Wanaume dhaifu mmeona game ilivyochezwa na 'Russian guy?' Kikombe cha maji and straight to bed

Wanaume dhaifu mmeona game ilivyochezwa na 'Russian guy?' Kikombe cha maji and straight to bed

Recording someone having sex without their consent is generally illegal and considering a criminal act in most jurisdictions. Marekani sio kama Bongo au Kenya,
Hilo linajulikana mkuu. Kwani hivyo visa havipo Marekani? Ndio swali langu
 
Kama unataja pornstars na onlyfans models unachemka vibaya sana, they're content creators and making more money than you, sasa wanadhalilishwa kivipi?
Haiwadhalilishi wanawake? Unaweza kutazama porno au OF mbele ya watu unaowaheshimu
 
Mwanzoni nilikuwa nawaonea huruma sana ila nilipotazama video ya yule bi mkubwa kawahi kumrudisha dogo home chaap ili awahi kwenda kupigwa ndogo na jamaa 😠 aiseee nilipata hasira halafu eti bi mkubwa ndio anajikuta fundi maiko kuilengeshea kabsa 😠 daah Russian Baltazar ametunyoosha kwa hakika
 
Hilo linajulikana mkuu. Kwani hivyo visa havipo Marekani? Ndio swali langu

Marekani huwezi kujaribu kufanya huu upuuzi, utakwenda jela na lawsuit juu. Na ukifika jela utateseka vibaya sana.
 
Mwanzoni nilikuwa nawaonea huruma sana ila nilipotazama video ya yule bi mkubwa kawahi kumrudisha dogo home chaap ili awahi kwenda kupigwa ndogo na jamaa 😠 aiseee nilipata hasira halafu eti bi mkubwa ndio anajikuta fundi maiko kuilengeshea kabsa 😠 daah Russian Baltazar ametunyoosha kwa hakika
Inasikitisha sana malaya ni malaya tu
 
Huko mtandaoni Kuna binti insemekana kaliwa na huyo mrussia anasema huyo mrussia alikuwa amepaka perfume fulani ambayo harufu yake inampa mwanamke nyege ghafla. Inawezekana ni uongo au ni ukweli, hizo chemical huwa zipo siku nyingine mwanamke akisikia harufu tu anapata nyege nyigi mno kuliko nyege za ovulation na inakuwa ghafla ndani ya dakika au sekunde chache. Hizo chemical huwa zinachochea hormones za mwanamke kutoka kwa wingi ghafla hasa estrogen hormones
Zinaitwaje.
 
14852192-ABA3-4427-9438-77DE950E5B4C.jpeg
🥲
 
Sijawahi sikia mtanzania akitumia neno" adi" wewe ndo wa kwanza😅

Vijana wa huku kwetu Kenya especially the Gen Zs ndo wana hiyo tabia ya kuanza sentensi na hilo neno" adi"

Utasikia wakisema,
Adi sijui
Adi sijamuona
Sidhani kama ni kiswahili sanifu lkn, i meant kuna mdada kampata kanisani huyo Mrussia😀
 
Kuna kitu hujakielewa, tunazungumzia kuhusu MGENI/MZUNGU, sio wenyewe kwa wenyewe, culture ya kitanzania imemshape mtoto wa kike awaogope wageni na hata aogope kwenda nje ya Tanzania ndio maana huko duniani wabongo sio wengi sana ukilinganisha na mataifa mengine ya kiAfrica,
Mfano mzuri hapo Znz, wazungu wapo teleeee mnapishana nao hadi vichochoroni ila huwezi kumkuta BINTI WA KIZANZIBARI anaranda randa na kijishungi chake au kiremba kichwani akiwa na mzungu, imewekwa mipaka kua wageni waje wafanye yao waondoke na sio kujichekelesha chekelesha kwao, ila haimaanishi kama wenyeji hawalani wenyewe kwa wenyewe....sijui kama hapo umenifahamu???
Wenyeji wa hapo kwenu Zanzibar wanawashobokea waarabu hakuna tofauti yoyote hapo.
 
Back
Top Bottom