Wanaume dhaifu mmeona game ilivyochezwa na 'Russian guy?' Kikombe cha maji and straight to bed

Wanaume dhaifu mmeona game ilivyochezwa na 'Russian guy?' Kikombe cha maji and straight to bed

Xi Jinping

JF-Expert Member
Joined
Jun 14, 2023
Posts
9,548
Reaction score
28,817
Mrussia hakutaka kujimaliza kama SIMPS wengi mnavyofanya

Alisikika tu akisema:

"Hello.
How are u doing?
You look good.
I'm from Russia
My English bad
Come with me."
​

Magetoni mademu wanapewa kikombe cha maji wanalombwa.

Kama wewe unataka kuhudumia na kupay bills, valentine gifts, dinner dates, lifting weight huko gyms ili uwavutie hawa malaya unajichosha they are very cheap.

Wale mademu na wamama ambao Russian guy kalomba kuna wanetu hapo Kenya wanahudumia na bado K wanapimiwa.

Don't hate the player hate the game

Learn or Perish​

20260215_062520.jpg

Tofauti ya Simp na Russian guy: No unnecessary passes sideways just direct football and keep scoring.
 
Daah! ila wale wanawake wametuangusha sana, huwezi kumfata a stranger namna ile kama mbwa anavyomfata chatu, anyway justice for them wamedhalilishwa kwa kurekodiwa bila kujua na kupostiwa
Malaya hana justice

Wenye wake na wapenzi wameshukuru kujua kumbe walikuwa kwenye mahusiano na malaya

Wamepata sababu za kuwapiga chini
 
Au wa kwako ni yule mmama alikua ana manyonyo makuuuuuuuubwa ndio maana umechefukwa sana🤣🤣🤣
Mzungu mjinga sana yule yani kabla hajakukula mnacheza kwanza kidogo kama watoto wa shule 😂😂😂

Ila mwanetu naye alikuwa hachagui, mwanamke yoyote aliye mbele yake alikuwa anapita naye

Nilipenda alivyokuwa anaulizia umri kwanza angejichanganya na under age feminists mngeanza kumwita pedophile na ingekuwa msala mkubwa kwake
 
Mzungu mjinga sana yule yani kabla hajakukula mnacheza kwanza kidogo kama watoto wa shule 😂😂😂

Ila mwanetu naye alikuwa hachagui mwanamke yoyote aliye mbele yake alikuwa anapita naye

Nilipenda alivyokwa anaulizia umri kwanza angejichanganya na under age feminists mngeanza kumwita pedophile na ingekuwa msala mkubwa kwake
Nilikua naongea na mtu mida hii hii kuhusu age, yaan angejichanganya kwa underage sasa hivi tunaongea mengine na angekua ameshadakwa,

Mrussia hachagui, habagui atakayempa gono hamjui 🤣🤣🤣
 
Back
Top Bottom