Wanaume, acheni kulazimisha utiifu kutoka kwa wanawake!

Wanaume, acheni kulazimisha utiifu kutoka kwa wanawake!

Mwanamke kama hajakupenda hata uwe tajiri namba moja duniani kamwe hawezi kukutii wala kukuheshimu.
 
Nshaona, lakini mwanamke hapendi na kutii sehemu isiyo na maokoto hasa wanawake wa mjini. Wanatafsili upendo wakweli ule unaombatana na maokoto na si upendo peke ake kama alivyosema mkuu Extrovert .

HAPANA sio kweli hata wanawake wa mjini wapo wenye mapenzi ya kweli kwa wanaume wanaowapenda ambao hawawezi hata kuomba hela kwa wapenzi wao mwisho wa siku wanaishia kuwachuna hao wasiowapenda tu.
 
Kwahiyo wanaoishi na mafeminist ni aliens ama???[emoji849][emoji849]
Wanavumilia kwa sababu ya watoto na sheria ya ndoa ambayo ni kandamizi kwa mwanaume. Kama nchi tulifanya kosa kubwa sana kuipokea hii ideology ya 50/50 na kuwaachia hawa mafeminist platform kubwa ya kupandikiza ujinga kwenye vichwa vya wanawake.
 
Wanawake hawajawahi kuridhika. Watataka tena na tena.

Na bahati mbaya sana, maisha haya yanapanda na kushuka. On your downfall, wanawake wanakosa uvumilivu.

Sawa, we receive by giving, but what if kwa muda huo mambo doro? Should a woman stop being submissive just because I'm not kwa nafasi nzuri kwa wakati huo? Hayo ni mapenzi gani????
Ofcourse not!

I believe in partners supporting each other, with one compensating when the other is not at their best. Iwe financially, emotionally, sexually or any other -ly! Tatizo linabaki kuwa, kama uko kwenye mahusiano na mtu ambae lengo lake ni kukutumia. Lazima uki-fail kufikia mahitaji/matarajio yake na yeye ama atapunguza kukupa uliyokua unapata kutoka kwake, ama ataacha kabisa!
 
Hizi mada muwe mnaziweka na qualification, caveat emptor, context kwamba mnajikita kuwaongelea wanaume wa aina gani, nuance.

Ili kuondoa muonekano kwamba mmelundika wanaume karibu wote kwenye kundi moja.

Kitu ambacho kinaweza kufuta points nyingi nzuri ulizotaka kuwakilisha, na kutengeneza a very unnecessary gender war.

Ukishaona kauli za jumla kama "wanaume ni..." au "wanawake ni..." apart from a very narrow set of statements that stays in the definition domain, most times unakuta kuna an absolutist, unfounded generalization.

Nikijiangalia mimi binafsi kama mwanamme naona umenionea sana kuniweka kundi moja na watu wengi unaowazungumzia hapo, kwa sababu siko hivyo.

But then again, I am not your regular Joe. I was top of my class everywhere I went, I was hanging out on the floor of The New York Stock Exchange at the beginning of my career. I got cribs from Oysterbay, New York to Oysterbay Dar es salaam. Enough about me.

But, that's my point.

Be specific enough to exclude some of us enlightened gentlemen who are past this level of medieval mediocrity.

Else, we will start to think you are just being bitter against all men.

A few - or even many- misogynistic posts here do not represent all men, not even all Tanzanian born men.

I am proof of that. These people do not represent me.

I feel like being caught in an episode of that show called "I'm A Celebrity, Get Me Out of Here".

View attachment 2876561
😁😁😁

Umesomeka loud 'n clear Kiranga.
Will do my best to avoid them broad generalizations!
 
Back
Top Bottom