Wanaume dhaifu mmeona game ilivyochezwa na 'Russian guy?' Kikombe cha maji and straight to bed

Wanaume dhaifu mmeona game ilivyochezwa na 'Russian guy?' Kikombe cha maji and straight to bed

Hua wanawawekea dawa ya kupandisha nyege, wanaanza kuchangamka na kupata hisia kali pia wanakua kwenye hali ya kulewa lewa hawana utashi wa kukataa chochote wanachofanyiwa,

Hii dunia ni ya kikatili sana

Kabisaaaa dunia ya kikatili sana, ndio maana sikubaliani na wengi wanaosema eti wanawake warahisi na inaonyesha kabisa kiuwazi haikuwa kitu cha kawaida. Hoping uchunguzi baadae utatupa picha zaidi wakihojiwa ile kati ya kupeana namba na kuingia room yake hotelini aliwaambia/alifanya nini.
 
Wanawake wetu bado hawajajua thamani yao, wakiona white man wanahisi kabisa kuchanganyikiwa,lolote atakaloambiwa anakubali,alikuwa anawatishia kwa rangi yake, wewe ungeenda mswahili wa nanjilinji nywele pilipili uongee broken english kama huyo mRussia ungeona unavyotolewa puta na hao wanawake. wanawake wa kiafrika bado wako gizani.
 
Wanawake wetu bado hawajajua thamani yao, wakiona white man wanahisi kabisa kuchanganyikiwa,lolote atakaloambiwa anakubali,alikuwa anawatishia kwa rangi yake, wewe ungeenda mswahili wa nanjilinji nywele pilipili uongee broken english kama huyo mRussia ungeona unavyotolewa puta na hao wanawake. wanawake wa kiafrika bado wako gizani.
Mbona hata wanaume tuko hivyo tu! Hujaona vijana wanavyojirahisi kwa vikongwe vya kidhungu!
 
Ni mbinu tu kaka ukiwa domo zege na unataka kumuipress tu mwanamke ili akutunuku atakuzungusha na kula cheda zako hata uwe mzungu haulombi
Mbinu ni factor nyingine, kuna sehemu hata uwe na mbinu vipi huwezi kumoata kirahisi, sababi ya level zenu...
Sasa hapa katumia mbinu gani zaidi ya status yake ya uzungu?

Kuna mademu bongo we mwenyewe unawatamani lakini level ile si yako na katika maish aya kawaiada, ya kila siku hamna muingiliano wowote, ni ngumu kutoboa
 
Mkuu shida ni sisi au wanawake wenyewe? In short wao ndio walitakiwa wakatae.

Kwani Mrusi aliwabaka? Aliwapa nauli waje magetoni? Aliwalisha dawa za kulevya ndio akawalala?

Mbona kuna mmoja alichomoa ijapokuwa kama jamaa angekaza angechukua namba

Wale ni malaya chifu sio mzungu tu hata wewe ukiamua unalomba vizuri tu

At the end of the day you might try to take a whore out the streets but you can't take the streets out of a whore

End

Yalikuwa makubaliano haijalishi ni ya aina gani, lakini exposing them ni kitendo cha udhalilishaji, kinachonishangaza wanaume wazima tuko hapa tunajichekesha na kushangilia vitendo kama hivi.
Nimeongea kwa kutoa mfano, huwezi kwenda Marekani au Ulaya ukafanya vitendo vile na watu wakakuchukulia poa, nina mifano hai jinsi gani wanavyowatete watu wao at least online.
 
Nilikua sijaona hizo videos aah, i felt so bad after, adi kuna dada kampata kanisani maskini, huyu Mrusia mshenzi tu, tutaanza kuwakatalia kuja nchini kwetu, wabaki huko huko vitani kwao😀
 
Sio wazungu tu hata diaspora wanashobokewa sana na wanawake. Nina washkaji zangu diaspora wakirudi bongo likizo ni kama wanakuja kufanya utalii wa ngono. Hawa hawa mademu wa pesa mbele kwa diaspora wanajilengesha for free kabisa
Sikupingi mkuu. Wao wanajua kuwa watapewa connection ya kwenda ng'ambo matokeo yake wanachezea mbupu.
 
Kuna mmoja uko kaona kabla mambo hayajawa mengi, amejitangaza kwamba na yeye yupo kwenye list ya ghetto la mzungu(series inayokuja)

Kajirekodi video anajiliza liza, ajabu video ina sound track.

Wanawake kwa drama, yaani unalia ila umepata na muda wa kuweka saundi track kwenye video?
😄😄😄
 
Back
Top Bottom