Wanaume dhaifu mmeona game ilivyochezwa na 'Russian guy?' Kikombe cha maji and straight to bed

Wanaume dhaifu mmeona game ilivyochezwa na 'Russian guy?' Kikombe cha maji and straight to bed

Hakuna jambo la kucheka hapa, wanaume wa kiafrika imefika wakati tuwe gate keepers tulinde na kutetea wanawake zetu tuache ujinga. Our women need us, unafikiri unaweza kutoka Tanzania kwenye kuchezea matako wadada wa Russia wakakufurahia tu. Wanaume wanaoleta jokes kwa vitendo vya yule jamaa ni part of the problem
Mkuu shida ni sisi au wanawake wenyewe? In short wao ndio walitakiwa wakatae.

Kwani Mrusi aliwabaka? Aliwapa nauli waje magetoni? Aliwalisha dawa za kulevya ndio akawalala?

Mbona kuna mmoja alichomoa ijapokuwa kama jamaa angekaza angechukua namba

Wale ni malaya chifu sio mzungu tu hata wewe ukiamua unalomba vizuri tu

At the end of the day you might try to take a whore out the streets but you can't take the streets out of a whore

End
 
Wanawake Kariba wote duniani wako hivyo bila kujalisha wanatoka Kenya au la.
wanatandikwaga kwa style hiyo hiyo-
1. You look good
2. My English is bad
3. Let’s go out
4. Chill and drink at mine
5. Huko getto wanashindwa kujizuia na kujikuta wanetandikwa
Kama unataka kufanya utafiti, hawa jamaa wamethitidha:
1. Loosh V - data sheet ya Kila mji aliotembea
2. Return of the kings
3. Tate brothers
Etc
Ni taabu tupu ukiwa na demo zege, wanawake ni rahisi sana kuwanyandua kuliko wengi wetu tunavyo wafikiria.
 
Ubinadamu, hali ngumu ya maisha na tumaini la kutokea upande wa pili🥲, tuzae watoto tunaomudu kuwatunza kiuchumi hadi ukubwani, ikitokea wakakwama.
 
Yule kawalomba kwa status ya uzingu wake, wale wamepagawa na rangi.
Ni kama unavyoenda vijijini huko unaweza kumlomba mtu kisa umetoka dar.
Unaweza mlomba mtu kisa tu unamiliki usafiri.
Unaweza mlomba mtu kwa status ama level yako.. mtu kama diamond kuna mademu kibao hawawezi chomoa kwake...
Tutafute pesa, tuwe na level fulani

Na tusiwaseme sana wanawake, je mfano mdada wa kizungu kaja kakupa hi, kakwambia we ni handsome, anaomba urafiki uwe mwenyeji wake, mbadikishane namba za simu au straight akualike jione kwenye makazi yake wangapi mtachomoa
Ni mbinu tu kaka ukiwa domo zege na unataka kumuipress tu mwanamke ili akutunuku atakuzungusha na kula cheda zako hata uwe mzungu haulombi
 
JAMBO LIMENIUMIZA KAMA MWANAMKE, NI KUSOMA COMMENT MOJA NILIPOZURURA KUJUA ZAIDI.. YA MTOTO WA MMOJA WA HAO Wanawake, AKISEMA "MAMA YAKO NI MMOJA WA HAO WANAWAKE" hii imenibreki sana moyo wangu. Nikavutiwa nifatilie ka vile nafanya uchunguzi.

Waliyokunywa lazimaaa aliweka kitu kwa maji, sio ghafla kusimama na kucheka cheka na pia kurukaruka kivile.

Lazima aliwachezesha akijua alichoweka litafanya kazi mara ka kushtua, kauchovu labda na hamu mwanamke atafikiri chezacheza imempeleka huko n.k.

Angekuwa mbantu watu wangesema alitumia kitu kama voodoo kuwavuta.. Ila mie nimeona aibu. Bado najiuliza sana y walikubali kirahisi au walifikiri mzungu hana mengi siku moja mbili anaondoka.. Hili nalo la kufikirisha sanaaaa.. Sijaona ya mazungumzo ya simu, ningependa kujua nini aliwaambia ikawa kutia kukutana nae.. Kupata picha zaidi..

Machache yangu kutokana na niliyoona na kusikia kwa aliyoachilia.
 
Daah! ila wale wanawake wametuangusha sana, huwezi kumfata a stranger namna ile kama mbwa anavyomfata chatu, anyway justice for them wamedhalilishwa kwa kurekodiwa bila kujua na kupostiwa
Wamemdhalilisha nani wakati malaya yeyote ni easy going?

Mtoa mada nimemuelewa, mwanaume usijichoreshe ku fall in love na kuanza kuhudumia ama kujenga ngome kwa kahaba.

Nk mwendo wa hit'n run.
 
Mrussia hakutaka kujimaliza kama SIMPS wengi mnavyofanya

Alisikika tu akisema:

"Hello.
How are u doing?
You look good.
I'm from Russia
My English bad
Come with me."
​

Magetoni mademu wanapewa kikombe cha maji wanalombwa.

Kama wewe unataka kuhudumia na kupay bills, valentine gifts, dinner dates, lifting weight huko gyms ili uwavutie hawa malaya unajichosha they are very cheap.

Wale mademu na wamama ambao Russian guy kalomba kuna wanetu hapo Kenya wanahudumia na bado K wanapimiwa.

Don't hate the player hate the game

Learn or Perish

View attachment 3544158
​
Tofauti ya Simp na Russian guy: No unnecessary passes sideways just direct football and keep scoring.​

Hatuendi Gym sababu ya wanawake, it's a life style, pig!
 
JAMBO LIMENIUMIZA KAMA MWANAMKE, NI KUSOMA COMMENT MOJA NILIPOZURURA KUJUA ZAIDI.. YA MTOTO WA MMOJA WA HAO Wanawake, AKISEMA "MAMA YAKO NI MMOJA WA HAO WANAWAKE" hii imenibreki sana moyo wangu. Nikavutiwa nifatilie ka vile nafanya uchunguzi.

Waliyokunywa lazimaaa aliweka kitu kwa maji, sio ghafla kusimama na kucheka cheka na pia kurukaruka kivile.

Lazima aliwachezesha akijua alichoweka litafanya kazi mara ka kushtua, kauchovu labda na hamu mwanamke atafikiri chezacheza imempeleka huko n.k.

Angekuwa mbantu watu wangesema alitumia kitu kama voodoo kuwavuta.. Ila mie nimeona aibu. Bado najiuliza sana y walikubali kirahisi au walifikiri mzungu hana mengi siku moja mbili anaondoka.. Hili nalo la kufikirisha sanaaaa.. Sijaona ya mazungumzo ya simu, ningependa kujua nini aliwaambia ikawa kutia kukutana nae.. Kupata picha zaidi..

Machache yangu kutokana na niliyoona na kusikia kwa aliyoachilia.
Hua wanawawekea dawa ya kupandisha nyege, wanaanza kuchangamka na kupata hisia kali pia wanakua kwenye hali ya kulewa lewa hawana utashi wa kukataa chochote wanachofanyiwa,

Hii dunia ni ya kikatili sana
 
Hakuna cha dawa wala nini.

Yaani utoke nyumbani kwako mpaka ghetto la stranger ukijua unaenda kupiga stori?

Wote walioenda ghetto la mzungu walijua mwisho wa siku ni kuvua chupi.
 
Kuna mtu anadai wabonge et hawapo hivyo wakati hata ukimiliki ka gari kazuri tu tu wanajaa kwenye 18
Kuna kitu hujakielewa, tunazungumzia kuhusu MGENI/MZUNGU, sio wenyewe kwa wenyewe, culture ya kitanzania imemshape mtoto wa kike awaogope wageni na hata aogope kwenda nje ya Tanzania ndio maana huko duniani wabongo sio wengi sana ukilinganisha na mataifa mengine ya kiAfrica,
Mfano mzuri hapo Znz, wazungu wapo teleeee mnapishana nao hadi vichochoroni ila huwezi kumkuta BINTI WA KIZANZIBARI anaranda randa na kijishungi chake au kiremba kichwani akiwa na mzungu, imewekwa mipaka kua wageni waje wafanye yao waondoke na sio kujichekelesha chekelesha kwao, ila haimaanishi kama wenyeji hawalani wenyewe kwa wenyewe....sijui kama hapo umenifahamu???
 
Hakuna cha dawa wala nini.

Yaani utoke nyumbani kwako mpaka ghetto la stranger ukijua unaenda kupiga stori?

Wote walioenda ghetto la mzungu walijua mwisho wa siku ni kuvua chupi.
Usibishe dawa hua wanaweka, hii dunia ni kila mmoja alinde kizazi chake huwezi jua nini kitatokea
 
Kuna kitu hujakielewa, tunazungumzia kuhusu MGENI/MZUNGU, sio wenyewe kwa wenyewe, culture ya kitanzania imemshape mtoto wa kike awaogope wageni na hata aogope kwenda nje ya Tanzania ndio maana huko duniani wabongo sio wengi sana ukilinganisha na mataifa mengine ya kiAfrica,
Mfano mzuri hapo Znz, wazungu wapo teleeee mnapishana nao hadi vichochoroni ila huwezi kumkuta BINTI WA KIZANZIBARI anaranda randa na kijishungi chake au kiremba kichwani akiwa na mzungu, imewekwa mipaka kua wageni waje wafanye yao waondoke na sio kujichekelesha chekelesha kwao, ila haimaanishi kama wenyeji hawalani wenyewe kwa wenyewe....sijui kama hapo umenifahamu???
Sijakufahamu Dr, weka kapicha 😉
 
Back
Top Bottom