Mzee wa Kusita
Member
- Mar 9, 2023
- 9
- 17
Acha kuzungumza kwa hisia Kali ivi. Ongea na umshauri huyo mwanaume wako. Sio wote tuna huo upumbavu. Heshima ichukue nafasi yake. Kaa chini na ujiulize alichokosea kwako ni nini? Na ni kipi kinachokufanya ushindwe kumtreat mwanaume wako adi afikie hatua ya kuwa na mahawara? Ukipata majibu Kaa nae chini mrekebishane [emoji725]Nimeolewa mwaka wa Saba mwanaume hakuna maendeleo na pesa anapata zinapoenda anajua mwenyewe. Akinunua vitu vya ndani anajiona kafika!
Kazi kulalamika mpelekewe maji bafuni kwenye ndoo hebu jengeni maji yatiririke kutoka juu au muoge mmelala! Kutwa pombe na mahawara , swaini nyie. Hawa watoto mnaotuzalisha wataenda wapi mkifa! Hebu badilikeni vitambi na kulipa Kodi sio maendeleo