Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Now you are talking, kuzunguka kote huko kumbe unazungumzia business, nimekuelewa sanaNonsensical or not! It's hard to profit from something you haven't invested in.
Mwanaume yeyote kosa kubwa analoweza kulifanya ni kuonesha upendo wa kweli kwa mwanamke, umekwisha, anaweza kukuvua nguo hadharani, trust me wanaume wenzangu musidanganyike
Hilo swali sio la kuuliza huyu hata kama yuko kwenye mahusiano basi watu wako makaburini wanamalizia sala zao za mwisho kuyazika,Hata sijaelewa kwa kile ulichokiandika hapa. Tuanzie hapa, kwani umeolewa bidada?
Usijekuwa ni mtu unaeweka sumu kwenye chakula ambacho hata wewe haukitumii.
Hiyo avatar yako ni wewe?Mwanamke anamtii mwanaume anaemfanya ajisikie vizuri na sio zaidi ya hapo.
Mwanamke asipokua mtiifu kwa mwanaume ni huyo mwanaume ameamua kuwa kipofu kuwa upendo haupo
Shauri yako ni wewe mwenyewe ndie ulieandikaAisee,utanifanya nikimbie mkuu
Duh 😁Hapana!! Subiri muda wako....😏
Mtoa mada kasema hivi sisi wanaume tunawapa ninyi nyie ili mtuheshimu ? Ndo nikamjibu kwa hyo huwezi kumfurahisha mwanamke kabisaaa na haitoka itoke ni Bora nikae neutral.. Mimi siwezi kifanya kitu kwa ajili ya kumfurahisha mwanamke haitokaaa itokeeSasa unadhani mtu kama hakupendi ataacha kukuona "fala" pale unapotia juhudi na yeye hana malengo yoyote na wewe??
Sisi tuna shida basi? Ukileta jeuri tunakususa. Uamuzi unabaki kwako ubaki au utimkeHello guys, bado tupo January, so Happy New Year!!
Ni muda sasa nimekua nikisoma na kusikia wakaka mnavyolaumu wanawake kukosa utii na heshima kwenye ndoa na mahusiano, kuwa jeuri sana na kuendekeza gubu.
Imefika mahali elimu na mafanikio ya mwanamke ndio vinaonekana kuwa chanzo cha matatizo haya, pamoja na mengine mengi.🙁
Binafsi sikubaliani nanyi hata kidogo.
Utii hauletwi na mtu kutokua "msomi"! Utii, kama vitu vingine vingi ambavyo hutolewa kwa hiari huwa havitolewi isipokua pale muhusika anapoonekana anastahili.
You can instill fear on a person, ukanunua nidhamu ya uongo, ngono, mapenzi ya kinafiki and so on...ila upendo, utii na kujaliwa ambako ni halisi (real/genuine) hutolewa kwa hiari, na hiari haishurutishwi hata siku moja. Si kwa mazingira (circumstances), uhitaji, pesa, hofu, wala nguvu ya mtu.
Tatizo linakuja pale mnapotaka kuchukua bila kutoa. Trust me, you can not take without giving!!
Wanaume nyie mnataka tuwapende, mnataka tuwajali (mbembelezwe na kupetiwa petiwa), tuwaheshimu, tuwatii, tuwasikilize, tuwa-appreciate etc. , ila nyie mnafanya juhudi gani kututengenezea mazingira/ kutuweka kwenye position ya kuwapa hayo yote na zaidi bila kujiona wajinga? Pengine tunafelishana in the sense that hamna anaetaka kuonekana mnyonge, nyie mnatuonyesha ubabe kwahiyo na sisi tunawaonyesha jeuri.
Hii pia inatokana na the fact that kuna baadhi wanakuwa na watu ambao sio sahihi kwao, either kwa tamaa, uzembe ama haraka ya kuingia kwenye mahusiano. Mtu wa hivi hata umbebe mgongoni, it will never change the fact that HAKUPENDI! Anaweza akawa anakuhitaji kwa sababu moja ama nyingine, but that's pretty much it.
Ukweli ni kwamba, ukiwa na mtu sahihi kwako na ukam-treat vizuri, she'll naturally become your peace...and vice versa!
Tukiacha kushindana, kila mmoja akaanza kumpa mwenzie kila anachoweza kumpa without conditions, judgement, or holding back, maisha yatakua rahisi sana.
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]Hilo swali sio la kuuliza huyu hata kama yuko kwenye mahusiano basi watu wako makaburini wanamalizia sala zao za mwisho kuyazika,
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]
SawaShauri yako ni wewe mwenyewe ndie ulieandika
wapo mkuu hahahahahahUnconditional? Upo usingizini mkuu? Who'd give you unconditional love ?
Kizazi cha haki sawa 50/50Hello guys, bado tupo January, so Happy New Year!!
Ni muda sasa nimekua nikisoma na kusikia wakaka mnavyolaumu wanawake kukosa utii na heshima kwenye ndoa na mahusiano, kuwa jeuri sana na kuendekeza gubu.
Imefika mahali elimu na mafanikio ya mwanamke ndio vinaonekana kuwa chanzo cha matatizo haya, pamoja na mengine mengi.[emoji853]