Wanaume badilikeni fanyeni maendeleo, umri haurudi nyuma!

Wanaume badilikeni fanyeni maendeleo, umri haurudi nyuma!

Nimeolewa mwaka wa Saba mwanaume hakuna maendeleo na pesa anapata zinapoenda anajua mwenyewe. Akinunua vitu vya ndani anajiona kafika!

Kazi kulalamika mpelekewe maji bafuni kwenye ndoo hebu jengeni maji yatiririke kutoka juu au muoge mmelala! Kutwa pombe na mahawara , swaini nyie. Hawa watoto mnaotuzalisha wataenda wapi mkifa! Hebu badilikeni vitambi na kulipa Kodi sio maendeleo
Kama ana hawara hadi ukamjua wewe ndo mwenye matatizo. Amekushtukia kashaona unatamani kuwa mama mwenye nyumba
 
Kazi kulalamika mpelekewe maji bafuni kwenye ndoo hebu jengeni maji yatiririke kutoka juu au muoge mmelala! Kutwa pombe na mahawara , swaini nyie.
Mmeo ndio shwaini; dada na wewe uliekubali kuolewa na yeye ni gendaheka yani hekaheka na karaha za bolizozo lako unatuletea sisi kwani unahisi wote tunafanana akili shenzi type kabisa.....
 
Taratibu jamani msimkaripie sasa😃😃😂
Huyo mwanamama anataka kuharibu hali ya hewa...Akili zake ni za hovyo yani ameshindwa kumuongoza mmeo vyema anakuja kutoa povu huku aargh!

Anashindwa kijitambua kosa lake kuwa alikubali kuwa mather house lkn sio mama mpambanaji mpuuzi sana huyoo 🤣🤣🤣
 
Back
Top Bottom