Wanaume acheni kuzaa watoto Nje ya Ndoa mnawatesa viumbe wasio na Hatia

Kwanin walaume wanaume pekee as if wanazaa wenyewe lawama ziende both sides
Wanawake wana akili za ajabu sana.Na hata serikali na baadhi ya wanajamii inawatetea bila kutafakari kwamba na wao wanapaswa kuchukua majukumu.Wanadhani kazi yao ni kuusikilizia utamu wa kupata mimba,kuzaa na kusubiri mwanaume abebe majukumu yote ya kutunza.Huu ni ujuha.
 
Kuna siku nilikuwa natoka mtwara kuja dar,nikafika kwenye saa 11 jioni,nitafika ubungo bus terminal,sasa akaja mtoto wa miaka Kama 9 hivi muelekeo wangu maana nilikuwa napata chakula nikamwita akuja,nikamuuliza anafanya Nini dar na ametikea wapi.Akanambia anatoka mbeya na anaishi na Bibi yake na yupo darasa la nne Ila amekuja dar kumtafuta maisha.Basi nikamwambia kesho yake niende naye mbeya aanze shule alinikatalia kabisa.Badae mhudumu aliyeniletea chakula alishangaa Sana kuona naongea na Yule mtoto akasema Ni watoto hatari Sana muda ya usku.Kumbe kwa Imani yangu hakuna mzazi ambaye anapenda hiyo Hali na kwangu naamini mtaa hauzai mtoto,isipokuwa Kuna mawili mosi Ni malezi ambapo wazazi tunashindwa na watoto kujiunga na makundi hayo (si rahisi ata Kama mama hamjui baba wa mtoto amtelekeze) pili ni mtizamo wa jamii ulivyo kwani maisha yamekuwa Kila mtu anajua lake na siyo Kama zamani ambapo mtoto ilikuwa Ni Mali ya jamii nzima.So sad
 
Kuna lundo la mabinti kati ya 15-25,wamezalishwa tena na wanaume wa watu,unakaa chini unajifikiria huko mbele sijui itakuwaje na kuna wengine wapo tayari kudate na waume za watu,kuliko na mtu ambaye hana mke ila still anapambana kujiweka sawa.

Kuna wengine wanakomaa na maplayboy, wahuni (f*ckboy) wanawaacha vijana ambao hawana mambo mengi aka waseminari kisa wapole,mara hawana swaga,eti hawajui kuvaa,wakishapigwa mimba watu wanatambaa.

Bila kusahau dada zangu siku hizi wanapenda hela mpaka kama wanaziabudu , kwake mwanaume wa MAANA ni mwenye fedha, hawajiulizi huyo mwenye fedha anagombaniwa na wanawake wangapi na utakuta anajua jamaa anamtu wake na yy naye anaunga kwenye foleni ili tu apate hela.

Japo kuna lundo la vijana wa kiume siku hizi hawapendi majukumu yale ya kiasili ya mwanaume kula kwa jasho na kufanya kazi kwa bidii ili kulinda na kuitunza familia.Wameinvest mda wao kwa kuwavutia wanawake kwa kutengeneza miili yao,kupendeza na kuwakojoza kitandani na ndivyo vitu dada zangu wanavipenda,ambavyo baada kutiwa mimba huviona havina maana.
 
Kumbe watoto walioko mtaani wametokana na kutelekezwa na baba zao? Chanzo cha takwimu yako ni kipi?

Hivi mtoto wa nje ni yupi, na wa ndani ni yupi?
Naomba ufafanuzi ndugu mwandishi.
 
Wakishapigwa ndio wanaanza kutafuta waseminary.....too late.
 
Kumbe watoto walioko mtaani wametokana na kutelekezwa na baba zao? Chanzo cha takwimu yako ni kipi?

Hivi mtoto wa nje ni yupi, na wa ndani ni yupi?
Naomba ufafanuzi ndugu mwandishi.
Acha ubishi usio kuwa na tija.
 
Bila kusahau dada zangu siku hizi wanapenda hela mpaka kama wanaziabudu , kwake mwanaume wa MAANA ni mwenye fedha, hawajiulizi huyo mwenye fedha anagombaniwa na wanawake wangapi na utakuta anajua jamaa anamtu wake na yy naye anaunga kwenye foleni ili tu apate hela
Noma sana ukiwa na kazi tu inaingiza kipato unaweza ukazalisha mtaa mzima. Na hawana habari
 
Kuna lundo la mabinti kati ya 15-25,wamezalishwa tena na wanaume wa watu,unakaa chini unajifikiria huko mbele sijui itakuwaje na kuna wengine wapo tayari kudate na waume za watu,kuliko na mtu ambaye hana mke ila still anapambana kujiweka sawa.

Kuna wengine wanakomaa na maplayboy, wahuni (f*ckboy) wanawaacha vijana ambao hawana mambo mengi aka waseminari kisa wapole,mara hawana swaga,eti hawajui kuvaa,wakishapigwa mimba watu wanatambaa.

Bila kusahau dada zangu siku hizi wanapenda hela mpaka kama wanaziabudu , kwake mwanaume wa MAANA ni mwenye fedha, hawajiulizi huyo mwenye fedha anagombaniwa na wanawake wangapi na utakuta anajua jamaa anamtu wake na yy naye anaunga kwenye foleni ili tu apate hela.

Japo kuna lundo la vijana wa kiume siku hizi hawapendi majukumu yale ya kiasili ya mwanaume kula kwa jasho na kufanya kazi kwa bidii ili kulinda na kuitunza familia.Wameinvest mda wao kwa kuwavutia wanawake kwa kutengeneza miili yao,kupendeza na kuwakojoza kitandani na ndivyo vitu dada zangu wanavipenda,ambavyo baada kutiwa mimba huviona havina maana.
Umeongea pointi tupu.
 
Wanawake waache kubeba mimba za wanaume wasio eleweka ,kama wnabeba mimba iwe nikwa mapenz yao tu na sio kimaslai na sababu nyingne zisizo na mashiko.
 
Back
Top Bottom