Mliacha kupima kwa amri ya Magu, na mlipoacha kupima maambukizi yalikuwa 509 (May 14, 2020).Wewe ni jinga lingine. Marekani wanatangaza kwa sababu ipo. Sisi unataka tutangaze kitu ambacho hakipo?
Hebu niambie hayo mambukizi yameisha kwa initiatives zipi.