Wanaume dhaifu mmeona game ilivyochezwa na 'Russian guy?' Kikombe cha maji and straight to bed

Wanaume dhaifu mmeona game ilivyochezwa na 'Russian guy?' Kikombe cha maji and straight to bed

Mbinu ni factor nyingine, kuna sehemu hata uwe na mbinu vipi huwezi kumoata kirahisi, sababi ya level zenu...
Sasa hapa katumia mbinu gani zaidi ya status yake ya uzungu?

Kuna mademu bongo we mwenyewe unawatamani lakini level ile si yako na katika maish aya kawaiada, ya kila siku hamna muingiliano wowote, ni ngumu kutoboa
Kosa la kwanza ni kumuona mwanamke fulani level nyingine au special

Kosa la pili kumuona mwanamke fulani ni tofauti na wengine

Kosa la tatu ni kuona mwanamke fulani anastahili tu kutongozwa na wanaume fulani tofauti na wewe

Hakuna mwanamke wa level fulani au special, kumbuka:

Ameshatombwa na wanaume masikini kuliko wewe

Ameshatombwa na wanaume wabovu kwa mwonekano kuliko wewe

Kumbuka huyo mwanamke unayemuogopa kuna mwanetu mmoja alishamwambia mimi na wewe basi na demu akamwaga chozi

Kuna mwamba mwingine ni simu moja tu anaipeleka K inachapwa

Then kuna mwana tu yuko kitaa alimtoaga bikira na manzi anamkumbuka mwana hadi leo kwa majina yake yote 3
 
Nimeona baadhi ya hizo video mpaka wanaenda ndani ila sijaona wakipelekewa moto, nazipataje hizo?
 
Kosa la kwanza ni kumuona mwanamke fulani level nyingine au special

Kosa la pili kumuona mwanamke fulani ni tofauti na wengine

Kosa la tatu ni kuona mwanamke fulani anastahili tu kutongozwa na wanaume fulani tofauti na wewe

Hakuna mwanamke wa level fulani au special, kumbuka:

Ameshatombwa na wanaume masikini kuliko wewe

Ameshatombwa na wanaume wabovu kwa mwonekano kuliko wewe

Kumbuka huyo mwanamke unayemuogopa kuna mwanetu mmoja alishamwambia mimi na wewe basi na demu akamwaga chozi

Kuna mwamba mwingine ni simu moja tu anaipeleka K inachapwa

Then kuna mwana tu yuko kitaa alimtoaga bikira na manzi anamkumbuka mwana hadi leo kwa majina yake yote 3
Kuhusu uspecia ama level.. napinga kuna levels tofauti haya ndio maisha yalivyo, sote tupo kwenye levels tofauti tofauti, umeona diamond level yake ni juu kuzidi haw akina kajala etc, lakini sio level ya kina rihanna unanielewa sijui.

Kuhusu wanawake wote kuwa sawa, mie nakubali hapo sasa unazungumzia ubinadamu yaani zile hisia, akili na mambo mengine.. ni sahihi kabisa, lakini hii haivui levels walizopo.

Anaweza akawa kweli ametoka na wa level ya chini yake, lazima kuwe na sababu hapo.. connection na mambo mengine

Sio kwamba huwezi mtongoza, sasa sio level yako hata kumsogelea huwezi unampatia wapi?
 
Huko mtandaoni Kuna binti insemekana kaliwa na huyo mrussia anasema huyo mrussia alikuwa amepaka perfume fulani ambayo harufu yake inampa mwanamke nyege ghafla. Inawezekana ni uongo au ni ukweli, hizo chemical huwa zipo siku nyingine mwanamke akisikia harufu tu anapata nyege nyigi mno kuliko nyege za ovulation na inakuwa ghafla ndani ya dakika au sekunde chache. Hizo chemical huwa zinachochea hormones za mwanamke kutoka kwa wingi ghafla hasa estrogen hormones
 
Yule kawalomba kwa status ya uzingu wake, wale wamepagawa na rangi.
Ni kama unavyoenda vijijini huko unaweza kumlomba mtu kisa umetoka dar.
Unaweza mlomba mtu kisa tu unamiliki usafiri.
Unaweza mlomba mtu kwa status ama level yako.. mtu kama diamond kuna mademu kibao hawawezi chomoa kwake...
Tutafute pesa, tuwe na level fulani

Na tusiwaseme sana wanawake, je mfano mdada wa kizungu kaja kakupa hi, kakwambia we ni handsome, anaomba urafiki, uwe mwenyeji wake, mbadilishane namba za simu au straight akualike jioni kwenye makazi yake wangapi mtachomoa
Mkuu, Sisi hatuna shida na hayo mengine ila letu kubwa ni why did they fall so easily to the Russian guy?
Yaani mtu anakutongoza na Muda huohuo anaenda kukukaza huoni kama hapo kuna tatizo?

Tusitumie sijui uzungu,pesa, status na uhandsome kama scapegoat.
The bottom line is that wanawake wengi wa Kiafrica wanaendekeza tamaa na ni malaya.

Huyo mrusi alikuwa anawalipa $20( Ksh 2,000) baada ya tendo.
In simple terms wale wanawake walikuwa wanajiuza kwa jamaa.
 
Kuna kitu hujakielewa, tunazungumzia kuhusu MGENI/MZUNGU, sio wenyewe kwa wenyewe, culture ya kitanzania imemshape mtoto wa kike awaogope wageni na hata aogope kwenda nje ya Tanzania ndio maana huko duniani wabongo sio wengi sana ukilinganisha na mataifa mengine ya kiAfrica,
Mfano mzuri hapo Znz, wazungu wapo teleeee mnapishana nao hadi vichochoroni ila huwezi kumkuta BINTI WA KIZANZIBARI anaranda randa na kijishungi chake au kiremba kichwani akiwa na mzungu, imewekwa mipaka kua wageni waje wafanye yao waondoke na sio kujichekelesha chekelesha kwao, ila haimaanishi kama wenyeji hawalani wenyewe kwa wenyewe....sijui kama hapo umenifahamu???
Watanzania wengi wanasumbiliwa na language barrier na hili linajulikana kila mahali
 
Nilikua sijaona hizo videos aah, i felt so bad after, adi kuna dada kampata kanisani maskini, huyu Mrusia mshenzi tu, tutaanza kuwakatalia kuja nchini kwetu, wabaki huko huko vitani kwao😀
Sijawahi sikia mtanzania akitumia neno" adi" wewe ndo wa kwanza😅

Vijana wa huku kwetu Kenya especially the Gen Zs ndo wana hiyo tabia ya kuanza sentensi na hilo neno" adi"

Utasikia wakisema,
Adi sijui
Adi sijamuona
 
Mkuu, Sisi hatuna shida na hayo mengine ila letu kubwa ni why did they fall so easily to the Russian guy?
Yaani mtu anakutongoza na Muda huohuo anaenda kukukaza jioni kama hapo kuna tatizo?

Tusitumie sijui uzungu,pesa, status na uhandsome kama scapegoat.
The bottom line is that wanawake wengi wa Kiafrica wanaendekeza tamaa na ni malaya.

Huyo mrusi alikuwa anawalipa $20( Ksh 2,000) baada ya tendo.
In simple terms wale wanawake walikuwa wanajiuza kwa jamaa.
Unachosema kina usahihi..
Kiujumla ni malaya inatosha.

Ila we mzee mwenzangu ingekuja pisi ya kizungu, sio kibibi, ikakwambia imekuelewa ungeiacha 😂🤣
 
"Hello"..
"My name is Yarastev from Russia"
"You look good"
"I like to see you in the evening"

Jioni mwanamke anachukua hadi gari ya bwanake anampelekea uchi Dimitri Yuratsev
I like to know you better,are you married?

Nmegundua Kenya ina single maza wengi east afrika nzima
 
Wamarekani hawahawa ambao wanamiliki porno industry kwa 95% zinazowadhalilisha wanawake?

Wamarekani hawahawa ambao wameifanya OnlyFans kuwa moja ya biashara inayoingiza pesa nyingi hapo Marekani huku ikitweza utu wa mwanamke?

Wamarekani hawahawa ambao viongozi na celebs wao walikuwa wanaenda kuwalomba mabinti underage kisiwa cha Epstein?

Wamarekani hawahawa ambao wanawake walio kwenye music & film industry wanawafanya kuwa makahaba?

Bro una maneno mengi sana, lakini It’s a crime to record a person without their consent.
Unatoa mifano ya Only Fans na porno lakini unasahau kwamba ile ni business na wale wanawake earn a lot of money.
Sisi wote tunakutana hukohuko barabarani na tunafanya mapenzi lakini unaita wale ni malaya kwani wewe ni bikira?
 
Unachosema kina usahihi..
Kiujumla ni malaya inatosha.

Ila we mzee mwenzangu ingekuja pisi ya kizungu, sio kibibi, ikakwambia imekuelewa ungeiacha 😂🤣
Lazima ningechomoa mkuu, wanasema when the deal is too good think twice😅
 
And this girls is why you don't sleep with these Demons before marriage:

They come to you to look for validation: because their lives are meaningless and pathetic without putting their penises in your bodies.

In other words: their sense of self worth as godless men is dependent on your bodies.

Do you realise how much power you have? ? ?
 
Back
Top Bottom