Wanasiasa wa Upinzani kuweni makini mnapofanya mahojiano na Media za Nje

Wewe ni jinga lingine. Marekani wanatangaza kwa sababu ipo. Sisi unataka tutangaze kitu ambacho hakipo?
Mliacha kupima kwa amri ya Magu, na mlipoacha kupima maambukizi yalikuwa 509 (May 14, 2020).

Hebu niambie hayo mambukizi yameisha kwa initiatives zipi.
 
Mliacha kupima kwa amri ya Magu, na mlipoacha kupima maambukizi yalikuwa 509 (May 14, 2020).

Hebu niambie hayo mambukizi yameisha kwa initiatives zipi.
Swali ni simple mnaloulizwaga mnashindwa kulijibu. Narudia kukuuliza katika familia yenu wa ngapi wameugua ama kufa kwa korona?
 
Sasa mbona umeacha kutuwekea yaliyosemwa kuhusu kutandikwa risasi Lissu na haki za binadamu ?
 
Tatizo la Lissu ni ulimbukeni. Anapohojiwa yeye huamini ni kwa sababu ana uwezo sana! Kumbe wanawinda mropokaji. Tatizo jingine baadhi wanapohojiwa akiwemo na Zitto, badala ya kujibu maswali wao hutumia muda huo kutaka kushitaki kwa yeyote anayesikia. Ni tatizo la uzembe kwa watu wa umri ule na nafasi hizo wanazojimilikisha.
 
NI vizuri kutoa ushauri kama huo lakini kwa miaka ambayo nimemsikiliza Lissu, siyo mtu wa kujenga hoja. Kwa nafasi anayoiomba kwa sasa, hana sifa kabisa na hutamsikia hata siku moja akizungumzia maendeleo ya nchi, hajui njia ni ipi. Yeye utamsikia akisema utawala wa sheria na sheria hii inasema hivi na vile. Muulize elimu, sayansi, maendeleo ya jamii, nk. yote ni washout!
 
Uzalendo ni kummiminia risasi kama punda???????
Walipanga pamoja na chama chao, bado hadi leo hatufahamu kwa nini mguu wa kulia ndio uliharibika wakati yeye alikuwa upande wa abiria na hakuna maelezo yoyote kutoka kwa dreva wake. Angalizo mbunge Molel alisema walipanga wote walipokuwa Chadema.
 
Mkuu wewe unauakika gani kama Corona imeisha Tanzania ..??
Siwezi sema nina uhakika ama la, ila kutokana na matukio yanayoendelea mimi naona haipo, tumezika Uhuru pale na Mtwara, mikutano ya kura za maoni tumeendelea nayo, hadi tumepata wagombea come on!
 
Mliacha kupima kwa amri ya Magu, na mlipoacha kupima maambukizi yalikuwa 509 (May 14, 2020).

Hebu niambie hayo mambukizi yameisha kwa initiatives zipi.
Kujifukiza na tangawizi. Kama hupendi nenda kajinyonge.
 
Marekani wanatangaza kwa sababu ipo. Sisi unataka tutangaze kitu ambacho hakipo?
Ni vyema kuzingatia tahadhari zinazotolewa kuhusiana na COVID-19.

Usifikiri kuwa haipo ndio maana tahadhari zinatolewa na serikali pia.
 
Alichosema Lissu kuhusu hali ya Covid-19 hapa Tanzania,ndo nikaanza kujua mwaka huu wanyanyembe Chadema hawajapata mgombea mwenye utulivu wa maneno na akili.
 
Lissu ndio Rais ajaye wa Tanzania , hutaki jipige kitanzi
 
mkuu siunajua hata kwenye mtihani hakunaga anayepata mia ya mia kwaiyo kat ya maswali 3 jamaa kachomoa 2 moja kazingua
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…