Seran
JF-Expert Member
- Feb 7, 2025
- 36,315
- 104,500
Hao wanafanya kuwavutia nyinyi! Ndio maana wanawake wengi wanajibadili kwa sababu soko la weusi ni gumu mno hapa bongo!Sio kweli , wadada wabongo wengi hawajiamini na rangi ya weusi , wanaona weupe ndio uzuri, hivyo hufanya kila njia kuwa weupe