Wanaume anachofanya huyu mwenzenu ni sawa?

Na kweli usemalo Baba Mchungaji japo kama ujuavyo mahusiano huwa yanachukua muda kila mmoja kuwa muwazi kwa mwenzi mana si ajabu mahusiano ni mapya na hata namna ya kusema wakae chini wazungumze haipo.

Nadhani mleta uzi amepata kitu kwenye hiyo Post yako ambacho ikitokea amekaa chini na muhusika wakayazungumza basi kinaeza ondoa hii sintofahamu kwa kupata nyeupe na nyeusi toka kwa muhusika.
 
πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚sura personal
 
The Boss siku hizi wanawake wamegundua siri, hawawafagilii sana handsome bali sura oersonal haswa kwa susla zima la ndoa.
Sura personal wanajali sana kufidia mapungufu yao...hili nilisimuliwa na warembo flani

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Huu uzi wanaume wanaoshobokea mademu humu hawawezi ku-comment against, watakuja kuungana na mwanzisha mada, huku moyoni wakiumia kuhonga.
Mwanaume kuhonga ni kawaida ukishajiona huwezi kuhonga jichunguze hamkawiagi kuipangia matumizi mishahara ya wake zenu nyie

Unamtongozaje mtoto wa mtu akuvulie chupi hafu siku akitaka chupi akaombe kwao ni sawa hii

Nahisi twisha elemewa tayali kama mpaka sisi tunataka usawa na wa kike.

Kuhonga ni sehemu ya majukumu ya kiume.
 
mmh ndugu yangu huyo hapo kidogo kuna tatizo, hapo solution ni kuongea nae tu nazani mkiliongelea kila mmoja atauelewa upande wa mwenzie vizuri zaidi
 
πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ€£πŸ€£πŸ€£πŸ™πŸ™πŸ™πŸ™ Umeua mwamba eti bi mkubwa anashindia karoti
 
Tus
 
Duh ..he is my hero hahah Kwa huo ujasiri.
Lazima kuna mtu alikuwa willing Ku spend hela yake kwako ukamdengulia ..so karma is punishing you...

Hebu mwambie Una shida ya hela umsikie
πŸ€£πŸ˜‚πŸ€£πŸ˜‚ Malipo hapahaoa inaezekana Kuna msela kampiga Sana hela so ngoja apigwe free
 
Mwanaume wa hivyo hana akili achana naye. Ananunua kiatu cha laki mbili lakini mpenzi wake hata vocha ya buku jero hatoi?? Bado unamfata fata wa nini sasa madam hesalieyo. Au ukute anakulingishia maskini kumbe hana kitu?? Kuwa makini
 
I'm

Noted mkuu
 
Hesalieyo chukua ushauri huu, nilishawahi kuwa na mwanaume design hii ,kumbe ji majivono tu hakuwa na kitu
 
Hesalieyo chukua ushauri huu, nilishawahi kuwa na mwanaume design hii ,kumbe ji majivono tu hakuwa na kitu
Wapo wengi tu na ni wajanja hata magari ya kuazima anahakikisha kila mnapoonana ana gari na utajua ni yake kumbe hata baiskeli hana.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…