Wanaume badilikeni fanyeni maendeleo, umri haurudi nyuma!

Wanaume badilikeni fanyeni maendeleo, umri haurudi nyuma!

Una hoja lakini uwasilishaji wako una hitilafu.Wanaume wenzangu bado nashauri unapoamua kuanzisha familia Dunia ya leo,jitahidi uwe umejitafuta kwa baadhi ya mambo ya msingi.
 
Na wewe pia endelea that's the meaning of equality sio kutegemea mwanaume 100% kila kitu tu; saidianeni. Sio jukumu la XY kutimiza kila ndoto ya XX. Na wewe una elimu na upeo jikwamue pia
 
Nimeolewa mwaka wa Saba mwanaume hakuna maendeleo na pesa anapata zinapoenda anajua mwenyewe. Akinunua vitu vya ndani anajiona kafika.

Kazi kulalamika mpelekewe maji bafuni kwenye ndoo hebu jengeni maji yatiririke kutoka juu au muoge mmelala!

Kutwa pombe na mahawara. Hawa watoto mnaotuzalisha wataenda wapi mkifa. Hebu badilikeni vitambi na kulipa Kodi sio maendeleo.
Endeleeni kujifanya Wana harakati kwenye ndoa, mtaishia kuzaa na ma house boy au magardener maana hamtaoleka
 
Pumbavu mwenyewe ndo maana nataka ajenge
Wewe kwa mdomo huo mchafu sio wakujengewa kabisa na huyo mtu wako ameshastuka akijenga tu umemuua kwani unaonekana ni mwanamke mwenye upeo mfupi sana kimawazo na unapenda kujibizana hovyo na mume wako heshima mbele zake huna shenzi wewe utaishia kwenye nyumba za kupanga tena huku mkendelea kuishi kwa dhiki sana pumbafuuu ona wivu tu kwa wenzio wenye busara wakiendelea na kuishi maisha mazuri na kuwa na familia bora ila sio bora familia kama yako fedhuliiii wa akili wewe.
 
Hahah huu uzi niliuona lakini title ikanifanya niupotezee, lakini naona Jo umenimention...

Hapa Jo mdada mwenzenu ana stress ujue...sijui kama ataweza kusoma comments zote za aliowavuruga 🤣
Yeah,inawezekana stress anazo lakini comments zinachekesha kinyama 🤣

Lakini uzuri wa uzi wake hajaja kuomba ushauri...yeye ndio kaja kuwashauri madume suruali
 
We mtoa mada chukua huu mkeka weka jero, upate hela ya kudunduliza cement, tena na cement imeongezwa kodi ndiyo basi, tusubirie kwa uzuri kwenda kwa Baba, maana kuna makao mengi.
Screenshot_20230627-215238_kingbet.jpg
 
Huyu wangu ni sikio la kufa labda mnafanana ndo maana unantetea
Tofauti kubwa sana na ndio maana nimekwambia usifikiri wanaume wote tunafanana akili pumbavu wewe, Huyo wako malaya, Mlevi na mwehu kama ulivyo wewe na hii yote ni wewe mwenyewe ndio umesababisha kupotea kwa huyo Mumeo....Nikuombe kitu dada jaribu kurekebisha tabia yako maana unaonekana unapenda sana mambo ya kiswahili shenzi type kabisa wewe......
 
Back
Top Bottom