Wanaume badilikeni fanyeni maendeleo, umri haurudi nyuma!

Kama ana hawara hadi ukamjua wewe ndo mwenye matatizo. Amekushtukia kashaona unatamani kuwa mama mwenye nyumba
 
Kazi kulalamika mpelekewe maji bafuni kwenye ndoo hebu jengeni maji yatiririke kutoka juu au muoge mmelala! Kutwa pombe na mahawara , swaini nyie.
Mmeo ndio shwaini; dada na wewe uliekubali kuolewa na yeye ni gendaheka yani hekaheka na karaha za bolizozo lako unatuletea sisi kwani unahisi wote tunafanana akili shenzi type kabisa.....
 
Taratibu jamani msimkaripie sasa๐Ÿ˜ƒ๐Ÿ˜ƒ๐Ÿ˜‚
Huyo mwanamama anataka kuharibu hali ya hewa...Akili zake ni za hovyo yani ameshindwa kumuongoza mmeo vyema anakuja kutoa povu huku aargh!

Anashindwa kijitambua kosa lake kuwa alikubali kuwa mather house lkn sio mama mpambanaji mpuuzi sana huyoo ๐Ÿคฃ๐Ÿคฃ๐Ÿคฃ
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn moreโ€ฆ