Wanasiasa wa Upinzani kuweni makini mnapofanya mahojiano na Media za Nje

Watalii wanavyo miminika sasa watukuwa wajumbe wazuri, kuonesha ulimwengu kuwa coona hakuna huku
 
Hawajichimbi wao tu bali wanalichimbia taifa pia..na hapo ndipo penye utata.
Nikweli but watambue @tanpolice na vyombo vingine vipo kazini siku zote.. na this time nasema this time they going to see the extreme power of our country.

Sent from my Infinix X650B using JamiiForums mobile app
 
Acha uzuzu wewe korona ipo sana nchini acheni siasa za kishamba hizo.

Mbona Lissu na chadema hawakuvaa barakoa kwenye mkutano wao wa juzi na walishikana mikono?
 
Kwa hiyo Marekani wanapotangaza maambukizi ya Covid-19 na kuonesha wanaongoza duniani ni kukosa uzalendo.

Watanzania mbona mnapenda nchi iongozwe kienyeji enyeji hivyo. Tunaenda shule ili tupractice professionalism sio uswahili.
Wewe ni jinga lingine. Marekani wanatangaza kwa sababu ipo. Sisi unataka tutangaze kitu ambacho hakipo?
 
Mwanadamu angekuwa yai basi wew "viza " ummy hajasema corona imeisha
 

Mkuu kwa hiyo kwenu kuna wagonjwa wangapi wa Corona?
Hawa ndio wanatwambia Tanzania kuna Corona?

 
Acha uzuzu wewe korona ipo sana nchini acheni siasa za kishamba hizo.
Ule umati uliompokea Lisu wale viongozi wa upinzani sio wajinga kuruhusu watu wakafe kulaki Lisu, hizo hoja hata wengine ndani ya chama hawana,.
Hii itamcost
 
Msiwe kama machoko mtu akikuuliza kuhusu maendeleo ukaanza kuongelea corona utakuwa una matatizo lakin una ulizwa kuhusu corona sasa utasemaje....

Kwani tz hakuna walio kufa kwa corona....kama wapo utaanzaje kusema imeisha....wewe unaejiongelesha umewahi kupima hiyo cov D....ache ujinga....

Tundu ukimuuliza chochote anakujibu kwa facts na hali halisi ilivyi
 
Mkuu wewe unauakika gani kama Corona imeisha Tanzania ..??
Inculubation ya Corona virus ni 7-14 siku. Je unategemea baadae kuona waliokuwa wanatoka Uwanja wa ndege kuwa marehemu?
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…