege zetu zisitue nchini humo zisichukue coronavirus kuleta kwetu, Wakenya wakaambulia matusi wanazuia watalii wasije kwetu. Wafu wa Covid-19 hata Marekani hawazagai mitaani Bali wanazikwa na Serkali fasta bila hata ndugu kuwepo.Acha uzuzu wewe korona ipo sana nchini acheni siasa za kishamba hizo.
Acha uzuzu wewe korona ipo sana nchini acheni siasa za kishamba hizo.
Wengi ambao wamepata kufuatilia haya mahojiano walikuwa waki-base zaidi kwenye majibu ya Lissu lakini hawakutilia maanani sana katika maswali aliyokuwa akiulizwa.Leo Nilibahatika Kusikiliza Live interview ya Mheshimiwa Tundu Lissu na Televisheni moja nchini Kenya. Mtangazaji Aliegemea kwenye Hoja tatu kama zilivyo orodheshwa hapo chini.
1. Kupigwa Risasi kwa Tundu Lissu
2. Hali ya Covi-19 kwa Tanzania kwa sasa
3. Hali ya haki za Binadamu kwa Tanzania kwasasa
Binafsi Nitaegemea kwnye hoja ya Pili ambayo ni COVID-19.
Ikumbukwe kwamba Kenya ni Moja ya nchi mpinzani wetu mkubwa katika sector ya utalii na ndio maana mpaka leo kuna watu wanajua mlima kilimanjaro ambao ni moja ya kivutio kikubwa cha utalii duniani upo Kenya.
Suala la Tanzania kufungua mipaka na kukaribisha Watalii kipindi cha COVID-19 kimewaumiza sana majirani zetu, na wataalam wa masuala ya uchumi lazima watakwambia tumegain positively kiuchumu kwa move hii.
Niseme ukweli ni ujinga kuiponda serikali kwa hatua ilizochukua kuhusu COVID-19, Halafu unasema COVID-19 ipo sana Tanzania kwa takwimu zipi? Kilichopo ni watu kuchukua tahadhari na kuendelea na maisha.
Hivi hii COVID-19 ingekuwepo hapa Tanzania na maambukizo yawe ndio kama tunavyoelezwa Tanzania si kungekua na maiti huko Barabarani zimezagaa? Nani aliangalia fainali ya FA cup kati ya Simba na Namungo? mliona ule msongamano
Lets be careful guys, Ninajua wengi hawatapenda hii kwakua wana mahaba na upinzani lakini penye ukweli lazima usemwe.
Sijafurahia walivyofanya baada ya mahojiano kuweka TBT YA IDDI AMIN DADA AKIWAFOKEA MAWAZIRI WAKE.
..Jpm anawaambia wananchi wasichukue tahadhari.
..TL anawaambia wananchi wachukue tahadhari.
..huu utaratibu wa kuenenda kiholela-holela wakati dunia ikihangaika kukabiliana na covid19 inatishia watu wa nje kujumuika na sisi.
..pia tukionekana hatuko makini ktk kuchukua tahadhari tunaweza kusababisha mataifa mengine yatuzuie kusafiri kwenda nchini kwao.
..Tunamshukuru kwamba covid19 haijatupiga ukilinganisha na mataifa mengine, lakini ni UJINGA kuenenda kana kwamba tunaitafuta covid19.
Hili swali la kijinga hata KUKU wako hawezi kuuliza. Kwetu hakuna aliyewahi kufa kwa Ukimwi, narudia hakuna. Kwa hiyo Ukimwi umeisha?Kwenye familia yenu wamekufa wangapi kwa corona.?
Hakuna mtu ambae amesema, au atasema wapinzani ni watu wabaya.
Ndio maana nasema kwa kutoa mifano nchi nyinigne wapinzani na serikali hufanya kazi pamoja kwenye jambo lolote linalohusu maslahi ya taifa.
Kwa mfano mimi ningekuwa Tundu Lissu kwenye issue ya COVID -19 nigeulizwa suali lolote lile nikiwa mpinzani ningesema
"Mpaka sasa hatuna taarifa zaidi kuhusiana na idadi halisi ya vifo kwa kuwa serikali haitatoa takwimu sahihi. Lakini tunajitahidi kuwabana serikali kupitia wizara ya Afya ili waendelee kutoa taarifa.
Lakini kama serikali inasema hakuna Corona nchini basi nisingependa kutoa taarifa ambazo sinazo."
Ukisema hivyo unaonekana ni kweli wewe umeiva kisiasa, kidiplomasia na hata kwenye kuchambua lipi useme na lipi uhifadhi kwani suala hilo ni kwa maslahi ya taifa.
Kuna mambo mengi yanahusika hapo uchumi, utalii na kadhalika.
lakini wapinzani si watu wabaya kabisa ila wapekosa weledi wa kukabiliana na serikali.
Na weledi huo si matusi, kejeli wala kashfa na lugha kali wala upotoshaji wa taarifa na mambo mbalimbali.
Shetani ni shetani tu, ukikaa vibaya anakumiminia risasi 38, ogopa shetani.
...."Nitasema kweli daima fitina kwangu mwiko." Moja ya imani za chama pendwa ambayo ilibakia kwenye makaratasi.
Msema kweli ni mpenzi wa Mungu. Vitabu vya dini vinasema "usiseme uongo."
Mchana utaendelea kuwa mchana hata kama binafsi ungependa vipi iwe usiku.
Kujidanganya hakutatusaidia:
Watanzania, Kuukimbia ukweli hakutatusaidia
Heko Lissu kwa kuusema ukweli. Hauko peke yako. Wanaokumbatia janja, ghiliba, hadaa, na yote ya namna hiyo watakutana nasi October 2020 at our best.
Wanasahau kuwa wahanga wa ugonjwa huu wana ndugu na jamaa zao. Eti kuwa kwa njaa zao wao binafsi, basi kila mmoja na wahanga wote waingie kwenye ushabiki tu wa fulani dhidi ya fulani.
Mtoa mada tambua ushabiki wa kwenye Mbao FC, Ndanda, Mbeya City, Namungo FC nk, hauna nafasi kunapokuja masuala halisi na hasa yenye kuhusisha maisha ya watu.
Mbona CHADEMA hawachukui tahadhari!Acha uzuzu wewe korona ipo sana nchini acheni siasa za kishamba hizo.