Wanaume acheni kuwatumikisha wake zenu, waheshimuni

Baba yako alikuwa anapika?

Utajioa mwenyewe.
Tunaoa wale tunao weza kuwatumikisha hataki aondoke.

Mwanaume anakoja amesima wewe mwanamke utaweza?
Kwahy hoja Yako ni ipi!??
 
Hakuna mwanaume ambae anamtangaza Mkewe,hizo ni Tania za nyie Wanawake washenzi.

Sema tusiwagombeze.
 
Ulimuaibisha ataachaje kuongea ila kama mngekuwa wenyewe asingebwata siku 7😅 ila siku 7 ni nyingi sanaa looh!!
 
Utajioa mwenyewe kwa mindset yako. Hakuna mwanaume anayejitambua atakubali upuuzi wako.
Unadhani wanaume wote wanaakili sawa , wengine wake zao kupika ni hiyari yake sio lazima.
 
Kah! sasa amekuja kutembea? mke hajui kufua wala kupika hafai kuitwa mke, nguo zake amfikie nani? chakula ampikie nani? maana ya usaidizi ni nini? na sababu zipi za msingi zimfanye aolewe?? usaidizi wenyewe ndio huo, kabla mwanaume hajaoa alikuwa anajipikia na kujifulia na kutafuta, sasa amekuja msaidizi mwanaume anabaki na jukumu la kutafuta ila hayo mengine anasaidiwa ili atafute kwa nguvu kufikia malengo. ukiona hutaki hayo kaa kwenu usijipe presha ya kuolewa, au oa wewe
 
Kuna tofaut kubwa kujua kupika na kupenda kupika mtu km hajui na anapenda Kujifunza ni lazima jamn classes online kla Kona Kila chakula Bure na za kulipia unafundishwa step by step
Mwanaume ngumu kufundisha kuepuka kulaumiwa akubali Kujifunza mwenyew
Eeh ndo point mwache mtu ajifunze usimnange hadharani ikiwa hajui kazi flani, mume ahifadhi aibu ya mkewe na Sio kuitoa watu wote wakajua kwamba hajui kazi flani
 
Kujaza ukoo wenu kazi ndogo. Mtoto azae mwengine jina abebe lako , wee unaona kazi ndogo hiyo bado unibebeshe na matusi juu nikikosea kazi.
kwani hawezi kujaza ukoo kwa njia nyingine mpaka aoe? kuna Watu wamezaa na majina wanatumia ya waliozaa nao na hawajaolewa, mbegu unazo za kwako au unatumia za mwanamume?
 
Ndomna Kuna viben ten siku hzi
 
Eeh ndo point mwache mtu ajifunze usimnange hadharani ikiwa hajui kazi flani, mume ahifadhi aibu ya mkewe na Sio kuitoa watu wote wakajua kwamba hajui kazi flani
Alitakiwa ajifunze akiwa kwao, sio ajifunze ndoani kwani hizo kitchen party ni fasheni?
 
Umeandika ujinga, tunapokuja kuoa sio kwamba hatujui kupika au kifua nk no tunajua sana tungeweza kujifanyia wenyewe hayo, ila kutokana na majukumu inabidi uwe na msaidizi ambaye ni mke.

Sasa kama akiona kufanya hayo ni utumwa aondoke nifanye mwenyewe nikijua kuwa nipo bila msaidizi.
 
kwani hawezi kujaza ukoo kwa njia nyingine mpaka aoe? kuna Watu wamezaa na majina wanatumia ya waliozaa nao na hawajaolewa, mbegu unazo za kwako au unatumia za mwanamume?
Huyo mwanaume mbegu bila yai inajizaa!?. Hata wasiolewe kwani ni wanaume au wanawake!?.
 
Ndomna Kuna viben ten siku hzi
ndio maana nimesema huwezi kuolewa, oa usilete usumbufu wa kuanza kukalishwa vikao kwa mambo ambayo ilikuwa ni wajibu na msingi, siku hizi mtoto kuandikisha mtoto wa darasa la kwanza sharti ajue kusoma na kuandika. Sasa kwenye ndoa msingi ni huo, kwetu ukiolewa tu unakabidhiwa jiko ukweni kabla hujaenda kwa mumeo, hakuna shortcut
 
kaandika ujinga sana
 
Alitakiwa ajifunze akiwa kwao, sio ajifunze ndoani kwani hizo kitchen party ni fasheni?
Hata ndoani unajifunza huwezi jua vyote . Kujifunza hakuna mwisho ni safari yenye kuendelea
 
Huyo mwanaume mbegu bila yai inajizaa!?. Hata wasiolewe kwani ni wanaume au wanawake!?.
hapo ndio utaelewa mwanamke ni msaidizi, sasa mwanaume kupata yao sio lazima aoe, mayai yapo mengi yanazagaa, wewe kama unafikiri kuzaa ndio kilichokupeleka kwa mwanaume futa
 
Wapo telee wasojua kusoma na wapo madarasa ya juu. Mtoto darasa la 4 hajui kusoma.
Hamjaoa watumishi bali wake.
 
Hata ndoani unajifunza huwezi jua vyote . Kujifunza hakuna mwisho ni safari yenye kuendelea
Lazima ujue vya msingi sasa, hapo itakiwa rahisi kujifunza hata chakula cha asili cha mumeo
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…