Wanaume gani watakubali kuingia na wanawake wao kwenye chumba cha kujifungulia?

I think it can be a traumatizing experience...nahisi nawaelewa

Labda mtu ajiandae kiakili, tukiwa mwezini tu tunaficha yani si kitu unamuonyesha Mr waziii kbs
Anajua tu una hali hiyo, unabadilisha basi

Mbona hakuna kitu cha kutisha kushuhudia mwanamama akiwa anajifungua, labda sana utamuonea huruma na kutamani hilo zoezi limalizike kwa haraka...

Pili, binafsi naona ni tukio litanalojenga heshima ya mwanaume juu ya mwanamke...
 
Aah! Kwangu hapana aisee.

Atakaa nje nikimaliza ataingia.
[emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787]

Ndio maana wifi yako huwa nikimuuliza alihadithie jinsi alivyopambana kule labour huwa hataki kunisimulia.

Sasa aombe nisiipate hiyo nafasi next time, la sivyo sitamsumbua anihadithie tena
 
Hahahaaa. Wifi yangu ana akili sana. ๐Ÿ˜‚

Samahani lakini mdogo wangu sasa hapo lengo linakuwa nini mpaka utamani kuingia humo sasa na wewe?

Kama Mtoto si anatoka naye. ๐Ÿคฃ๐Ÿคฃ
 
๐Ÿ˜‚๐Ÿ˜‚๐Ÿ˜‚๐Ÿ˜‚๐Ÿ˜‚

Mali ni yangu, kwanini nikatazwe, tukishaungana tunakuwa mwili mmoja, hakuna kufichana tena. Sasa kwanini tufichane hili? Halafu kwa wanaume wasio mume iwe sahihi hata kama wanatoa huduma?

Najua hawa wanaume(Wakunga, Manesi, Madaktari) wanakutana na mengi ambayo miiko ya kazi imewakaza vifua na hawawezi kuvujisha wanayokutana nayo huko, Mume na Mke pia ni watu ambao kamwe hawawezi kuvujisha madhaifu yao, tupewe nafasi na sisi tupate kujifunza na kupata uzoefu ili tuweze kuimarisha somo tutakalolipata ambalo tunaambia Huruma, Upendo, Heshima vitaimarika na kuongezeka.

Halafu hili jambo ni dakika chache tu sio kama kuuguza tena mgonjwa awe ni mwenye kuhitaji msaada wa kila kitu, huku mbona sioni wanaume waseme wanaogopa๐Ÿ˜‚๐Ÿ˜‚

NB: Nasimama na Mama(Prezidaa)๐Ÿƒ๐Ÿƒ๐Ÿƒ๐Ÿƒ
 
Nikawaida aghakan mbona wanaruhusu tuu unaingia leba na mumeo au mzazi wako
 
Lol.

Nitamkalisha chini Wifi vile atakugomea hutaamini. ๐Ÿ˜‚๐Ÿ˜‚
 
๐Ÿ˜„๐Ÿ˜„๐Ÿ˜„๐Ÿ˜„ msiogope
 
Siku wakija Kubeba Zege NaKubeba Mchanga Kuwasaidia Wanaume zao pia Uni-tag

Kuzaa ni Jukumu la Mwanamke hata Asiposindikizwa Humo kwenye chumba Atazaa tu maana Uchungu wameumbiwa. Huku kuwadekeza Dekeza Ndio kunafanya Uanaume uendelee kudharauliwa kila siku

Uanaume unakuwa Mayai mayai tu siku hizi hakuna Heshima Ndani ya Nyumba maana Hata Mwanamke naye anajiona Anaweza Kila kitu
 
Lol.

Nitamkalisha chini Wifi vile atakugomea hutaamini. ๐Ÿ˜‚๐Ÿ˜‚
Uzuri haya maamuzi ya kuingia huko yana baraka kutoka juu, maamuzi yenu hayatasaidia, na jinsi mnavyokuwaga kwenye hali ya kutaka msaada wa haraka kutokana na maumivu mbona itakuwa rahisi mimi kuingia๐Ÿ˜€๐Ÿ˜€๐Ÿ˜€๐Ÿ˜€

Nakumbuka aliwahi kugusia kidogo, alisema alimsumbua sana Nurse, maana kitanda kikawa hakikaliki wala hakilaliki
 
Sidhani kama Kuna atakaye thubutu kuingia na kuona mkewe akijifungua mtoto live. Ikitokea utafanya hivyo na sehemu Ile ikafunguka ukaona mtoto anatoka na akamakiza like zoez na wewe Upo hapohapo. Pongezi nyingi.sana
 
Back
Top Bottom