Wanasiasa wa Upinzani kuweni makini mnapofanya mahojiano na Media za Nje

Leo Nilibahatika Kusikiliza Live interview ya Mheshimiwa Tundu Lissu na Televisheni moja nchini Kenya. Mtangazaji Aliegemea kwenye Hoja tatu kama zilivyo orodheshwa hapo chini.

1. Kupigwa Risasi kwa Tundu Lissu
2. Hali ya Covi-19 kwa Tanzania kwa sasa
3. Hali ya haki za Binadamu kwa Tanzania kwasasa

Binafsi Nitaegemea kwnye hoja ya Pili ambayo ni COVID-19.

Ikumbukwe kwamba Kenya ni Moja ya nchi mpinzani wetu mkubwa katika sector ya utalii na ndio maana mpaka leo kuna watu wanajua mlima kilimanjaro ambao ni moja ya kivutio kikubwa cha utalii duniani upo Kenya.

Suala la Tanzania kufungua mipaka na kukaribisha Watalii kipindi cha COVID-19 kimewaumiza sana majirani zetu, na wataalam wa masuala ya uchumi lazima watakwambia tumegain positively kiuchumu kwa move hii.

Niseme ukweli ni ujinga kuiponda serikali kwa hatua ilizochukua kuhusu COVID-19, Halafu unasema COVID-19 ipo sana Tanzania kwa takwimu zipi? Kilichopo ni watu kuchukua tahadhari na kuendelea na maisha.

Hivi hii COVID-19 ingekuwepo hapa Tanzania na maambukizo yawe ndio kama tunavyoelezwa Tanzania si kungekua na maiti huko Barabarani zimezagaa? Nani aliangalia fainali ya FA cup kati ya Simba na Namungo? mliona ule msongamano

Lets be careful guys, Ninajua wengi hawatapenda hii kwakua wana mahaba na upinzani lakini penye ukweli lazima usemwe.

Sijafurahia walivyofanya baada ya mahojiano kuweka TBT YA IDDI AMIN DADA AKIWAFOKEA MAWAZIRI WAKE.
Nenda wewe ukahojiwe na media usifie
 
Kwataarifa yako CDM na Kenya walichukua hela za mabeberu ili kukuza propaganda za korona ndio Mana walitoka nje bungeni. Sasa wenyewe mabeberu wanawabana CDM mbona hawaoni matokeo? Ndio kumtuma lissu akanyee ktn. Nahapo ajenda kubwa ilikuwa ni hiyo ishu ya korona.
 
Lakini hao watalii wakija si hupimwa joto?

Isitoshe huko kwao wameambiwa wasisafiri isipokuwa kama ni necessary and essential.
aliyekudanganya Ni nani kuwa kipimo Cha covid 20 Ni joto tu.hata mwanamke akiingia menstrual joto hupanda

Wataliii Ni mabeberu utawaamini vipi ikiwa wako salama ikiwa nchi Haina na haiziamini maabara zake
 
Hili swali la kijinga hata KUKU wako hawezi kuuliza. Kwetu hakuna aliyewahi kufa kwa Ukimwi, narudia hakuna. Kwa hiyo Ukimwi umeisha?
Acha ujinga maambuki ya ugonjwa wa UKIMWI tofauti kabisa na Corona.

Unaweza kuwa na Ukimwi lakini mmeo asijue, ama wazazi wako wakawa na ukimwi lakini wewe usijue.

Isitoshe ukimwi una dawa za kufubaza virusi, hivyo unaweza kuwa na ukimwi wazazi na Ndugu zako wasijue...

Usijisifie kwenu hakuna ukimwi wakati hujui afya za Ndugu na jamaa zako zikoje.

Kwenye familia yenu kungekuwa na Corona ungejua tu sababu ya dalili za ugomjwa wenyewe haujifichi.
 
..CCM ndiyo vinara kwa kuwachafua wapinzani.

..Jpm aliji-quarantine Chato kwa siku 30+, kwanini iwe nongwa kwa Mbowe kuji-quarantine kwa siku 14?

..lakini hivi tunavyofanya kuhusu covid19 nadhani tunatisha na kufukuza watalii kuliko kuwa-attract.

..Jpm na serikali hawajui PR ya huu ugonjwa wa covid19. Kuna nchi zina maambukizi kutuzidi sisi lakini raia wake wamefunguliwa milango na mataifa mengine.

..YES, hatujaathirika lakini ni lazima tuonyeshe kwamba tunachukua tahadhari, na pia tuonyeshe kwamba tuna uwezo wa kumsaidia mgeni yeyote yule ikiwa atapatikana na covid19 akiwa hapa nchini.

PJM is the head of state hivyo haijalishi ni kwa kipindi gani atakuwa chini ya uangalizi kuendana hali ya ugonjwa.

Ndo maana hali ikapimwa ikaonekana ni shwari na akatoka.

Mnavyoonekana, mlitaka au mngependa kuona kiongozi wetu huyu akipatwa na ugonjwa, nafikiri mngefanya sherehe kubwa sana ati?

Of course kwa Mbowe ilikuwa ni sawa kwake kwani kanuni zinasema quarantine ni 14 days.

I utofauti wa ngazi tu mmoja ni raisi wa nchi na mwingine ni kiongozi wa upinzani.

Pia sidhani kama watalii wamepungua tangu tufungue anga letu kwa ndege zote za kimataifa.

Isitoshe ni nchi gani sasa hivi ya kibeberu ina "guts" za kuja kutupatia "lecture" kuhusu sisi kuchukua tahadhari ya COVID-19?
 
Kwataarifa yako CDM na Kenya walichukua hela za mabeberu ili kukuza propaganda za korona ndio Mana walitoka nje bungeni. Sasa wenyewe mabeberu wanawabana CDM mbona hawaoni matokeo? Ndio kumtuma lissu akanyee ktn. Nahapo ajenda kubwa ilikuwa ni hiyo ishu ya korona.

..mbona Jpm alitoka nduki hapo Dodoma akajificha Chato kwa siku 30+?

..yeye anajiweka quarantine huku anawaambia wananchi wajiachie MUNGU atawalinda.
 
aliyekudanganya Ni nani kuwa kipimo Cha covid 20 Ni joto tu.hata mwanamke akiingia menstrual joto hupanda

Wataliii Ni mabeberu utawaamini vipi ikiwa wako salama ikiwa nchi Haina na haiziamini maabara zake

Kuna kipima joto mkuu umekiona?

Thermal cameras
 
Leo Nilibahatika Kusikiliza Live interview ya Mheshimiwa Tundu Lissu na Televisheni moja nchini Kenya. Mtangazaji Aliegemea kwenye Hoja tatu kama zilivyo orodheshwa hapo chini.

1. Kupigwa Risasi kwa Tundu Lissu
2. Hali ya Covi-19 kwa Tanzania kwa sasa
3. Hali ya haki za Binadamu kwa Tanzania kwasasa

Binafsi Nitaegemea kwnye hoja ya Pili ambayo ni COVID-19.

Ikumbukwe kwamba Kenya ni Moja ya nchi mpinzani wetu mkubwa katika sector ya utalii na ndio maana mpaka leo kuna watu wanajua mlima kilimanjaro ambao ni moja ya kivutio kikubwa cha utalii duniani upo Kenya.

Suala la Tanzania kufungua mipaka na kukaribisha Watalii kipindi cha COVID-19 kimewaumiza sana majirani zetu, na wataalam wa masuala ya uchumi lazima watakwambia tumegain positively kiuchumu kwa move hii.

Niseme ukweli ni ujinga kuiponda serikali kwa hatua ilizochukua kuhusu COVID-19, Halafu unasema COVID-19 ipo sana Tanzania kwa takwimu zipi? Kilichopo ni watu kuchukua tahadhari na kuendelea na maisha.

Hivi hii COVID-19 ingekuwepo hapa Tanzania na maambukizo yawe ndio kama tunavyoelezwa Tanzania si kungekua na maiti huko Barabarani zimezagaa? Nani aliangalia fainali ya FA cup kati ya Simba na Namungo? mliona ule msongamano

Lets be careful guys, Ninajua wengi hawatapenda hii kwakua wana mahaba na upinzani lakini penye ukweli lazima usemwe.

Sijafurahia walivyofanya baada ya mahojiano kuweka TBT YA IDDI AMIN DADA AKIWAFOKEA MAWAZIRI WAKE.
Nikweli COVID inawezekana ipo ila kwenye mikutano ya vyama hata Lissu sikumuona na Barakoa,ila alikuwa anahug tu hata jana wakati wa ACT wazalendo,binafsi nilikuwa mmoja wapo nilieona Serikali haijachukua hatua sana hasa kuzuia kazi kuendelea,baada ya kushuhudia baadhi ya madhara ya lock down nchi za dunia ya tatu,nimegundua Magu alishauriwa vizuri kuhandle Covid tofauti na nilivyofikiria mimi.

Nimegundua Africa tunafail mengi kwa copy & paste bila kuangalia mazingira yetu.

Hata kama hatukubaliani kisiasa ila mambo ya kitaifa no vema tukalinda kwa pamoja
 
Nimemsikiliza vizuri Sana TL alichosema ni kwamba Corona bado ipo.ma.wananch wachukue taadhali zote wanazopewa na wataalam, Kama kunawa mikono etc....Kuna ubaya gani hapo? Kwa sababu hate viongozi wa serikali ndicho wanachosisitiza, acheni kupotosha watu.....amelijibu hilo swali Kwa uangalifu Sana...
 
Kwataarifa yako CDM na Kenya walichukua hela za mabeberu ili kukuza propaganda za korona ndio Mana walitoka nje bungeni. Sasa wenyewe mabeberu wanawabana CDM mbona hawaoni matokeo? Ndio kumtuma lissu akanyee ktn. Nahapo ajenda kubwa ilikuwa ni hiyo ishu ya korona.
Sasa mbona mnashobokea wataliii kutoka kwa mabeberu,
wiki hii Kuna propaganda inaendelea eti ndege zimeleta wataliii toka kwa mabebeberu

Kama mabeberu Wana conspire na CDM au Kenya mbona mnawapokea kwa kuwalamba miguu Kama wataliii

Wakija Kama wataliii ubeberu unaondoka na covid inaisha ghafla
 
Mnaanza kuvuna mlichopanda.

Hamtaki waongezwe hapa ndani,mmebana uhuru wa habari,sasa mnagongwa huko nje mpaka mtoe adabu
 
PJM is the head of state hivyo haijalishi ni kwa kipindi gani atakuwa chini ya uangalizi kuendana hali ya ugonjwa.

Ndo maana hali ikapimwa ikaonekana ni shwari na akatoka.

Mnavyoonekana, mlitaka au mngependa kuona kiongozi wetu huyu akipatwa na ugonjwa, nafikiri mngefanya sherehe kubwa sana ati?

Of course kwa Mbowe ilikuwa ni sawa kwake kwani kanuni zinasema quarantine ni 14 days.

I utofauti wa ngazi tu mmoja ni raisi wa nchi na mwingine ni kiongozi wa upinzani.

Pia sidhani kama watalii wamepungua tangu tufungue anga letu kwa ndege zote za kimataifa.

Isitoshe ni nchi gani sasa hivi ya kibeberu ina "guts" za kuja kutupatia "lecture" kuhusu sisi kuchukua tahadhari ya COVID-19?

..Hukuona jinsi wateule wa Raisi walivyofurahia mtoto wa Mbowe kuathirika na covid19?

..sasa unashangaa nini ukisikia wapambe wa Mbowe nao wanatamani Jpm apatwe na maradhi hayo?

..matatizo ya kisiasa ya Tz kwa kiasi kikubwa yanasababishwa na immaturity ya Jpm na wapambe wake.
 
Ni lini na wapi raisi Magufuli alitamka hadharani kuwaambia wananchi wasichukue tahadhari ya ugonjwa wa COVID-19?

Tuende na vielelezo mkuu.
Kuchukiwa tahadhari maana yake ugonjwa upo, Sasa mbona mnamshambulia Lisu aliposema covid ipo?
 
Sasa mbona mnashobokea wataliii kutoka kwa mabeberu,
wiki hii Kuna propaganda inaendelea eti ndege zimeleta wataliii toka kwa mabebeberu

Kama mabeberu Wana conspire na CDM au Kenya mbona mnawapokea kwa kuwalamba miguu Kama wataliii

Wakija Kama wataliii ubeberu unaondoka na covid inaisha ghafla
Wazungu wamegawanyika. Wenye hila ni mabeberu. Wenye hisani ni wadau wa maendeleo.
 
Hivi uzalendo ni kupiga risasi wanaokukosoa?

Magufuli na wenzake huko CCM na serikali yao yote siyo wazalendo unless uwe hujui maana ya "uzalendo" na "mtu mzalendo"....

Huyu ni tyrant, muuaji na mwizi bila shaka yoyote...

Very unlucky and unknowingly, you're defending these...!!
Kwa hili lisu ameonekana mjinga acha kutetea upumbavu
 
..Jpm anawaambia wananchi wasichukue tahadhari.

..TL anawaambia wananchi wachukue tahadhari.

..huu utaratibu wa kuenenda kiholela-holela wakati dunia ikihangaika kukabiliana na covid19 inatishia watu wa nje kujumuika na sisi.

..pia tukionekana hatuko makini ktk kuchukua tahadhari tunaweza kusababisha mataifa mengine yatuzuie kusafiri kwenda nchini kwao.

..Tunamshukuru kwamba covid19 haijatupiga ukilinganisha na mataifa mengine, lakini ni UJINGA kuenenda kana kwamba tunaitafuta covid19.
Wapi jpm amewambia wananchi wasichukie tahadharii vitu vingine tumieni akili ya kuzaliwa nayo hata kama unaoperating system huwezi shidwa kitu kidogo kama hicho
 
..Jpm anawaambia wananchi wasichukue tahadhari.

..TL anawaambia wananchi wachukue tahadhari.

..huu utaratibu wa kuenenda kiholela-holela wakati dunia ikihangaika kukabiliana na covid19 inatishia watu wa nje kujumuika na sisi.

..pia tukionekana hatuko makini ktk kuchukua tahadhari tunaweza kusababisha mataifa mengine yatuzuie kusafiri kwenda nchini kwao.

..Tunamshukuru kwamba covid19 haijatupiga ukilinganisha na mataifa mengine, lakini ni UJINGA kuenenda kana kwamba tunaitafuta covid19.
Tuwekee nukuu za JPM akiwambia watu msichukue tahadhali hapa
 
Ungekuja na idadi za ndugu zako wa karibu waliopoteza maisha kwa ugonjwa huo wa Covid -19 hapo kidogo ningeanza kukuelewa, lakini stori za vijiweni hapa havina nafasi. Vifo vya binadamu vilikuwepo na vitaendelea kuwepo hata kabla ya Korona, idadi ya vifo bado inaendelea kuwepo kama ile hata kabla ya corona ambao vifo vyao vinafahamika kwa madaktari. Tueleze ni mkoa gani ambao wananchi wana ugonjwa huo hatari kuzidi ukimwi na malaria?
Kama magufuli amepiga bomu maabara, alafu akaleta Sheria ya takwimu, utajuaje labda hata Yule mstaafu Ni covid
 
Back
Top Bottom