100 others
JF-Expert Member
- Aug 5, 2017
- 10,825
- 38,702
Kwenye kujichubua nadhani Congolese wanaongoza kwa Africa..Dark skinned
Kwenye kujichubua nadhani Congolese wanaongoza kwa Africa..Dark skinned
Dah dunia iishe TU jamani 🙄View attachment 3544720
Hizi ni nguvu za kiume au?🤔
Wanataka kufanana na wazungu hapo hapo wazungu nao wanajianika juani walau wapate dark color....Wahindi kwenye kuona weupe ndio kila kitu ndio viazi kabisa
Kuna dada mmoja alikua Black beut hatari , meno meupe , fizi nyeusi ,macho ya gololi , dimples shepu matata , ngozi yake ilikua nyonyoro mno , yule dada alikua ni chuma cha hatari , nilipo kuja kumwona kadumbukia kwenye pipa la vipozi katoka cheupe pee , nilimshangaa mno, siku nimekutana nae nilishindwa kujizuia nikamwambia ila zamani ulikua mzuri mno,, akabaki kuguna tu.Lengo halijatimiaa!😅
Congolese kwenye kujichubua nimewanyooshea mikono...Halafu sijui kwa nin wanaojichubua wanakua na hasira za haraka na kisirani😅
Ni kweli, wanaamini weupe ni uzuri na kwa kua wanapenda utanashati wanasindikiza na kujichubua ili akitokeza popote aonekane, wao wanaharibika sababu ya skin tone yao kua dark sana, kuibadili ile labda mtu ameze kidonge.Kwenye kujichubua nadhani Congolese wanaongoza kwa Africa..
Ukute mwanaume wa ndoto zake yuko busy na watoto weupe tu😅Kuna dada mmoja alikua Black beut hatari , meno meupe , fizi nyeusi ,macho ya gololi , dimples shepu matata , ngozi yake ilikua nyonyoro mno , yule dada alikua ni chuma cha hatari , nilipo kuja kumwona kadumbukia kwenye pipa la vipozi katoka cheupe pee , nilimshangaa mno, siku nimekutana nae nilishindwa kujizuia nikamwambia ila zamani ulikua mzuri mno,, akabaki kuguna tu.
Hawa jamaa wa Congo kwenye hilo hauwezi waambia kitu wala hawana aibu kabisa🤔Congolese kwenye kujichubua nimewanyooshea mikono...
Halafu kwao ni kama sifa, mwanaume kununua mkorogo wa gharama anatamba na kujisifu hata mbele ya wenzake ...
Ni maisha ya kawaida kabisa kwa Mkongo kujichubua... sijui ni kwanini?
Hua nasikitika sana mwanamke/mwanaume anavyoharibu ngozi yake nzuri bila kukumbuka kuna kuzeeka, wakizeeka wanakua na sura inayotisha hadi huruma hasa hawa wanaopaka vipodozi vya bei rahisi.Kuna dada mmoja alikua Black beut hatari , meno meupe , fizi nyeusi ,macho ya gololi , dimples shepu matata , ngozi yake ilikua nyonyoro mno , yule dada alikua ni chuma cha hatari , nilipo kuja kumwona kadumbukia kwenye pipa la vipozi katoka cheupe pee , nilimshangaa mno, siku nimekutana nae nilishindwa kujizuia nikamwambia ila zamani ulikua mzuri mno,, akabaki kuguna tu.
Mbona mrussia kajisevia mamia😅Ndio maana wazungu hawawataki , unakuaje kama chui asee?
ChaiAisee
Huyu dada aliniuzi sanaUkute mwanaume wa ndoto zake yuko busy na watoto weupe tu😅
Kuna pisi moja huko kwa mrusi , iliniuma sana sijui kwanini hataMbona mrussia kajisevia mamia😅
Hata vya bei ghali hakuna kituHua nasikitika sana mwanamke/mwanaume anavyoharibu ngozi yake nzuri bila kukumbuka kuna kuzeeka, wakizeeka wanakua na sura inayotisha hadi huruma hasa hawa wanaopaka vipodozi vya bei rahisi.
Alifanya nini? Na siwezi ata kumjua, me vitu vya kutrend huwa sifatilii hata sijaona huwezi amini! Zaidi ya kukutana na posts na threads tu😀Kuna pisi moja huko kwa mrusi , iliniuma sana sijui kwanini hata