Wanaume acheni kuwatumikisha wake zenu, waheshimuni

Mithal na sira ndo imesema mke akikosea kuosha vyombo au kufua atukanwe!?.
Reasoning capacity thinking yako ndogo sana sio?
HIi nayo ni hoja?, kwanini usiseme ni hulka ya mtu?, au wakat wa uchumba hawakujuana kitabia?.
 
Reasoning capacity thinking yako ndogo sana sio?
HIi nayo ni hoja?, kwanini usiseme ni hulka ya mtu?, au wakat wa uchumba hawakujuana kitabia?.
Kwahy kama ni hulka ya mtu tusiseme, tuiache hvyo hvyo.
 
Wee umejuaje kama ni maisha yangu binafsi!?, Kwani mtu hawezi kuongea kutokana na anayoyaona kwenye jamii inayomzunguka!?.
Tatizo mmekariri mtu akileta mada basi inamuhusu Moja kwa moja , ondoa hizo fikra.
Jioe km hutaki kumfulia Mwanaume nguo jioe jipake rangi makucha ujipige vidole basi huku ukiwa unajilamba
 
Inasikitisha sana
 
Kwani umelazimishwa kuolewa dada?
Ebu kakae kwenu tu ambako hutofanya kazi hizo.
 
Uchunguzwe me mke wangu analima, anapika,anafua suala la kupika na kufua me siruhisiw kabisa Wenda aijui iweje
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…