Nifah njoo ujibu hili!!wee nae kiazi kweliššnanikakuambia uelezee mahusiano yako hapa unajua mada inahusu nini?
kwanza mtoto wawatu unamdanganya unapenda ila humpendi unamuibia helazaketu
kipindi ukonazebodi ulikuwa unasema hakuna mwanaume kama zebodi duniani hapa huyo kaka mzuri umemtoa Jupiter au?š¤£š¤£unafiki na uongo utaacha lini?
Umeongea point sana hapa.Tukiacha kushindana, kila mmoja akaanza kumpa mwenzie kila anachoweza kumpa without conditions, judgement, or holding back, maisha yatakua rahisi sana.
Tatizo ni moja.Hello guys, bado tupo January, so Happy New Year!!
Ni muda sasa nimekua nikisoma na kusikia wakaka mnavyolaumu wanawake kukosa utii na heshima kwenye ndoa na mahusiano, kuwa jeuri sana na kuendekeza gubu.
Imefika mahali elimu na mafanikio ya mwanamke ndio vinaonekana kuwa chanzo cha matatizo haya, pamoja na mengine mengi.š
Binafsi sikubaliani nanyi hata kidogo.
Utii hauletwi na mtu kutokua "msomi"! Utii, kama vitu vingine vingi ambavyo hutolewa kwa hiari huwa havitolewi isipokua pale muhusika anapoonekana anastahili.
You can instill fear on a person, ukanunua nidhamu ya uongo, ngono, mapenzi ya kinafiki and so on...ila upendo, utii na kujaliwa ambako ni halisi (real/genuine) hutolewa kwa hiari, na hiari haishurutishwi hata siku moja. Si kwa mazingira (circumstances), uhitaji, pesa, hofu, wala nguvu ya mtu.
Tatizo linakuja pale mnapotaka kuchukua bila kutoa. Trust me, you can not take without giving!!
Wanaume nyie mnataka tuwapende, mnataka tuwajali (mbembelezwe na kupetiwa petiwa), tuwaheshimu, tuwatii, tuwasikilize, tuwa-appreciate etc. , ila nyie mnafanya juhudi gani kututengenezea mazingira/ kutuweka kwenye position ya kuwapa hayo yote na zaidi bila kujiona wajinga? Pengine tunafelishana in the sense that hamna anaetaka kuonekana mnyonge, nyie mnatuonyesha ubabe kwahiyo na sisi tunawaonyesha jeuri.
Hii pia inatokana na the fact that kuna baadhi wanakuwa na watu ambao sio sahihi kwao, either kwa tamaa, uzembe ama haraka ya kuingia kwenye mahusiano. Mtu wa hivi hata umbebe mgongoni, it will never change the fact that HAKUPENDI! Anaweza akawa anakuhitaji kwa sababu moja ama nyingine, but that's pretty much it.
Ukweli ni kwamba, ukiwa na mtu sahihi kwako na ukam-treat vizuri, she'll naturally become your peace...and vice versa!
Tukiacha kushindana, kila mmoja akaanza kumpa mwenzie kila anachoweza kumpa without conditions, judgement, or holding back, maisha yatakua rahisi sana.
In my opinion, there is never the right or not the right person for anyone when speaking about relationships, only the right circumstances and the right mindset.
Kugonga tenaš hili nalo litizameni eeeh maneno yawe ya kimahaba mahaba eeehLakini mnawagonga mkiwa kwenye mahusiano, ama???
Nitolee uchuro, utajiri niutoe wapiii?Hamna tajiri
Nna maneno bas? Niko niko tyuuhPunguza kucheka, weka mameno
Unaukataa?Nitolee uchuro, utajiri niutoe wapiii?
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]
HakikaWomen make rules for men they don't want, and they break rules for men they want.
Cnaga sasa, [emoji23][emoji23][emoji23]Unaukataa?
Iko siku nitakufuata pm nikutoe dukudukušDr Lizzy Siku zote huwa unaongea facts, kila neno uliloandika naunga mkono 100%
Niwe mkweli, sijawahi kuwa na utii genuine kwa mwanaume maisha yangu yote kama ilivyo sasa kwa kaka mzuri, sipingani nae katika mengi, ni mara chache mno na ni pale ninapoona kabisa kwamba hili sio sahihi.
Kupitia yeye nimegundua kila mwanamke ni mtiifu kwa mwanaume anayempenda kweli, na mwanaume huyo akawa muungwana asiye na chembe ya shaka juu ya upendo wake kwako. Yani kwamba akisema kitu kwa kuwa unajua anakupenda unaona kitakuwa chenye manufaa/sahihi.
Lakini kwa mwanaume mbabe, asiyejali kwakweli asahau utii wa kweli kutoka kwa mwanamke. Huwa tunawadanganya kutii ila kiukweli ni tunawapuuza kuepusha ugomvi.
MhhhMwanamke anamtii mwanaume anaemfanya ajisikie vizuri na sio zaidi ya hapo.
Mwanamke asipokua mtiifu kwa mwanaume ni huyo mwanaume ameamua kuwa kipofu kuwa upendo haupo
Hivyo hii rule ya kwamba mwanaume a prove 1,2,3 ndio mwanamke awe mtiifu kwake itamhusu mwanaume ikiwa tu sio chaguo la kwanza la mwanamke.Hakika
Wanataka maokoto hawana lingine.Tatizo Upendo wetu mmeugeuza chanzo cha mapato. Ili uone umependwa hutaki kuoneshwa upendo pekeyake ule upendo wa lugha za mahaba na vizawadi eti ni hadi upewe hela ya kodi na takataka zingine ndio unaona unapendwa.
Mbona umeguna mkuu?Mhhh
Na ukiyajua hayo hutalalamikia utii Wala tabia mbaya ya mwanamke utaelewa vyema wewe sio chaguo lake unalazimishia uone mwanamke wa watu mbaya [emoji3][emoji3][emoji3]Hivyo hii rule ya kwamba mwanaume a prove 1,2,3 ndio mwanamke awe mtiifu kwake itamhusu mwanaume ikiwa tu sio chaguo la kwanza la mwanamke.
Yule ambaye ni chaguo la kwanza hana haja ya kufuata sheria yoyote. Mwanamke anamtii bila precondition yoyote - hata kama anafanya opposite ya hizo 1,2,3