Wanasiasa wa Upinzani kuweni makini mnapofanya mahojiano na Media za Nje

Unaweweseka na utaweweseka sana mwaka huu kisa Lissu kawa rais
Wenzako washaanza kuwa na mashaka nae ata week mbili nchini hana.

Wanadai eti kama vile aelewi uzito wa nafasi anayogombea yeye ni kuropoka tu, kila anapopata nafasi(he is not calm and collected) wala sio mzalendo kwa taifa lake.

Subiri bado wewe utaungana nao tu.
 
Haupo kwa vigezo gani? Kwanini haupo

Upo kwa vigezo gani? Kwanini upo

Very confusing this case jameni
Mkuu, dawa ni kupima mwongo atajulikana.
Duniani wamepata milioni 17 vifo laki saba ukigawa kwa dunia nzima kwa uwiano wa idadi ya watu tanzania ingekuwa wa waathirika wangapi. Na ukikaa kimya ungeweza usigundue kitu. Sisi tumekaa kimya na hatuoni ukubwa wa tatizo kwa haraka. Dunia ina watu bilioni 7 kumbuka. Tanzania ina watu mil. 57.
Option ya kukaa kimya haina maaana kuwa corona haipo

Sent from my Nokia 6.1 using JamiiForums mobile app
 
Acha uzuzu wewe korona ipo sana nchini acheni siasa za kishamba hizo.
Nakuunga mkono kabisa tena 100% lakini Je, hapo unapoishi wamekufa watu wangapi kwa hiyo korona?? Je, JPM amesema kuwa haipo au amesema tusitishwe nayo?? Mbona ukimwi upo tena saana tu lakini K inauzwa kuliko pipi dukani? Mbona malaria ipo na watu hawatumii hizo chandarua wanazogawiwa bure tanga enzi za JK? Korona ipo na itaendelea kuwepo lakini tuione kama magonjwa mengineyo tukifuata masharti itakwisha yenyewe. Mtaani kwetu tangu tusikie korona sijaona mtu aliyekufa kwa huo ugonjwa. Hivyo nasema; Haupo huo ugonjwa
 
Sisi tunawapenda viongozi wetu wa upinzani na lazima mjue kuwa hamuwezi kuwalazimisha watu waipende ccm yenu.

Na huna haki yoyote kunilazimisha niipende ccm maana hakuna chochote ilicho nifanyia.

Teh... pole.
 
Eti wenzake[emoji23][emoji23][emoji23] mataga mnateseka sana, na hapo bado sana hadi mtagishwe
 
Lissu anaanza flip flops mapema hapa wakati shughuli ndio kwanza inaanza. Chadema tengenezeni timu ya waandamizi wasaidie otherwise ataishiwa upepo mapema kabisa.
 
Lissu akitaka ashindwe mapema, azungumzie hoja ya COVID-19 na namna serikali ilivyopambana. Amuulize ndg yangu ZITTO KABWE, akiongea Sana, mwisho akaamua kukaa kimya baada ya kuona jamii haimuelewi. Imagine, Lissu mwenyewe, toka amefika Tanzania, ni lini mlimuona amemaintain social distancing? Ni lini mlimuona amevaa barakoa, ukiachana na siku anafika? Jana tuu akiwa kwenye mkutano mkuu wa chama Cha ACT tulishuhudia akiwa amerelax bila wasiwasi huku akiwa hana hata Barakoa, achilia mbali sanitiser, hasa akuzingatia namna alivyokuwa anapeana mikono na wajumbe.
In fact; wapinzani nao wanakubaliana na msimamo wa serikali juu ya corona kwa Vitendo, japo kwa maneno yao, wanaonekana kubeza .
 
Tatizo anaongea sana bila kuchuja, swala la Covid-19 analiongelea kwa jirani wakati jirani anatuchoma? Anajipunguzia sifa hajui wanamtoa bungeni kijanja, atabaki tu huko ofisini wenzie wataendelea bungeni, japo mie si mwanasiasa na sina chama lakini mambo yenye tija kwa nchi hapana

Sent from my SM-T800 using JamiiForums mobile app
 
huu mwaka mtam sana wengine tulijua kuanzia January mosi ya saa sita usiku , kwamba mwaka huu ni mtam sana sasa tunaona sasa kweli mungu yupo aisee do hadi raha yani
 
Hahaha!

Baada ya kufuatilia maoni pamoja na michango mbalimbali humu, ni hakika kuwa wengi hawana ufahamu sahihi juu ya suala la COVID-19.

Humu jukwaani ni mfano mdogo tu, sijui huko nje hali ikoje!
 

Asante sana mkuu kwa ufafanuzi wenye afya.
 
Mkuu agiza kinywaji naja lipa. vifo vipo mahosptal hata kabla ya CORONA na vitaendelea tu kuwepo ni asili ya kimazingira
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…