Wanasiasa wanaweza vipi kuendesha wanajeshi? Swali makini

Wanasiasa wanaweza vipi kuendesha wanajeshi? Swali makini

Wanasiasa wanawaendesha wanajeshi kwenye nchi ambayo wanajeshi wake bado hawajajitambua kama hapa tz.kwa nchi ambazo wanajeshi wao wanajua haki, hakuna upuuzi wa wanasiasa kuwapelekesha.mfano mzuri ni niger. Wanajeshi wa Niger walikataa kupelekeshwa na yule mwanasiasa kibaraka wa wawekezaji uchwara wa bandari na uranium (Mohammed bazoum).
Kwa hiyo tatizo ni kujitambua tu ?
 
Kwanza fedha nyingi kama zawadi, pili maagano ya kufunga na tatu kuweka ndugu wa karibu.
Wewe utakubali kaka yako, mjomba wako au ndugu yako yoyote kukuendesha vile anavyotaka kwa maslahi yake binafsi ?
 
Back
Top Bottom