Wanaume badilikeni fanyeni maendeleo, umri haurudi nyuma!

Mwambie huyo wako asiye jitambua
 
Amekula BAN saaaafi kabisa
Wewe ni bure kabisa. Na moderators nao ...au basi! Nimepigwa ban baada ya kumuuliza aliyenikejeli kazi yangu kupanua K na kuzaa! Swali langu lilikua simpo mama yake alipanua nini akazaliwa yeye? Haya ripoti hii nifungiwe tena
 
Nyie wavulana mnaoniripoti mpaka nafungiwa vavayo zenu! Sifikirii mwanaume umekamilika unaniripoti nifungiwe! Mnaniambia napanua K nikiwajibu mama yako alipanua nini inakua nogwa! Swain. Povu ruksa
 
Pole aiseee
 
Too much controlling, ushauri mzuri lakini vingine unazidisha haviwezi kufanyika kwa kila mtu,mfano unamshauri kusali na kutoa sadaka,kwanini usiishie hapo lakini unamwambia atoe kanisani tu why,si tumpe nafasi Roho mtakatifu atuongoze cha kufanya.
 
Wewe ni bure kabisa. Na moderators nao ...au basi! Nimepigwa ban baada ya kumuuliza aliyenikejeli kazi yangu kupanua K na kuzaa! Swali langu lilikua simpo mama yake alipanua nini akazaliwa yeye? Haya ripoti hii nifungiwe tena
""Mimi ni bure kabisa"" una maana gani hii kauli
 
pole magdalena..... jina zuri takatifu unaenda kwa mlefiii...pole
 
Kila mtoto atatufuta vya kwake ,maendeleo ya nn Sasa kama unakula na kuvaa inatosha hayo!! Mambo ya kusema sijui kuwajengea nyumba watoto ni Upumbavu kwani Mimi baba yangu alinijengea nyumba?? Yani mtu ashindwe kimwagili Moyo na kula minyamaaa aanze kufikiria kufikia Hela kwenye nyumba, Hakuna kuwajengea watoto labda kama wewe baba Yako alikujengea na wewe unawajengea watoto
 
Sio nyumba ya watoto... nyumba ya familia. Moyo mwagilieni vizuri ila kumbukeni uzee unakuja fikiria umezeeka huna nyumba
 
Wanaume wenye hizi tabia ni wengi. Mbadilike. Mwisho wa siku wanawake wanafikiri ni wanaume wote tuna hizi tabia kumbe sio
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…