Wanaume acheni kuzaa watoto Nje ya Ndoa mnawatesa viumbe wasio na Hatia

Bush Dokta

JF-Expert Member
Joined
Apr 11, 2023
Posts
24,831
Reaction score
45,154
Hili jambo linanihuzunisha sana. Sina cha kuwasaidia lakini angalau nina mdomo na mikono ya kusema na kuandika.

Kila ninapona watoto wadogo wasio na mwelekeo kwemye maisha, hawana pa kulala, kula kwa tabu, kuvaa mtihani na shule ndio kabisa wamepoteza mwelekeo.

Kipindi kama hiki cha mvua mfululizo utawaona watoto wamezagaa mitaani kama vifaranga wasio na mama yao.

Nakumbuka kuwa hawa wana Mama zao na Baba zao.

Kweli hatuna uwezo unaolingana kuwahudumia vizuri lakini angalau tunaweza kutoa emotional support na the atleast the minimum acceptable services.

Watoto wameishia kuwa wahanga wa ulawiti, ukatili wa kingono, matusi na kudumaza utu wao.

Huku baba zao waliokuwa wanajidai miamba ya kula mbususu wamekimbia wajibu matokeo ya matendo yao.

Hata kama mlikosana na mama yao sasa hao watoto walikufanya nini hadi uwatelekeze??

Na nyie wanawake punguzeni nyege muacha kuzaa hovyo hovyo na wanaume wasio na mwelekeo.

Jambo jingine ni kuwa je kwani hata mkitombana lazima mzae??
 
IMG_5016.jpg

Solution ni nyeto au siyo
 
Hili jambo linanihuzunisha sana. Sina cha kuwasaidia lakini angalau nina mdomo na mikono ya kusema na kuandika.

Kila ninapona watoto wadogo wasio na mwelekeo kwemye maisha, hawana pa kulala, kula kwa tabu, kuvaa mtihani na shule ndio kabisa wamepoteza mwelekeo.
Umeandika kweli tupu. Inauma, inahuzunisha, inatia huruma na inafikirisha sana watoto wadogo kutelekezwa namna hiyo.
 
Upuuzi mkubwa kupita kiasi ni mwanaume kutelekeza watoto.

Upuuzi mkubwa zaidi ni wanawake kutegesha mimba ili wawapate wanaume wanaohisi ni WA ndoto zao.

Upuuzi wa kipuuzi ni mama kutelekezewa watoto Kisha kukaa chini kulia lia badala ya kujishughulisha angalau watoto wale walale sehemu safi na wasome bure.

Sio Kila mwanaume wa kumbebea ujauzito, lakini watoto sio laana uanze kujilaumu kwanini ulizaa.

Makosa yetu yasifanye tuwape hatma mbaya watoto wetu
 
Hili jambo linanihuzunisha sana. Sina cha kuwasaidia lakini angalau nina mdomo na mikono ya kusema na kuandika.

Kila ninapona watoto wadogo wasio na mwelekeo kwemye maisha, hawana pa kulala, kula kwa tabu, kuvaa mtihani na shule ndio kabisa wamepoteza mwelekeo.

Jambo jingine ni kuwa je kwani hata mkitombana lazima mzae??
Tatizo wanawake wanaachia sana mbususu sasa mzeya upo unakula mbususu kabla hujakamata condom mwanamke tayari kashaipandia de libolo anaikatikia mauno. Mzabzab dakika mbili nyingi umemwaga wadhungu....baadae demu anakwambia mzabzab sioninsiku zangu. Sasa mie hapo kosa langu nini
 
Inauma sana, yaani tu sana.
Japo hutokea labda umemla changudoa ukiwa mlevi, hukumjua wala kufahamiana, kisha kapata mimba huko.

Kuna kipindi nilikua nakunywa pombe na kuyafanya hayo, huniuma sana kila nikiwaza labda kuna mwanangu sehemu anateseka simfahamu na hanifahamu, it's so painful.

Kwa sasa nimekua nawasaidia watoto kila nikikutana nao simpiti bila kumpa msaada hata wa chakula, ilmradi Mungu amguse mwanaume mwingine huko naye amsaidie wa kwangu.
 
Mshauri cha kufanya ameze dawa za uzazi wa mpango au azae umsaidie kule maana ni mtoto wako.
 
Inauma sana, yaani tu sana.
Japo hutokea labda umemla changudoa ukiwa mlevi, hukumjua wala kufahamiana, kisha kapata mimba huko.

Kuna kipindi nilikua nakunywa pombe na kuyafanya hayo, huniuma sana kila nikiwaza labda kuna mwanangu sehemu anateseka simfahamu na hanifahamu, it's so painful.

Kwa sasa nimekua nawasaidia watoto kila nikikutana nao simpiti bila kumpa msaada hata wa chakula, ilmradi Mungu amguse mwanaume mwingine huko naye amsaidie wa kwangu.
Kama ulikuwa na mchezo huo lazima kuna mahala kuna mwanao wa damu anateseka huko. Na mbaya zaidi akikuwa hujikuta anaangukia kwenye dimbwi kama hilo tena kutokana na ugumu wa maisha na kukosa malezi.
 
Upuuzi mkubwa kupita kiasi ni mwanaume kutelekeza watoto.

Upuuzi mkubwa zaidi ni wanawake kutegesha mimba ili wawapate wanaume wanaohisi ni WA ndoto zao.

Upuuzi wa kipuuzi ni mama kutelekezewa watoto Kisha kukaa chini kulia lia badala ya kujishughulisha angalau watoto wale walale sehemu safi na wasome bure.

Sio Kila mwanaume wa kumbebea ujauzito, lakini watoto sio laana uanze kujilaumu kwanini ulizaa.

Makosa yetu yasifanye tuwape hatma mbaya watoto wetu
Inasikitisha sana. Nimepita mitaa ya Masaki nikawaona wale watoto na mvua hizi ndio kisa cha kukumbuka Mshikaji wangu naye katelekeza watoto.

Ime nipain sana maana watoto hawa hawana hatia
 
Back
Top Bottom