Wanaume anachofanya huyu mwenzenu ni sawa?

Wala sio pesa zenu

Hahaa hadi mnakuja kutufungulia Uzi humu jf kisa hatuwapi hela, half ke mnasapotiana hiko si ndo kipaumbele chenu

Sisi wanaume kipaumbele chetu ni papuchi tu, hayo mengine cjui uje unipikie, unifulie, unipe tigo etc.. hayo ni ziada. Zesh
 
UANAUME NI KAZI SANA, UKIOMBWA HELA UNACHANGANYIKIWA, NA USIPOOMBWA UNACHANGANYIKIWA ZAIDI.

mchizi yupo kachanganyikiwa kwahyo ww muombe tu, hawezi kujiongeza.
 
Ina maana demu kapelekwa gest bure au labda alikwenda kwa jamaa, hakupewa hata soda au chips!
Au jamaa unataka agharamikie nini iwapo ni demu wake?! au nauli ya bajaj?!
Kaka chakula, kjnywaji na gharama ya guest ni mahitaji ya lazima kwa mpenzi, kama hupendi gharama ni nyeto tu! Hata huko India ambako mwanamke hulipa mahali, mwanaume ndiye anayeendesha familia
 
Kaka chakula, kjnywaji na gharama ya guest ni mahitaji ya lazima kwa mpenzi, kama hupendi gharama ni nyeto tu! Hata huko India ambako mwanamke hulipa mahali, mwanaume ndiye anayeendesha familia
Muwe tu mnasema mnauza bei gani, kuliko kuzungia na neno 'mwanaume hajali'
 
Yaaani huu mfumo ni wakijnga sana ..iimefikia hatua wanawake kupewa pesa na wanaume wanaona kuwa ni wajibu wao ..hata Kama hawaja zitolea jasho
daah kamanda big up sana, ujumbe Bora Sana huu Hawa watu wanawawekea matakataka kwenye bongo zao wewe mwanamke ni bidhaa mpaka uhisi na kufikiri mimi kukupa hela ni haki yako

huna mikono, huna miguu wewe kilema yaani tuanze mahusiano tu nianze kukutumia hela kukupa zawadi tuna mipango gani wewe ni mke wangu, je tukija kuachana mambo yote makubwa niliyofanya

kwanini wanafikiri wao ni wakupokea pesa ambayo hawajaifanyia kazi maana mahusiano ni hiari si lazima

Wawakamate hao hao makarungu yeye

hovyo Sana hizi mentality zao



Sent using Jamii Forums mobile app
 
Yaaani huu mfumo ni wakijnga sana ..iimefikia hatua wanawake kupewa pesa na wanaume wanaona kuwa ni wajibu wao ..hata Kama hawaja zitolea jasho
Mimi sharia yangu nikiwa na mwenamke kwenye mahusiano ni kujikuna ninapo weza na kufanya jambo linalonipa amani na si kumfurahisha yeye na ujinga wake wa kupewa

nikitaka nyapu namgusia akikubali nakodi uwanja nalipia gharama zote yeye kazi yake ni kupata raha akisema sitaki kuja, simlazimishi akikubali hasitegemee kupewa hela

Humu Kuna wanaume wanajifanya wanatoaga hela hovyo hovyo ni kufake tu

Hela ngumu kinyama haipaswi kuletewa dharau hivi

Sent using Jamii Forums mobile app
 
That is nature, huwezi pingana nayo.
Nature ipi mkuu, embu elezea logically nature kivipi, nani ametaka iwe nature makubaliano yalihainisha nini na nini

Yaani wewe kutaka kupewa hela usiyoifanyia kazi ilihali hauna tatizo lolote mental and physical, unadai ni nature

Kwanini badala yake usiombe kazi akutafutie kazi, akukopeshe hela ufanya biashara?

Emancipate yourself from mental slave

Sent using Jamii Forums mobile app
 
nataka nikutukane kwa kukusifia zile za kimtaani

Eti hatujui wana terms zipi kwenye mahusiano yao anataka sisi tumshahuri na tumpe majibu anayowiwa kuyasikia moyoni mwake kwamba yeye anahistahili kupewa hela na huyo mjuba

[emoji16][emoji16][emoji16][emoji16][emoji16][emoji16][emoji16][emoji16][emoji16][emoji16]

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Umeelewa vibaya
 
Hakupendi Huyo,hapo Unapigwa Pumbu tu
 
Kabisa ... Hiyo para ya mwisho sahihi kabisa
 
Hahaa hawajui tu huwa wanajishushia thamani yao Sana... Halafu ikitokea waka fanyiwa vitendo vya udhalilishaji wa kijinsia wana andamana wakati wao mwenyewe ndio wanao jikaribishia hayo matatizo ...ukisha amua kuwa mtumwa wa fedha kubali pia na kudhaliishwa
 
Mwanamke anapanga kuja kwako,anajua uko single, anajua unaishi gheto, hata kupitia sokoni ununue tembele au chainizi huwazi, ila unataka hicho unachoita "kujaliwa"!
Ndoa mtazisikia na kutazama kwenye kipindi cha chereko chereko.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…