Wanaume acheni kuzaa watoto Nje ya Ndoa mnawatesa viumbe wasio na Hatia

Wanawake waache kubeba mimba za wanaume wasio eleweka ,kama wnabeba mimba iwe nikwa mapenz yao tu na sio kimaslai na sababu nyingne zisizo na mashiko.
Lakini wakati mnapowanyandu huwa hamsemi hivyo
 
Sisi wanyiramba ukijipendekeza tu unakuwa single mother halafu sijali wala nini,tumeumbwa kuujaza huu ulimwengu maana hata usipozalisha nje utakufa na utaacha watoto kama kawaida
 
[emoji23][emoji23][emoji23]
 
Wanaume nyie moto wenu wa gesi unawasubiri [emoji125]

Sent from my vivo 1906 using JamiiForums mobile app
 
Wanawake nao pia wanatakiwa walaumiwe kwa nafasi yao,TAMAA zao zinawaponza Sana unakuta dada anaachia mbususu kwa care za chips na soda mixer vipesa vidogo vidogo,Cha ajabu analiwa peku bila Kinga yoyote.

Wanawake anzeni kujistukia mapema maana wanaume wa ckuiz miyeyusho Sana watakuja kwa pigo za Mapenzi kumbe waongo wakila mbususu zenu wanasepa mazima.

Deadbeat fathers wanaongezeka mitaani kwa Kasi ya 5G
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…