Mmawia
JF-Expert Member
- Aug 20, 2013
- 122,494
- 96,074
Kwa wao hao mataga wote siku amepigwa risasi walifufahi sana
Uzalendo ni kummiminia risasi kama punda???????
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Uzalendo ni kummiminia risasi kama punda???????
Wenzako washaanza kuwa na mashaka nae ata week mbili nchini hana.Unaweweseka na utaweweseka sana mwaka huu kisa Lissu kawa rais
😂😂😂😂Lini uliwahi kuwa naye? Wacheni kutafuta umaarufu kupitia cdm nyinyi magamba
Kubali tu kwamba Lisu kazingua leo.Unaweweseka na utaweweseka sana mwaka huu kisa Lissu kawa rais
Mkuu, dawa ni kupima mwongo atajulikana.Haupo kwa vigezo gani? Kwanini haupo
Upo kwa vigezo gani? Kwanini upo
Very confusing this case jameni
Hakuna mtu wa kukubali huo upuuzi wenuKubali tu kwamba Lisu kazingua leo.
Uungwana ni vitendo.
Nakuunga mkono kabisa tena 100% lakini Je, hapo unapoishi wamekufa watu wangapi kwa hiyo korona?? Je, JPM amesema kuwa haipo au amesema tusitishwe nayo?? Mbona ukimwi upo tena saana tu lakini K inauzwa kuliko pipi dukani? Mbona malaria ipo na watu hawatumii hizo chandarua wanazogawiwa bure tanga enzi za JK? Korona ipo na itaendelea kuwepo lakini tuione kama magonjwa mengineyo tukifuata masharti itakwisha yenyewe. Mtaani kwetu tangu tusikie korona sijaona mtu aliyekufa kwa huo ugonjwa. Hivyo nasema; Haupo huo ugonjwaAcha uzuzu wewe korona ipo sana nchini acheni siasa za kishamba hizo.
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]
Mkuu usipende tu kusikia yanayokupendeza.
Sisi tunawapenda viongozi wetu wa upinzani na lazima mjue kuwa hamuwezi kuwalazimisha watu waipende ccm yenu.
Na huna haki yoyote kunilazimisha niipende ccm maana hakuna chochote ilicho nifanyia.
Wenzako washaanza kuwa na mashaka nae ata week mbili nchini hana.
Wanadai eti kama vile aelewi uzito wa nafasi anayogombea yeye ni kuropoka tu, kila anapopata nafasi(he is not calm and collected) wala sio mzalendo kwa taifa lake.
Subiri bado wewe utaungana nao tu.
Teh... pole.
Pole wewe unayelishwa matango pori kisa mramba miguu
huu mwaka mtam sana wengine tulijua kuanzia January mosi ya saa sita usiku , kwamba mwaka huu ni mtam sana sasa tunaona sasa kweli mungu yupo aisee do hadi raha yaniLeo Nilibahatika Kusikiliza Live interview ya Mheshimiwa Tundu Lissu na Televisheni moja nchini Kenya. Mtangazaji Aliegemea kwenye Hoja tatu kama zilivyo orodheshwa hapo chini.
1. Kupigwa Risasi kwa Tundu Lissu
2. Hali ya Covi-19 kwa Tanzania kwa sasa
3. Hali ya haki za Binadamu kwa Tanzania kwasasa
Binafsi Nitaegemea kwnye hoja ya Pili ambayo ni COVID-19.
Ikumbukwe kwamba Kenya ni Moja ya nchi mpinzani wetu mkubwa katika sector ya utalii na ndio maana mpaka leo kuna watu wanajua mlima kilimanjaro ambao ni moja ya kivutio kikubwa cha utalii duniani upo Kenya.
Suala la Tanzania kufungua mipaka na kukaribisha Watalii kipindi cha COVID-19 kimewaumiza sana majirani zetu, na wataalam wa masuala ya uchumi lazima watakwambia tumegain positively kiuchumu kwa move hii.
Niseme ukweli ni ujinga kuiponda serikali kwa hatua ilizochukua kuhusu COVID-19, Halafu unasema COVID-19 ipo sana Tanzania kwa takwimu zipi? Kilichopo ni watu kuchukua tahadhari na kuendelea na maisha.
Hivi hii COVID-19 ingekuwepo hapa Tanzania na maambukizo yawe ndio kama tunavyoelezwa Tanzania si kungekua na maiti huko Barabarani zimezagaa? Nani aliangalia fainali ya FA cup kati ya Simba na Namungo? mliona ule msongamano
Lets be careful guys, Ninajua wengi hawatapenda hii kwakua wana mahaba na upinzani lakini penye ukweli lazima usemwe.
Sijafurahia walivyofanya baada ya mahojiano kuweka TBT YA IDDI AMIN DADA AKIWAFOKEA MAWAZIRI WAKE.
Mkuu, dawa ni kupima mwongo atajulikana.
Duniani wamepata milioni 17 vifo laki saba ukigawa kwa dunia nzima kwa uwiano wa idadi ya watu tanzania ingekuwa wa waathirika wangapi. Na ukikaa kimya ungeweza usigundue kitu. Sisi tumekaa kimya na hatuoni ukubwa wa tatizo kwa haraka. Dunia ina watu bilioni 7 kumbuka. Tanzania ina watu mil. 57.
Option ya kukaa kimya haina maaana kuwa corona haipo
Sent from my Nokia 6.1 using JamiiForums mobile app
Hawajichimbi wao tu bali wanalichimbia taifa pia..na hapo ndipo penye utata.
Mkuu agiza kinywaji naja lipa. vifo vipo mahosptal hata kabla ya CORONA na vitaendelea tu kuwepo ni asili ya kimazingiraUngekuja na idadi za ndugu zako wa karibu waliopoteza maisha kwa ugonjwa huo wa Covid -19 hapo kidogo ningeanza kukuelewa, lakini stori za vijiweni hapa havina nafasi. Vifo vya binadamu vilikuwepo na vitaendelea kuwepo hata kabla ya Korona, idadi ya vifo bado inaendelea kuwepo kama ile hata kabla ya corona ambao vifo vyao vinafahamika kwa madaktari. Tueleze ni mkoa gani ambao wananchi wana ugonjwa huo hatari kuzidi ukimwi na malaria?