Wanaume badilikeni fanyeni maendeleo, umri haurudi nyuma!

Nimeolewa mwaka wa Saba mwanaume hakuna maendeleo na pesa anapata zinapoenda anajua mwenyewe. Akinunua vitu vya ndani anajiona kafika.

Kazi kulalamika mpelekewe maji bafuni kwenye ndoo hebu jengeni maji yatiririke kutoka juu au muoge mmelala!

Kutwa pombe na mahawara. Hawa watoto mnaotuzalisha wataenda wapi mkifa. Hebu badilikeni vitambi na kulipa Kodi sio maendeleo.
Pole Bibiye kwa changamoto unazozipitia, achana na material things kama Amani na upendo upo basi wewe tulia tu.🤔
 
Nimeolewa mwaka wa Saba mwanaume hakuna maendeleo na pesa anapata zinapoenda anajua mwenyewe. Akinunua vitu vya ndani anajiona kafika.

Kazi kulalamika mpelekewe maji bafuni kwenye ndoo hebu jengeni maji yatiririke kutoka juu au muoge mmelala!

Kutwa pombe na mahawara. Hawa watoto mnaotuzalisha wataenda wapi mkifa. Hebu badilikeni vitambi na kulipa Kodi sio maendeleo.
Ujumbe mzuri ila uwasilishaji ni 0/100%. ZERO. Disco!.
 
Back
Top Bottom