Wanaume dhaifu mmeona game ilivyochezwa na 'Russian guy?' Kikombe cha maji and straight to bed

Wanaume dhaifu mmeona game ilivyochezwa na 'Russian guy?' Kikombe cha maji and straight to bed

Wanataka kufanana na wazungu hapo hapo wazungu nao wanajianika juani walau wapate dark color....

The world is fair because is unfair to everyone
Kuna zile mashine hutumia wanaziita tanning bed, zinakuwa zinawaka mwanga wa blue ambao ni ultraviolet, wanawake hata wanaume wa kizungu huzitumia sana kwa ajili ya kuchochea mwili uzalishe melanin, hivyo inapelekea ngozi kuwa darker...

Akitoka hapo anaonekana kama ametoka beach, wazungu huwa wajianika juani walau wapate darker skin, huku mwafrika akijichubua ili awe kama mzungu..

Hizo tanning bed ilikuja kuonekana zinaweza pelekea skin cancer, hivyo hivi sasa wanatumia lotion wanaita self tanning, hio husaidia ngozi kuwa darker.. japo tanning bed bado wanatumia...

images
 
Unaona sasa kila mtu anahangaika kivyake😆 basi tusiwaseme sana Congolese
 
Ukitaka kujua kuna waganga wa kweli mfuate mmoja wapo wa hao wanawake waliorekodiwa ambao hadi sasa hawaja achika.
 
Huko mtandaoni Kuna binti insemekana kaliwa na huyo mrussia anasema huyo mrussia alikuwa amepaka perfume fulani ambayo harufu yake inampa mwanamke nyege ghafla. Inawezekana ni uongo au ni ukweli, hizo chemical huwa zipo siku nyingine mwanamke akisikia harufu tu anapata nyege nyigi mno kuliko nyege za ovulation na inakuwa ghafla ndani ya dakika au sekunde chache. Hizo chemical huwa zinachochea hormones za mwanamke kutoka kwa wingi ghafla hasa estrogen hormones
Hatuwezi kuthibitisha harufu ya pafyumu kupitia video zinazosambaa mtandaoni. Kwahiyo kwa sasa tunahitimisha tu kwamba wale wanawake ni malaya
 
Daah! ila wale wanawake wametuangusha sana, huwezi kumfata a stranger namna ile kama mbwa anavyomfata chatu, anyway justice for them wamedhalilishwa kwa kurekodiwa bila kujua na kupostiwa
Video nitaazipata wapi?
 
Sio Mrussia peke yake kuna namna Mwanaume ukijweka hapa Bongo..utakuja kunishukuru..acha kukaa kindezi ndezi mtoto wa Kiume.
 
Kupata pisi kali Kenya ni shughuli ngumu sana. Nimetembea tembea nairobi, kule ni sura za baba na shape namba 1 au 9 tu
Ngoja wakukute usikimbie.

Ila mimi kama beer-holder nawaonaga kama yule Arvil msanii wana sura nzuri , nadhani ni wameru wale sijui
 
H
Wanawake wa kiafrica wanapenda sana wazungu. Hata wao wangeweza kumuhonga. Kifupi wana wake wa kiafrica hata midume inaoa na kuolewa na wazee yaani vikongqe kabisa hadi tunashangaa yote kwa yote ni tamaa harafu yalivyo manafiki utakuta yanasema nataka mwanaume mweusi wakati yakiona mweupe yanatombeka kama mbwa mwenye gono
 
Au utakuta kwavile ni mzungu ndomaana wanamfata.
 
Yule kawalomba kwa status ya uzingu wake, wale wamepagawa na rangi.
Ni kama unavyoenda vijijini huko unaweza kumlomba mtu kisa umetoka dar.
Unaweza mlomba mtu kisa tu unamiliki usafiri.
Unaweza mlomba mtu kwa status ama level yako.. mtu kama diamond kuna mademu kibao hawawezi chomoa kwake...
Tutafute pesa, tuwe na level fulani

Na tusiwaseme sana wanawake, je mfano mdada wa kizungu kaja kakupa hi, kakwambia we ni handsome, anaomba urafiki, uwe mwenyeji wake, mbadilishane namba za simu au straight akualike jioni kwenye makazi yake wangapi mtachomoa
Hiyo paragraph ya mwisho unaweza kutekwq na kunyofolewa figo.
 
Back
Top Bottom