Bushmamy
JF-Expert Member
- Aug 18, 2019
- 11,208
- 20,517
Dah , nimeishiwa pawer Mzee, wanawawake 600 ?aliwapa Nini hao wanawawake wote Hadi wakamkubalia?kawalala wanawake zaidi ya 600 tena wale classic with video
Dah , nimeishiwa pawer Mzee, wanawawake 600 ?aliwapa Nini hao wanawawake wote Hadi wakamkubalia?kawalala wanawake zaidi ya 600 tena wale classic with video
Ahadi za uongo mfn..ukinipa penzi nakuconnect kazi na kuwafinyia kibunda kimtindoDah , nimeishiwa pawer Mzee, wanawawake 600 ?aliwapa Nini hao wanawawake wote Hadi wakamkubalia?
Dah embu weka hiyo hapa Aisee! Mbona balaaaMwanzoni nilikuwa nawaonea huruma sana ila nilipotazama video ya yule bi mkubwa kawahi kumrudisha dogo home chaap ili awahi kwenda kupigwa ndogo na jamaa 😠 aiseee nilipata hasira halafu eti bi mkubwa ndio anajikuta fundi maiko kuilengeshea kabsa 😠 daah Russian Baltazar ametunyoosha kwa hakika
Jamaa alifungwa au iliishaje hiyo Mazee?Ahadi za uongo mfn..ukinipa penzi nakuconnect kazi na kuwafinyia kibunda kimtindo
Yuko nyuma ya nondoJamaa alifungwa au iliishaje hiyo Mazee?
Hahaha alihukumiwa miaka 8 jelaDah safi sana ,
Maana nilifikiri Balthazar mwenyewe ni huyu King Kong III
Itabidi wewe umuongezee miaka mingine 10 na Mimi ntampa miaka 40 Hadi afie hukoHahaha alihukumiwa miaka 8 jela
DoohItabidi wewe umpe miaka mingine 10 na Mimi ntampa miaka 40 Hadi afie huko
Huko jela wafungwa wenzake na maaskari wanaishi nae kimachale sanaDooh
Punguza hasiraHuko jela wafungwa wenzake na maaskari wanaishi nae kimachale sana
😀😀😀😀 Kazi za porini huku nadra sana kukutana na warembo...nawaonaga nikilogin Instagram na Facebook tu ila live live nope ,so siwezi kuwa Balthazar.Dah safi sana ,
Maana nilifikiri Balthazar mwenyewe ni huyu King Kong III
Labda kama unazinguzia makalioKenya kuna mwanamke wazuri mno labda kama unasema weupe
Na kwenye mashepu wapo bomba pia😃Labda kama unazinguzia makalio
Si kweli, Wazanzibar hawawezi kuwashobokea waarabu, unazushaWenyeji wa hapo kwenu Zanzibar wanawashobokea waarabu hakuna tofauti yoyote hapo.
kawalala wanawake zaidi ya 600 tena wale classic with video
Hahaha hapa umedanganyaSi kweli, Wazanzibar hawawezi kuwashobokea waarabu, unazusha
Hawana uzuri wowote, labda mashepu, wazuri wa kuhesabu!Kenya kuna mwanamke wazuri mno labda kama unasema weupe
Ni ndugu zao, kwanini wawashobokee sasaHahaha hapa umedanganya
Mimi nawaona wazuri mno , hawajichubui wapo natural sana ,na wanajiamini mno.Hawana uzuri wowote, labda mashepu, wazuri wa kuhesabu!