Magdalene_joseph
JF-Expert Member
- Jun 26, 2023
- 231
- 617
Nimeolewa mwaka wa Saba mwanaume hakuna maendeleo na pesa anapata zinapoenda anajua mwenyewe. Akinunua vitu vya ndani anajiona kafika.
Kazi kulalamika apelekewe maji bafuni kwenye ndoo badali ajenge maji yatiririke kutoka juu au aoge amelala!
Kutwa pombe na mahawara. Hawa watoto anaonizalisha wataenda wapi akifa. Vitambi na kulipa kodi sio maendeleo.
N.b: Nimedit. Ila wenye hivyo vitabia acheni mpo humo humo msinitolee mapovu! Unaoa mwembamba kama fimbo halafu mnakuja kurelax na kusahau ahadi zote!