Wanaume, acheni kulazimisha utiifu kutoka kwa wanawake!

Hamna hoja hapo, utii wa mwanamke kwa mwanaume ni wa lazima, as long as mwanamke unataka kuolewa, sasa umeolewa na wewe unataka kuleta mashart yako ebooo!!!.... Kaa na mashart yako usiolewe simple tu
 
Sasa unadhani mtu kama hakupendi ataacha kukuona "fala" pale unapotia juhudi na yeye hana malengo yoyote na wewe??
Mtoa mada kasema hivi sisi wanaume tunawapa ninyi nyie ili mtuheshimu ? Ndo nikamjibu kwa hyo huwezi kumfurahisha mwanamke kabisaaa na haitoka itoke ni Bora nikae neutral.. Mimi siwezi kifanya kitu kwa ajili ya kumfurahisha mwanamke haitokaaa itokee
 
Sisi tuna shida basi? Ukileta jeuri tunakususa. Uamuzi unabaki kwako ubaki au utimke
 
Hilo swali sio la kuuliza huyu hata kama yuko kwenye mahusiano basi watu wako makaburini wanamalizia sala zao za mwisho kuyazika,
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]
 
Aliyeanzisha taasisi ya ndoa,ili idumu ndie aliyeanzisha haya bila haya matatu ndoa imekufa.
Utii,heshima na upendo.
Utii ni kwa faida ya mwanamke wote mkiwa kambale hakuna ndoa hapo maana hakuna amani hakuna maendeleo bila amani ndani.
 
Utii umfanya mwanamke asiwe single mama.
Huwezi pingana na nature hayupo mwanaume anaweza share nafasi yake na mwanamke ndani lazima atatoka nduki
 
Kizazi cha haki sawa 50/50
Hatari sana[emoji38][emoji38][emoji38]
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…