Wanaume badilikeni fanyeni maendeleo, umri haurudi nyuma!

Wanaume badilikeni fanyeni maendeleo, umri haurudi nyuma!

Ajiongeze asipende kuwa tegemezi nyakati hizi maisha ni mapambano na kusaidiana wote....Atafute hata shughuli ndogo ndogo atafanikiwa kupata hayo maendeleo anayotaka aache kukaza fuvu shenzi type kabisa.....
sio wote wanaoweza kujiongeza my friend,,, ukute kashazoea keletewa tu kila kitu nyumbani yuko tu kulea watoto atanzia wapi kupambana😌😌
 
Nimeolewa mwaka wa Saba mwanaume hakuna maendeleo na pesa anapata zinapoenda anajua mwenyewe. Akinunua vitu vya ndani anajiona kafika!

Kazi kulalamika mpelekewe maji bafuni kwenye ndoo hebu jengeni maji yatiririke kutoka juu au muoge mmelala! Kutwa pombe na mahawara , swaini nyie. Hawa watoto mnaotuzalisha wataenda wapi mkifa! Hebu badilikeni vitambi na kulipa Kodi sio maendeleo
Una uhakika uliusoma vizuri mkasa wa Achraf Hakimi na mtalaka wake ukauelewa?
 
Back
Top Bottom