Wanaume badilikeni fanyeni maendeleo, umri haurudi nyuma!

Magdalene_joseph

JF-Expert Member
Joined
Jun 26, 2023
Posts
231
Reaction score
617
Nimeolewa mwaka wa Saba mwanaume hakuna maendeleo na pesa anapata zinapoenda anajua mwenyewe. Akinunua vitu vya ndani anajiona kafika.

Kazi kulalamika apelekewe maji bafuni kwenye ndoo badali ajenge maji yatiririke kutoka juu au aoge amelala!

Kutwa pombe na mahawara. Hawa watoto anaonizalisha wataenda wapi akifa. Vitambi na kulipa kodi sio maendeleo.

N.b: Nimedit. Ila wenye hivyo vitabia acheni mpo humo humo msinitolee mapovu! Unaoa mwembamba kama fimbo halafu mnakuja kurelax na kusahau ahadi zote!
 
Chukua maua yako mapema⚘⚘🌷⚘🌷⚘🌷⚘🌷⚘🌷🌹⚘🌹🌼πŸ₯€πŸ΅βš˜πŸŒΌπŸ₯€πŸŒΉπŸŒ·πŸŒΉπŸŒΌβš˜πŸŒΉ
 
We mpuuzi umemsaidiaje mumeo kujikwamua hapo alipo maana nyie ni wasaidizi,mbali na huo mdomo wako mrefu uliorithi kwa mama Ako?
 
Wewe umefanya nini? Na kwanini uone wanaume ndio tutakufa kwanza?
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…