We ni imbecile. Yaani watu wanapiga risai 40 within 5metre range??Si kweli.
Angepigwa risasi na wataalam wenyewe asingepona.
Na hata angepigwa risasi kama yule mbeba madini wa Arusha wakamchafua yeye na Rabge Rover yake asingepona kabisa.
Isitoshe bado dereva wake anahitajika atoe maelezo inakuwaje risasi zipigwe kuelekea uapnde wa dereva (kushoto) lakini zimpate Tundu Lissu kwenye mguu wake wa kulia.
Hadi leo hii hakuna anaefahamu kwa uhakika Tundu Lissu alishambuliwa na wahuni wepi.
Mimi naamini wale mafala waliotimwa kumuua walapewa njia zote ulinzi juu, wakahakikishiwa hali cctv camera zimezimwa na walinzi wakaondolewa na bado wakashindwa walichotumwa nauhakika walishauawa. Huwezi kutumwa tukio kama lile ukashindwa halafu ukaachwa ubaki hai. Nina uhakika kuna familia mpaka sasa hazijui ndugu zao wako wapi. Walishatangulizwa.