Wanaume, acheni kulazimisha utiifu kutoka kwa wanawake!

Unconditional? Upo usingizini mkuu? Who'd give you unconditional love ?
 
Hivi, mbona kingereza cha Nyani Ngabu na bwana Kiranga ni kigumu kuliko ninachosoma toka kwa mabeberu?🀣
Inategemea unasoma nini.

Unasoma The Economist na The New Yorker? Kwa kuanzia tu.

Ujue hata mabeberu nao wana lowbrow, middlebrow na highbrow publications.

Umenikumbusha mshua alikuwa anasema alivyosoma Uingereza alikuwa anawagaragaza Waingereza kwenye somo la Kiingereza, kwa sababu wao watu wa London wanaongea tu Cockney kina flow, ukienda kwenye parts of speech na kukichambua Kiingereza formally hawajui, kwa sababu ni lugha yao. Huku mshua anajua kuchambua subject na predicate, verb ni nini na ikae wapi, parts of speech zote zina fit vipi, double negative ni nini na kwa nini usiitumie, na madudu yote hayo, anakiheshimu Kiingereza kama lugha ya watu.

Ukimsikikiza sana David Beckham anavyoongea, kama unajua Kiingereza vizuri, utaweza kunielewa.
 
Tafuta hela halafu muite hivyo hivyo rafiki, akikuletea shida zake mwambie we ni rafiki yangu me nasaidia wapenzi.
 
Kwa nini musianze nyinyi kutoa huo upendo bila masharti yoyote au kuekewa mazingira ya kutoa huo upendo? Mimi naona kama unajitekenya na kucheka mwenyewe, ufeminist sio kipaji ndugu yangu ni tabia mbaya tu baadhi ya wanawake wameamua kujivika
 
Sasa kuna uhusiano gani mpaka umtie bwana wako kwenye mada, au ulihisi hii mada uliandikiwa wewe ujimwambafai na Bwana wako, sawa endelea kuturusha roho ila mimi sikutakii mema kabisa kwenye huo uhusiano wako, labda ungelikuwa hayo unayoyasema unanipenda mimi
 
AiseeπŸ™Œ
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…